Mawazo ya mtu mfu yaan wewe ulimwengu unaenda kasi wewe unarudi nyuma. Kuna mtu ulikua unamnunulia bando kuchat ama kuingia kwenye mitandao kwa mtu kunakuhusu nn km sio roho mbaya tu sijui mitanzania km hii yenye roho mbaya imekuja km mikimbizi ......Sasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
Enzi za KUTUMA BARUA ZINARUDI UWIIIMfano mwezi kuongea mitandao yote TSH 5000 dakika 300 kwa mwezi, wastani wa dakika 10 kila siku walau fair kwa mawasiliano ya kawaidaView attachment 1740966
Kwl afanye hivyo tenha harakView attachment 1740133
Royal bando
View attachment 1740134
Mega bando kwa wiki
View attachment 1740136
Internet kwa wiki
Kwa mabadiliko haya ya vifurushi kwa nini Waziri Ndugulile asijiudhuru kwa kuudanganya Umma wa Watanzania. Tuliaminishwa kwamba vifurushi vitapatikana kwa gharama nafuu, imekuwa kinyume chake.
Kwa heri Halotel, niliwapenda lkn ndo basi tena. Na jana nimetoka kuwapigia chapuo kuwa mko vizuri, kumbe sikujua masaa machache yajayo ingekuwaje.
Baada ya kutoa yangu moyoni, tujuzane wapi pa kukimbilia kwa sasa.
Nashangaa hadi muda huu, waziri hajatangaza kuachia ngazi.Hivyo vidakika kiduchu maana'ake hata kuongea Ni shiiida.
CCM MBERE KWA MBEREEE[emoji849][emoji849][emoji849]
wi-fi zinazo tumia maji au?Hii mitandao bwana Kama vile walikaa meza moja wakaambizana kutukomoa
Alianza Tigo, Akafuatia airtel , akafuatia halotel, then voda.
Ndugu zanguni niwashauri, kila mmoja afungue WI~FI nyumbani kwake, au kama zinapatikana za kutembeanazo kila mahala itakua poa.
Kitu kingine pia huenda imesababisha kwa hawa wananzrngo kupunguza/kuongeza gharama za mitandao na kuona wanapata hasara, itakuwa sababu kuu kodi kuwa juu, ikapelekea kufanya maamuzi hayo,, nahisi itakuwa ndio sababu hiyo.
Tunamuomba mama samia ashushe kodi, kodi iko juu mno na masharti juu.
Waziri aliwahaadaa WATANZANIA, anastaili kuachia ngazi.Hilo ni agizo la serikali hakuna mtandao utadharau hilo agizo
Waziri ametuingiza mkenge mbaya.MB 400 Zinauzwa kwa tsh 2000/_ wananchi tuungane katika hili tuhakikishe FAUSTINE NDUGULILE anapoteza kaz ya uwazir mama yetu n msikivu atatuelewa tu
Sijui wamefikiria nn baada ya kurahusisha huduma wao wameifanya kuwa ngumu intanet sio anasa Kuna wanafunz wanahtaj hi huduma pia ktka masomo yao
#NDUGULILE OUT
#NDUGULILE OUTMB 400 Zinauzwa kwa tsh 2000/_ wananchi tuungane katika hili tuhakikishe FAUSTINE NDUGULILE anapoteza kaz ya uwazir mama yetu n msikivu atatuelewa tu
Sijui wamefikiria nn baada ya kurahusisha huduma wao wameifanya kuwa ngumu intanet sio anasa Kuna wanafunz wanahtaj hi huduma pia ktka masomo yao
#NDUGULILE OUT
Huu mchakato ulianza lini?Angekuwepo Magufuli haya mambo ya bei ya bando kupanda yasingekuwepo.Lakini kwa kuwa mwendazake hayupo hakuna yeyote mwenye hofu na serikali.Inasikitisha sana.
Mkuu usipaniki tunarudi kwnye BARUA karatasi na sio pepeNa hii comment yako huku imekuja kwa njia ya posta?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wewe ni Tahira.Sasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
kosa pesa ya kununua.Waziri ametuingiza mkenge mbaya.
#NDUGULILE OUT
Hamna kwenye unafuu yote yamebana kisawasawaaHamieni mitandao mingine wakuu
Labda ahamie nje ya nchi.Hamieni mitandao mingine wakuu
😂 😂 😂Ndugulile sijui ndungulile alipotoa wazo la kuweka gharama kwenye WhatsApp call nilijua kinachofuata huyo jamaa ni mjima kinyama kwa zama hizi hatakiwi kuwa na matamko ya aina hiyo...
Mkuu, sio basic need kivipi?🙄Huenda wameona mawasiliano sio basic need!
Hivyo wanataka kubadili tabia, kutoka ktk kutumia rasimali zetu katika masuala yasiyo ya msingi.