Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Mimi nadhani hii ni UDAKU.
Kuna uthibitisho gani kuwa Membe ana kampuni na anamtumia Mwikalo kama front man wake?, Ina maana Mwikalo akiamua kuwa na kampuni yake na ujuzi anao, asipewe kwasababu anamjua/kufahamina na Membe?!
Acheni wivu jamani!
Ama kweli wewe FIKIRA DUNI
nakumbuka kwenye thread hii ya SUSAN MUNGY ulisema kuwa ni udaku
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=3498&highlight=susan+mungi&page=8