Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Membe ni miongoni mwa mawaziri wachache wachapazi na waadilifu sana ktk baraza zima la JK.

Hayo mnayo msingizia hana kabisa JF tusiji shushie hadhi kiasi hiki.

Binafsi namfahamu Bw Membe, kikubwa nilichokiona kwake ni umakini, uzalendo kwa nchi yake na mapenzi kwa watanzania kwa ujumla.

Kama Membe anawekwa ktk fungu la watu wasio waadilifu basi neno uadilifu halina maana.
 
Hata hiyo kampuni ya Gotham International amabyo inazungumziwa hapa na ambayo ina utaaalam wa kutosha sana na ambayo ilistahili kupata tenda hiyo ya feasibility study na consultancy

Ili kukwepa lawama hapo baadaye, tunaweza kufahamishwa huo uzoefu wa kampuni hii umetoka wapi?

Nimei'google' na ninaambiwa site under construction! Ili kutuondoa wasiwasi mwenye taarifa za uwezo (projects walizofanya, consultants walionao n.k) atueleze.

Ingawa mimi nadhani mradi ni bomu lakini nitafarijika kusikia huyo aliyefanya hiyo feasibility study alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Just a word to the wise.
 
Mjadala huu ni mzuri lakini nasikitika kwamba umejikita zaidi katika mambo ambayo si tu kwamba hayan utafiti wa kina bali ni uongo mkubwa ambao umelenga tu kuchafua majina ya watu na ninaogopa hili linaweza kuharibu heshima ya JF ambayo inasifika kwa kuwa kisima cha mijadala ya kina nailiyojikita kwenye utafiti na ukweli.

Membe na Urais

Kwanza limekuwa ni jambo la kufikirika na hisia miongoni mwa watu kwamba Mheshimiwa huyu ana ambition ya Urais. Ushahidi pekee kama aweza kuita hivyo au link yake na Urais ni kuwa kwake Waziri wa Mambo ya Nje na mazoea ya kwamba wawili kati ya Marais wetu walishika nafasi hiyo kabla. Yeye mwenyewe hajawahi kutamka wala kuonyesha kwa namna yoyote kwamba anapanga kuwania nafasi hiyo. Lakini pia yeye mwenyewe ametamka wazi kwenye kipindi cha Hamza Kassongo (Channel 10) wiki mbili zilizopita kwamba hana nia hiyo na kwamba amefika kilele cha mafanikio au utumishi wake serikalini. kwa hiyo hofu au fikra za ambition hiyo sioni kama zina msingi wowote.

Vitambulisho

Kama mchangiaji mmoja alivyosema, mradi huu ulianza toka wakati wa awamu ya pili na ni kweli kwamba wizara inayohusika ni ile ya Mambo ya Ndani ambayo Membe alikwa Naibu Waziri kwa kipindi cha miezi isiyofika au kuzidi kumi. Inawezekana katika kipindi hicho cha utumishi wake hapo alipata kuhusika lakini nafikiri ni kwa kipindi kidogo sana ambacho kwa vyovyote vile hakikuwa cha mchakato wowote wa uteuzi wa Mkandarasi wa kusupply au hata kufanya feasibility study. Hata hiyo kampuni ya Gotham International amabyo inazungumziwa hapa na ambayo ina utaaalam wa kutosha sana na ambayo ilistahili kupata tenda hiyo ya feasibility study na consultancy ilipata tenda hiyo wakati wa utawala wa awamu ya tatu ambayo membe hakuwa mmoja wao zaidi ya kuwa mbunge kwa kipindi cha miaka mitano ya mwisho ya awamu hiyo. Kwa vyovyote vile Membe asingeweza (hata angetaka) kuwa na influence ya kufanikisha uteuzi wa kampuni hiyo.

Kampuni ya Mwikalo

Ni ukweli ulio wazi na ambao hata mtoa hoja wa kwanza anaujua ni kwamba Membe hana hisa wala uhusika katika kampuni yoyote achilia mbali hiyo inayotajwa ya Mwikalo ambayo hata hivyo haifahamiki na wala hatuna uhakika kama ipo. Kwa hiyo kwa maoni yangu kufahamiana na Mwikalo au yeyote mwenye uwaniaji au kampuni hakuwezi kumfanya Membe ahusike na kampuni hiyo. Kwa ujumla ni uzushi ulio wazi kusema kwamba kampuni ya Mwikalo au kampuni yoyote kama ipo ina uhusiano na Membe au kwamba yeye anahusika na suala la vitambulisho. Kinachoonekana hapa ni kujaribu kuchafua jina la mtu si kwa kile alichofanya bali kwa hofu ya kwamba ana ambition ya urais ambayo ni perceived and not real. UKWELI NI KWAMBA MEMBE HANA INTEREST NA KAMPUNI YOYOTE INAYOOMBA KUCHUKUA MRADI HUU!

