Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Tangu asubuhi watu na wadau wengi wana lalamika kuhusu mabadiliko ya bando ambazo zimepanda zaidi ya mara mia kama sio zaidi.
Hadi muda huu sijawasikia Tcra, wala wizara husika wakiongea lolote kuhusu haya malalamiko.
Wamekaa kama biashara as usual.
Sasa kwa heshima iliyo kuu tumuombe Mama yetu kipenzi Rais wetu Samia atamke neno kwa Ndugulile na team yake.
Eleweni kwamba kila kitu siku hizi ni kwenye mtandao. Vijana wengi wana soma online kwa kutumia simu. Naomba ondoeni kiburi, njooni na suluhisho la hili tatizo. Huu umekuwa wizi.....
 
Na waambia tu voda songesha ndio silipi sasa kubabake yan EF 2000 mb 900 kuku wa kisasa nyie Yale mazoba yasio jua hata kukimbia ndio nyie voda pumbavu mbwa koko mbuz kasoro mkia panya buku pori chawa wa kubwa paka mwiz wa mboga
 
Tangu asubuhi watu na wadau wengi wana lalamika kuhusu mabadiliko ya bando ambazo zimepanda zaidi ya mara mia kama sio zaidi.
Hadi muda huu sijawasikia Tcra, wala wizara husika wakiongea lolote kuhusu haya malalamiko.
Wamekaa kama biashara as usual.
Sasa kwa heshima iliyo kuu tumuombe Mama yetu kipenzi Rais wetu Samia atamke neno kwa Ndugulile na team yake.
Eleweni kwamba kila kitu siku hizi ni kwenye mtandao. Vijana wengi wana soma online kwa kutumia simu. Naomba ondoeni kiburi, njooni na suluhisho la hili tatizo. Huu umekuwa wizi.....
Shida hii ni kodi kubwa,makampuni yameenda kwa hasara,dollar imepanda sana,ni kupunguza watumiaji wamezidi?!Hata sipati jibu😭😭😭
 
Nguvu baba ako alizopoteza ukazaliwa ni bora angezitumia kupanda miti, leo hii angekua anavuna miti na naiuza kwa faida.
Bao lake bora angelipigia tu puli chooni, Huyu jamaa hajui matumizi ya Data katika ulimwengu huu wa teknolojia
 
Waziri wa habari ajiuzulu haiwezekani anatugeuza sie wananchi kama mazuzu
 
Mh Rais huyu waziri ameshindwa kazi,wananchi kila mtaa wanalalamikia bei gandamizi za vifurushi ya mitandao ya sim

Hili linachafua serikali yako,Ndugulile anakugombanisha na wananchi ,wananchi wameanza kuchukia serikali kisa vifurushi vya sim
 
Back
Top Bottom