Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Halafu wanavi kauli vya kuboa eti "chagua ofa"

Ofa gani ya undava kama hiyo?
 
Kifurushi nilichobaki kwangu chenye

unafuu ni kile kwenye line ya chuo ya

halotel, sh.1500 gb1
sh.2000 gb 1.5

menu *148*55#
 
Mwanzo nilikua napata dk 20 na 1Gb kwa 2000
Ila sasa ni 2500 kwa dk 55 na 1Gb ila sms wamepunguza duuh

#Ndungulile ujatutendea haki.


Screenshot_20210402-085609.jpg
 
Yanii jumanne Mama anamtoa uwaziri.
Ujiandae kurudisha mpira KWA kipa
 
Hii ndo serikali ya wanyonge. Hili neno wanyonge lina maana mbili ukilitazama kama NOMINO ama kama KITENZI. Kwa upande wangu wanyonge linatumika kama kitenzi.

Binafsi nilikuwa mteja wa Halotel baada ya mitandao mingine kutoeleweka.

Kifurushi cha MEGA Bundle cha GB 1 (MB 1024) kwa wiki kilichokuwa kinauzwa Tsh. 1000, sasa kinauzwa Tsh. 3000 na unapewa MB 1331

Hii naona ni mbinu ya kupunguza UMBEA mitandaoni kwa kuwa WATUMIAJI wanaenda kuadimika muda si mrefu.

Screenshot_20210402-085145.png
 
Tanzania ni nchi ambayo wananchi wake wanachezewa akili na viongozi wao kadri wanavyotaka!

SUALA la gharama za mitandao kuwa juu lilipigiwa sana kelele Bungeni. Tukaahidiwa litafanyiwa kazi, tukakaa tukasubiri tukiamini kilio cha Watanzania kitapatiwa utatuzi kweli tukatangaziwa kwa MBWEMBWE nyingi kwamba kuanzia APRILI bei ya VIFURUSHI itapungua, ajabu badala ya kupungua vimepanda! Hongera sana WAWAKILISHI wetu.
Screenshot_20210402-085104_1617342711750.jpg
 
Huko kigamboni bora angepita bashite tu huyu ndungulile 0 kabisa hakuna anachokijua au wahun wamempoza TAKUKURU ingien Kazin Tigo GB 1 kwa 3000 pumbavu
Kwani alishinda kura?
Walitangazwa tu kote kwa maagizo ya jiwe🙄
 
Back
Top Bottom