Kutokulewana na Waziri Mkuu

Ni uongo ulio wazi na mweupe kwamba Membe haelewani na Waziri Mkuu au vinginevyo. Waziri Mkuu kama kiongozi wa Membe amekuwa na uhusiano mzuri na Membe na wote hao wanafanya kazi kwa karibu bila tatizo. mahusiano yao ya kikazi na kijamii yamekuwa mazuri na yameendelea kuimarika. Kinachojitokeza ni hila za watu kuwagombanisha au ku-create na kuchochea migongano kati yao ambayo wao kama watu wazima wamekuwa wakiipuuza. Sasa kama WM ana nia ya kugombea kiti kikubwa amabyo ni haki ya kila mmoja naye akiwemo, hiyo haiwezi kuwa sababu ya ugomvi wao.

NASHAURI WACHANGIAJI WA JF TUWE WAKWELI NA WATAFITI WA KINA. TULINDE HESHIMA YA FORUM KWA KUJA NA HOJA ZA UKWELI NA ZENYE USHAHIDI WA KUTOSHA.

MBOPAAAAAAA!!!! KARIBU MUHASHIMIWA ...JAPO ULIKUWA UKISOMA KWA PEMBENI....INAFURAHISHA UKIAMUA KUINGIA BINAFSI AU PROXY KUTETEA HOJA HAPA..WENZENU WA UPINZANI KAMA MUHASHIMIWA ZITTO,FREEMAN,JJ MNYIKA ..ETS WANAINGIA NA MAJINA HALISI....TUNGETOA CHANGAMOTO UPANDE WA PILI NAO MUANZE KUINGIA NA MAJINA HALISI....

POST YAKO YA KWANZA ULIYOTUMIA KUTETEA CREDIBILITY ...TUMEIONA ..NADHANI SISI HATUNA NENO NA LEGACY YAKO ILA HISTORIA NDIO ITAKUHUKUMU KAMA NI KWA UCHAPA KAZI AU SMOOTH OPERATOR ..THE TIME WILL TELL...ILA KWA UPANDE WA UTENDAJI KIKAZI UNAJITAHIDI....KUONDOA HIZO KASORO ZA KUWAFANYIA WENZIO POLITICAL SUICIDE BEHIND THE SCENE[ I MEAN WATU KAMA DR HASSY KITINE,SUMAYE,IDDI .,.NA WENGINE WANAJUA MAKALI YAKO...]..NA MCHANGO WAKO KWENYE KAMATI YA USHINDI NI MKUBWA ....

KARIBU!!
 
kweli jf moto. yaani mnamaana mbopaa ndo
mheshimiwa mwenyewe!! haya mi chichemi.
karibu mbopa
 
Jamani hivi hiyo Tenda ilitangazwa kihalali? Je, adjudication yake ilikuwa transparent?

Kama haikuwa hivyo bunge ambalo limeanza kikao lilivalie njuga jambo hili. GT ana point na hawa wanaotetea hawafai kabisa kutetea maana kama kweli Membe hana ambition ya kuwa rais then hata huo uwaziri ajiuzulu, hii ndio mizoga ambayo hatuitaki katika serikali maana imefikia kikomo.
 
JF kwa ku spin hivi r we serious tunaamini kuwa Waziri Membe aje kujibu udaku hapa JF? Haya endeleeni kuishi kwa matumaini tu...

Some people mnashiba kwa mambo kama haya halafu mnawalaumu watu wanaoenda airport kumpokea Lipumba....
 
Jamani hivi hiyo Tenda ilitangazwa kihalali? Je, adjudication yake ilikuwa transparent?

Kama haikuwa hivyo bunge ambalo limeanza kikao lilivalie njuga jambo hili. GT ana point na hawa wanaotetea hawafai kabisa kutetea maana kama kweli Membe hana ambition ya kuwa rais then hata huo uwaziri ajiuzulu, hii ndio mizoga ambayo hatuitaki katika serikali maana imefikia kikomo.

Mkuu Dua,
Ni Membe huyu huyu ambaye anapigia chapuo sasa hivi ule mradi wa magadi kule Manyara kwa kila hali, na kaamua kwamba iwe isiwe lazima lile eneo liuzwe kwa Wahindi kwa ajili ya kuruhusu mradi wa magadi.

Nahisi "Kibuzwagi" fulani hapa. Nahisi ana 10% pale bila shaka, pamoja na kwamba watu wa mazingira wanapinga sana mradi ule.
Yangu masikio.

Mbopo, tetea na hili basi tukusikie!
 
