Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
mungu tubariki stars ishindiliwe magoli mengi na itolewe kabisaa
mhhhh,Tz ni zaid ya uijuavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu tubariki stars ishindiliwe magoli mengi na itolewe kabisaa
kweli bora tufungwe yani timu ye2 haijajiandaa kimashindano hata tukikolify kwa kubahatisha tataenda kuaibike tu kama bra7 bora tufungwe tusikolify tujipange vizuri ili tukienda twende kuwin ehhhhhhhhhhh
timu ye2 ikikolify tutapoteza ela bure kwa kushiriki na kutolewa kwa aibu bora tufungwe yani ntafurahiiiiii
mungu tubariki stars ishindiliwe magoli mengi na itolewe kabisaa
ahsante Future president tujipange,tutafika.
mungu tubariki stars ishindiliwe magoli mengi na itolewe kabisaa
Wajomba gemu ni saa ngapi?
NIPE MATOKEO YA taifa staa na mambHii nchi yetu na TFF yetu yaani timu ya Taifa inacheza tena nyumbani halau TBC hawarushi inamaana vipindi vingine mnavyorusha watu wakikata utepe ni vizuri zaidi ya mpira?
Mmeniuzi sana acha niendelee kushabikia Brazil tu. Halafu mechi kama hii mnaweka kiingilio kikuuuubwa wakati Zimbabwe waliweka buku buku.
Kaeni na li timu lenu
NIPE MATOKEO YA taifa staa na mamb
aas ya Msubiji
Hii nchi yetu na TFF yetu yaani timu ya Taifa inacheza tena nyumbani halau TBC hawarushi inamaana vipindi vingine mnavyorusha watu wakikata utepe ni vizuri zaidi ya mpira?
Mmeniuzi sana acha niendelee kushabikia Brazil tu. Halafu mechi kama hii mnaweka kiingilio kikuuuubwa wakati Zimbabwe waliweka buku buku.
Kaeni na li timu lenu
Brazil hii hii ya 7:1? Au kuna nyingine?
kwa upande wa TBC shame on you, mmetuonesha mechi zinachezwa brazil lakini mechi ya taifa letu inayocheza Dar mnashindwa!!!!!