Unampaje ubunge mtu hana cheti?We hujui chochote
Sasa ulitaka division ndo tumpe ubunge.
Mataga hamjitambui .
Tegemea Makamu wa Rais kujikosoa ujinga wake wakati akiwapandishia kodi Makampuni ya simu bila kufikiria asilimia wananchi ndio unawapelekea mzigo.kwahiyo tutegemee nini? kushushwa kwa vifurushi? au moto ni ule ule?
Hata wale waliokuwa wanauza vitu online watapoteza wateja.Nachukua fursa hii kwa mabadiliko ya gharama za vifurushi vya Internet yaliyofanywa kuanzia hivi leo tarehe 02)04/2021 Kama alivyokuwa ameagiza Dr. Faustine Ndugulile, Waziri wa teknolojia.
Kutokana na kupanda kwa Bei za vifurushi, Nina imani umaarufu wa watu mitandaoni utapungua sana.
Pia wale waliokuwa wakisaka umbeya na ubuyu Instagram watapungua mno.
Status viwers kule WhatsApp itabidi wawe wanachagua status za kuangalia.
Kwa upande mwingine ongezeko hili litaathiri sana biashara za mtandaoni. Nadhani Ndugulile hakuangalia vyema upande huu.
Nawashauri mawaziri waachane na mawazo ya ngwe iliyopita, kufanya kazi kwa hofu na kumfurahisha mtu mmoja huku mkiumiza watu zaidi ya milioni hamsini.
Tumpe Rais wetu Samia Suluhu Hassan ushirikina kwa vitendo na si kwa maneno matupu. Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikitajwa kwenye orodha ya mataifa yenye huzuni zaidi duniani, sasa tunataka watu wetu wawe na furaha.
Ukishaingia OperaMini, mara nyingi huwa inajidisplay mbele hapo!.
Fanya njia ya kusearch via OperaMini kwa kuandika freebasics.com
Uteleze kama mimi hapa!.
Mbona mbowe na sugu hata memkwa hawajafika ila mliwaita wakomboziUnampaje ubunge mtu hana cheti?
Unaongelea Mambo ya kuattack nmekwambia neno moja tu wewe ni stupid maana naonaga maneno yako humu si unaona unavoendelea kumuattack mtu usiyemjuaNaona unarukaruka kama maharage kwenye chungu. 😂
Where did say walichofanya ni sahihi?
If you can't comprehend maneno machache niliyoandika..
Nikiandika mengine kukuelezea nikujisumbua tu!
Bado una mzigo, tena nikuongezee mzigo! 😂
Bora makonda angepita?Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.
Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
Aiseee ndio nimeangalia sasa hizo pack.MB 400 Zinauzwa kwa tsh 2000/_ wananchi tuungane katika hili tuhakikishe FAUSTINE NDUGULILE anapoteza kaz ya uwazir mama yetu n msikivu atatuelewa tu
Sijui wamefikiria nn baada ya kurahusisha huduma wao wameifanya kuwa ngumu intanet sio anasa Kuna wanafunz wanahtaj hi huduma pia ktka masomo yao
#NDUGULILE OUT
Wote ni takataka.Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.
Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!
Kila zama na kitabu chake
Maendeleo hayana vyama!
We mpuuzi nini? Unadhani kila mtu ana uwezo kama wewe?Tatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.
Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
samia huyuhuyu rais wa JMT. sidhani kama atakubari huu upuuzi wa kina ndungulile.Samia YUPI?
Huu mzimu wa bando utamtesa sana NdugulileNdungulile tunamuangushia jumba bovu bureee.
Anatekeleza maagizo ya jiwe maana jiwe alikuwa anaogopa sana nguvu ya mitandao sana.
Mimi ninavyojua offer hutolewa kwa wateja kama motisha. Maana wanakuwa wamekuchangia na umepata faida
Kulikuwa na ofa ya kwako tu au zile za kikanda ambazo mtu uliweza kupata Mb 500, na hamsini. Sasa wamefuta. Ina maana walitoa ofa sababu waliibia wateja?
Hawaruhusiwi badili hadi baada ya miezi 3.Kinachofatia watu wataacha kununua bando, watapata hasara, watarudisha bando za zamani kimywa kimywa.
Sihitaji kujibizana na mtu wa hovyo kama wewe hivyo nimekwisha KUBLOCKMbona mbowe na sugu hata memkwa hawajafika ila mliwaita wakombozi