Mtamchosha san Mbopo jamani . Maana najua GT hajaisha anangoja muda muafaka atake jina la Kampuni na ushiriki wa watu ndani yake . Mbopo si utachoka ama unaenda kutafuta nyuzi kwanza ndipo uje ? Membe ana unafiki kama wa JK kwamba hafanyi kumbe kwa chini anafanya kwa kasi ya ajabu .Haya nangoja kusikia utetezi .Sasa hivi mbopo kalala hadi kuche ndipo tutamsikia .
 
..JACK GOTHAM NI KWELI ALISHINDA TENDA YA VITAMBULISHO KAM CONULTANT TOKA MWAKA 2002.JACK NA MEMBE NI MARAFIKI WA MUDA MREFU SANA,NA WALA WAKATI JACK ANASHINDA HIO TENDA MEMBE HAKUWA SERIKALINI

..di Mtoto,

Huyu sindiye waliibandika picha yake kwenye magazeti (Daily News)kuwa "Armed and Dangerous" kitapeli - na kuwa hajaajiriwa wala hana mahusiano na ofisi ya rais au ni Jack mwingine, sasa inakuwaje mtu kama huyu ndiye mshauri mkuu wa mradi kama huu? Huoni kuwa kuna mushkeli au ndio yakale hayanuki?

MBOPAAAAAAA!!!! KARIBU MUHASHIMIWA ...JAPO ULIKUWA UKISOMA KWA PEMBENI....INAFURAHISHA UKIAMUA KUINGIA BINAFSI AU PROXY KUTETEA HOJA HAPA..WENZENU WA UPINZANI KAMA MUHASHIMIWA ZITTO,FREEMAN,JJ MNYIKA ..ETS WANAINGIA NA MAJINA HALISI....TUNGETOA CHANGAMOTO UPANDE WA PILI NAO MUANZE KUINGIA NA MAJINA HALISI....

POST YAKO YA KWANZA ULIYOTUMIA KUTETEA CREDIBILITY ...TUMEIONA ..NADHANI SISI HATUNA NENO NA LEGACY YAKO ILA HISTORIA NDIO ITAKUHUKUMU KAMA NI KWA UCHAPA KAZI AU SMOOTH OPERATOR ..THE TIME WILL TELL...ILA KWA UPANDE WA UTENDAJI KIKAZI UNAJITAHIDI....KUONDOA HIZO KASORO ZA KUWAFANYIA WENZIO POLITICAL SUICIDE BEHIND THE SCENE[ I MEAN WATU KAMA DR HASSY KITINE,SUMAYE,IDDI .,.NA WENGINE WANAJUA MAKALI YAKO...]..NA MCHANGO WAKO KWENYE KAMATI YA USHINDI NI MKUBWA ....

KARIBU!!

Kaka kawachafua wengi sana uliowataja ni wachache. anajifanya rais na mbili anamuona DR.Shein hana chake.

Fikiraduni uko wapi kwenye udaku? njaa itakuua kutetea kila jambo, namshukuru GT kutuletea mada ya Suzane Mungi kwenye hiyo picha namuona dada yako Suzane kikwapa kinatoka jasho mnunulie Deodrant.

Masatu nawe ni njaa au kujikomba?

kaka Mbopo njoo mheshimiwa au uko kenya kwenye mgogoro nimekumbuka utakuwa Bungeni?
karibu MBOPO
 
Kwa uelewa wamngu Mungy na FD hawatoki mkoa mmoja wala hawana connection hata ya ukabila landa mdogo wangu FD aliamua ku challenge ama kukataa akiwa na facts zake ambazo hakuzipitia vyema ndiyo zikamwingiza ama FD yupo kazini kama wengine ila la Udada na Ukaka nalikataa maana wote 2 nawajua vyema .

Susane alifanya uchafu sana London hadi kuzaa na mtoto mdogo sana mbele ya mumewe Mungy ambaye hakuwa na sauti.

Masatu sitamsema maana sijui kajikomba wapi tuendelee na issue ya ID za kitaifa .Sina shida kama njia sahihi zitatumika kuzitengeneza ili kuondoa malumbano haya .Ndimi

Joseph Cleophas Lunungu Mademla mwana wa Matandula .
 
Membe ni miongoni mwa mawaziri wachache wachapazi na waadilifu sana ktk baraza zima la JK.

Hayo mnayo msingizia hana kabisa JF tusiji shushie hadhi kiasi hiki.

Binafsi namfahamu Bw Membe, kikubwa nilichokiona kwake ni umakini, uzalendo kwa nchi yake na mapenzi kwa watanzania kwa ujumla.

Kama Membe anawekwa ktk fungu la watu wasio waadilifu basi neno uadilifu halina maana.

Lunyungu.

Njaa ya Masatu hiyo hapo juu.au tuite kujikomba?

mshauri ndugu yako.
ya suzanne Mungi makubwa umenitisha basi hana mume ana Bushoke. jee huyo kijana aliyezaa nae kashindwa kumnunulia dawa ya kijasho cha kwapa?
 
