Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

MB 400 Zinauzwa kwa tsh 2000/_ wananchi tuungane katika hili tuhakikishe FAUSTINE NDUGULILE anapoteza kaz ya uwazir mama yetu n msikivu atatuelewa tu

Sijui wamefikiria nn baada ya kurahusisha huduma wao wameifanya kuwa ngumu intanet sio anasa Kuna wanafunz wanahtaj hi huduma pia ktka masomo yao

#NDUGULILE OUT
Kuna Zege baada ya Pasaka
 
Mkuu, sio basic need kivipi?[emoji849]

Kuna watu wanatumia mitandao kwa masomo, utafiti, biashara, ajira, kazi, nk nk..
Wametumaliza kabisa sasa sijui nia yao ni kukusanya kodi kubwa au kuwadhibiti watanzania wasitumie mitandao haijulikani
 
Screenshot_20210402-081325.png
 
Wakuu,

Kama kweli tunaamini katika uhuru wa mawazo kama haki ya kikatiba, na kama kweli tunaamini katika uwajibikaji wa viongozi, basi naomba huyu waziri Ndugulile asome ninayoandika kama jinsi yalivyo...
Vya mtandao upi maana haya maamuzi yalifanyika baada ya kikao cha kichawi baina ya wenye mitandao na bwana yule kiparangoto aliokabidhiwa wizara nyeti.
 
Hawa wanapima uongozi mpya kuona utafanya nini

Wafanya biashara wameanza kutafuta chokochoko
 
Back
Top Bottom