Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Hii mitandao ya Simu hivi ni kweli inashindwa kutumia fulsa?.

Mmiliki mmoja wa hii mitandao akishusha bei za Bundle kidogo tu, ni wazi atateka idadi kubwa sana ya wateja.
Unadhani kupandishwa huku wameamaua wenyewe hio ni Kodi, sa nani mwenye jeuri nani alipe Kodi kubwa kuliko anachoingiza??
 
unadhani kupandishwa huku wameamaua wenyewe hio ni Kodi, sa nani mwenye jeuri nani alipe Kodi kubwa kuliko anachoingiza??
Kumbe huu ni mkakati wa Serekali ya wanyonge kupandisha kodi?.

Halafu kiongozi akifariki si ajabu utaona watu wanavyosikitika kwa kuondokewa na mkombozi wa wanyonge.

Yaani wanaleta tatizo kisha haohao watakuja kujaribu kutatua tatizo.
 
Internet kwa sasa ni muhimu kama ilivyo kwa chakula/maji.

Ni haki ya msingi kabisa kwa binadamu,sio anasa kutumia internet.

Hivyo bei zielekezwe kwa kuzingatia hilo.

Waache kuziwekea limit of use.. iwe hakuna kuchacha.
Kwako wewe, internet ni sawa kabisa na chakula na maji sio 🤔.?
 
Hakipo hiki kifurushi unachosema, halopesa kuna cha wiki mbili kwa sh 3000 unapata mb 1331.2 na dk 30 na kingine cha wiki moja kwa sj 1000 unapata mb 420 + dk 15
[emoji23][emoji23][emoji2]
 
Kama tusingelikuwa na unafikinafiki watumiaji wote wa simu tungeacha kuweka "vocha" alau siku moja tu kwa mpigo TUNGEELEWANA... Maana inaonesha wanahalalisha "uizi wa makampuni ya simu" Je kwanini wateja hawashirikishwi kutoa maoni yao kabla ya huu upuuzi wao
Utaratibu uliopo mwananchi anashirikishwa kwenye uchaguzi tu ila kwenye ufanyaji wa maamuzi mengne ata kama yanamuhusu direct hashirikishwi, kiongoz anajiona yeye ndio anajua kila kitu anafanya anavyo jisikia
 
Utakuwa na chuki binafsi na hayati, mheshimiwa ametangulia mbele ya haki.

Naomba tuzingatie na tusisahau tupo kwenye awamu ya sita.
Yeye ndio mbunifu hii yote,hii si issue ya mwezi au week chache.Ndungulile alikuwa waziri aliyemteua na kufundisha kusema uongo Kama kawaida ya awamu ya tano
Screenshot_20210402-134157.jpg
 
Sasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
Nguvu baba ako alizopoteza ukazaliwa ni bora angezitumia kupanda miti, leo hii angekua anavuna miti na naiuza kwa faida.
 
Sasa nadhani hata uongo, matusi na takataka nyingine kwenye mitandao vitapungua maana kila mtu na kila sekunde alikuwa kwenye mtandao hata akiwa anatembea iwe barabarani au porini! Matumizi ya mitandao kwa sehemu kubwa ilikuwa hovyo kabisa! Hii imekaa vizuri sana sasa ili mchele na pumba vitengane!
mzee wako kala hasara sana,

bora angebadilishana na ng'ombe saivi angekua na protein za kutosha kuliko wewe mataga garasa
 
Habari wana jamii forum.

Nipo nafuatilia kwa karibu sakata la kupanda bei za vifurushi Tanzania, huku nikiendelea kuomboleza kifo cha mwendazake.

Wana great thinkers, nimefikiria vitu vingi vitakavyosababishwa na mabadiliko ya bei za vifurushi.. na nimekuja na mtazamo ufuatao

1. Tutegemee kushuka kwa pato la wasanii wetu Tanzania, wasanii wengi wanategemea mitandao ya kijamii pamoja na you tube kupata viewers na kutangaza mziki wao, leo washabiki watapungua kwakuwa wengi ni walala hoi.

2. Nategemea soon wamiliki wa ving'amuzi watabadilisha bei, hii imekaaje? Sote tunajua matangazo ya television hutumia internet. Vipi wamiliki wa vituo vya television waki demand more Payments kutoka kwa hawa wamiliki wa ving'amuzi?? Ni wazi gharama itarudi kwa final consumers, na wengine watashindwa kabisa kulipia dekoda zao.

3. Uhuru wa habari kupitia anga za mitandao soon utatoweka, watu watakosa habari, tutarudi kusikiliza maredio majumbani mwetu

4. Wigo wa biashara utakuwa finyu, kuna watu wamezoea kufanya biashara zao mitandaoni, kama people unaotaka kuwatangazia biashara yako they cant afford internet expenses means umeshawapoteza.

5. Gharama ya baadhi ya bidhaa kupanda bei, kuna makampuni mengi shughuli zake nyingi zinategemea internet, hii gharama ya internet iliyopanda watafidia wapi? Kwa final consumers.

6. Tutegemee hata hilo pato kutokana na vifurushi vya internet litashuka badala ya kupanda, niulize kwanini? Sio wote wenye uwezo wa kugharamia internet kwanza is not a basic needs watu wataachana na matumizi ya internet, hasara atapata nani? Serikali mapato yatapungua as well as kampuni zenyewe za simu zitapoteza mapato.

7. Tutegemee baadhi ya makampuni ya simu kushindwa kuafford mishahara ya wafanyakazi, hapa kuna watu watapoteza ajira kwa kigezo cha mapato madogo

Maisha ya mtanzania kwa sasa yamekuwa magumu, hivi vitu vingine ni rahisi watu kuachana navyo.
 
Ni kwamba bei ile ile vifurushi vimeshushwa ,. so hawana hasara,hasara ipo kwa mtumiaji tu,sitarajii hasara kwa kampuni ya Simu,
 
Back
Top Bottom