Tuache hizo za Mungy ila nilitaka tu kukupa picha kwamba FD ni ndugu yako wewe hana connection na Suzane . Kijana wa mwaka 1972 ambaye alimwacha mke na watoto wako London hadi sasa na yeye kijana akawa deported yuko Dar anaishi Kinondoni .Ila connections zake za ukurugenzi zimeniacha hoi.

Juzi nimeongea na mkuu mmoja wa Ubalozi akaniambia Tanzaia hawa angalii maadili ila uwezo wa kazi naona ndiyo kigezo kilitumika kumpa Ukurugenzi laiti kama ni maadili yanatumika Suzanne ni mchafu kuliko nlivyo sema hapa kwa uchache.

Tuendeee na hoja tuache maisha ya watu bwana.
 
Lunyungu.

Unawajua watu wengi sana FD na suzane,Nungwi na Fikiraduni.

Nungwi nini maana ya Bushoke?au ule wimbo wa Bushoke?

Mbopo uko ? na msemaji wa Lowasa aje kuweka vitu kama MBOPO hii ngoma ni nzito.
 
Lunyungu.

Njaa ya Masatu hiyo hapo juu.au tuite kujikomba?
mshauri ndugu yako.
ya suzanne Mungi makubwa umenitisha basi hana mume ana Bushoke. jee huyo kijana aliyezaa nae kashindwa kumnunulia dawa ya kijasho cha kwapa?

Nungwi,

Wewe mzushi huna hoja majungu tu, by the way vp mzumbe huko na ule upambe wako kwa Prof Warioba naona utakuwa umeisha maana kishapigwa chini na utakuwa na njaa zaidi kuliko mimi upo ubaoni sasa
 
Mbopo nyingine hiyo njoo ukanushe nimeiona kwenye thread ya Diallo na community Airline.

Ngao
Member Join Date: Tue Aug 2007
Posts: 25
Rep Power: 0

Thanks: 2
Thanked 7 Times in 6 Posts
Credits: 1,240

Re: Community airlines ni ya nani?

--------------------------------------------------------------------------------

Mimi nafikiri tatizo la hapa kwetu watu wanaanza biashara zao kama hizo ambazo zinastahili sifa kwa kuwa ni uwekezaji wa maana, lakini wanafanya kimya kimya tu kana kwamba hawana uhakika na ufanisi wa mambo baadae au labda vyanzo vyao vya fedha vina utata. Katika hali ya kawaida na ya uwazi, ingefaa wadau wajitokeze na kutueleza wao ni nani ili na sisi tuwaunge mkono wazalendo wenzetu hao.

Jana nilikuwa nachat na jamaa yangu ambaye ni insider (sort of)wa shughuli za Diallo. Amenieleza kuwa katika Community wamo Diallo, Membe na mzee Mengi kati ya wamiliki watano. Hao wengine wawili hawajajulikana bado, labda ni wazito zaidi kwa hiyo wanajificha zaidi(!?).

Hili la kumhusisha Mengi na kundi hili kwanza lilinistua kidogo, nikataka kulikataa, lakini nikakumbuka kuwa aliwahi kuanzisha tena shirika la ndege (Tanzania One kama sikosei) na jamaa wengine.

Kwa vyovyote haya mambo hayawezi kuwekwa uvunguni daima. Si kuna watu watakaoweza kwenda huko BRELA na kwingineko kufanya search itakapobidi?
 
..di Mtoto,

Huyu sindiye waliibandika picha yake kwenye magazeti (Daily News)kuwa "Armed and Dangerous" kitapeli - na kuwa hajaajiriwa wala hana mahusiano na ofisi ya rais au ni Jack mwingine, sasa inakuwaje mtu kama huyu ndiye mshauri mkuu wa mradi kama huu? Huoni kuwa kuna mushkeli au ndio yakale hayanuki?

NI KWELI WALIMTOA KATIKA GAZETI LAKINI HAWAKUSEMA SABABU HIVYO KAMA YALUKUWA NI MAJUNGU HAKUNA ANAEJUA .MIMI NACHOFAHAMU NI KUWA WALIMUOMBA MSAMAHA NA KUNA WATU WALICHUKULIWA HATUA KWA KUFANYA JAMBO LILE.
 
JF kwa ku spin hivi r we serious tunaamini kuwa Waziri Membe aje kujibu udaku hapa JF? Haya endeleeni kuishi kwa matumaini tu...

....

Kwani Membe anatofauti gani na watanzania wengine wanaochangia hapa JF kwa kutumia Nick names?

Masatu, pamoja na ukongwe wako hapa JF, ulichoongea hapo juu ni kujishushia hadhi yako. Umemkuza sana MEMBE, as if ni binadamu anayetofautiana na binadamu wengine.

To me, this is absolutely bizzare!
 
Back
Top Bottom