labda afunge whatsapp kabisa isipatikane tz. lakin whatsapp kama kampuni hawewazi funga feature ya whatsapp call maana ni moja ya core operation zao.Na anategemea kuondoa whatsapp calls.. wanyonge lazima wataumia zaidi
Kwa sasa nadhani mitandao yote inatakiwa iwe inauza mabando sawa (kama sijakosea) ndio mazunguzo aloyafanya waziri wa habari na mashirika ya simu. Kuwe na USAWA kwa mitandao yoteHii mitandao ya Simu hivi ni kweli inashindwa kutumia fulsa?.
Mmiliki mmoja wa hii mitandao akishusha bei za Bundle kidogo tu, ni wazi atateka idadi kubwa sana ya wateja.
Usiwatukane voda mkuu kwa sasa mitandao yote ndio ivo ndio makubaliano.Na waambia tu voda songesha ndio silipi sasa kubabake yan EF 2000 mb 900 kuku wa kisasa nyie Yale mazoba yasio jua hata kukimbia ndio nyie voda pumbavu mbwa koko mbuz kasoro mkia panya buku pori chawa wa kubwa paka mwiz wa mboga
Serikali sikivu ,Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye....
Kwa hio kwa tuliojiunga jana ndio ishakuwa April fool!!!?Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye....
Bado yanasomeka vile vile au mpk kesho?#BREAKINGNEWS Serikali imesitisha gharama mpya za vifurushi hadi hapo baadae.Imeangiza vifurushi vya zamani kuendela kutumika.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/RlhRJLkXi2
Sasa mbna naona hali ni ile ile ..mm nilizsikiliza vyomba vya hbr hakun ata walioipa uzito swala hili wote walizungumzia ishu zingine ...nilizani hbr kuu itakuwa hyoDar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.....
Ahahaha nimezoea kuweka kamziki kupitia YouTube nikiwa naenda kazini na Ka-vitz kangu!Mimi hili nilianza kuliona huku voda tangu waliposhusha kifurushi cha jimwage cha wiki kutoka kupewa 4gb kwa 5,000 mpaka 2gb. Namimi katika kujibu mapigo nilichofanya ni ku uninstall instagram with immediate effect!...
Ni mkakati wa watawala kuminya uhuru wa kutoa na kupata habari. Mungu ametulipia, ametupa furaha wa Tz mwezi wa March. Tunamuomba atupe raha zaidi kwa kuiua ccm.Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao....
Gharama zirudi kama mwanzo ama chini zaidi.
Mwanzo tuliuziwa 1-1.5mb/tsh now bei imepanda had mara 9 yake