Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Ninajiweka pembeni kwa muda kidogo nikitoa muda kwa GT tuliyeambiwa ameenda msituni kutuletea majina ya kampuni za Membe/Mwikalo na Lowassa zinazoshindania mradi wa ID. Naogopa "mtindi mkali" kama aliomwagiwa ndugu yangu hivi karibuni.

GT, ukiona huko msituni kuna giza nene sana, rudi tu ndugu yangu urekebishe mambo tuendelee na mijadala mingine kwani mchango wako humu ni muhimu sana. Haya ni mambo ya kawaida tu, hata BUSH huwa anadanganywa. Usitokomee huko, huna kesi ya mauaji.

Ukikosa nauli ya kurudia tu-beep tukutumie, ila nakushauri usipoteze muda wako mwingi huko msituni, ktk hili "UMELIKOROGA", waliokuletea jungu hili si wema kwako, kuwa makini nao huenda wanataka kukuharibia sifa yako nzuri uliyoijenga kwa muda mrefu ktk JF.

Namalizia kwa kukukumbusha kuwa kuna aina mbili za uongo. Kuna uongo mdogo hufanywa na watu wadogo, madhara yake huwa yanakuwa madogo kwa sababu huyu mdogo anaweza kukemewa na akaacha. Uongo mkubwa hufanywa na watu wakubwa, madhara yake huwa yanakuwa makubwa (hasa kwa yule anayesingiziwa uongo huo) kwa sababu huyu mkubwa hana wa kumkemea.

Oh Come on!

GT juzi aliaga hapa (kabla hujasajili kwa hili jina) na kusema kuwa atakuwa bize for the next few days. Kwa sasa wakati akiwa bize tunaendelea kujadili kuhusika kwa membe kwenye mkataba wa Buzwagi na kuhusika kwa Lowasa kwenye richmonduli!
 
Mwafrika wa Kike,

Inaonekana ama umri wako umekuwa mkubwa sana au una mambo mengi sana kichwani hata kukufanya uwe mzito kuelewa mambo. Hili si kosa lako, ni tatizo la kibaiologia tu. Nimekusamehe... yaelekea unahusudu sana umbea na majungu
 
Haya, hebu tuletee hiyo issue ya Buzwagi na kuhusika kwa waheshimiwa hao tena
 
Mwafrika wa Kike,

Inaonekana ama umri wako umekuwa mkubwa sana au una mambo mengi sana kichwani hata kukufanya uwe mzito kuelewa mambo. Hili si kosa lako, ni tatizo la kibaiologia tu. Nimekusamehe... yaelekea unahusudu sana umbea na majungu

Wewe na hizi baiologia zako naona unaanza mjadala mrefu sana hapa. Hebu kwanza tujadili hiyo baiologia yako hapa kabla ya mambo mengine yote!
 
Ukisikia kuishiwa hoja ndio huko. Ulitakiwa kumsisitiza GT alete majina ya makampuni ya hao aliyowatuhumu, na sio kutaka kupindisha hoja na kuipeleka kujadili "biologia" hebu kuwa makini wakati wa kujadili hoja hapa
 
Mimi nawewe nani ameanzisha issue ya baiologia. Hapa hoja za kutatanisha kama zako hazipewi breki hapa. Elezea baiologia yako na ulichomaanisha damn it!
 
Taratibu Mwafrika wa Kike, ninakuomba tusirukie hoja ambazo hazijaletwa hapa kujadiliwa. Unachotaka kuleta sasa ni biashara ya "kutunga ushanga" ambayo sina ujuzi nayo. Tujadili hoja ya msingi iliyoletwa na GT kama inavyosomeka ktk title hapo juu.

Usikasirike, ni vijimambo tu
 
Taratibu Mwafrika wa Kike, ninakuomba tusirukie hoja ambazo hazijaletwa hapa kujadiliwa. Unachotaka kuleta sasa ni biashara ya "kutunga ushanga" ambayo sina ujuzi nayo. Tujadili hoja ya msingi iliyoletwa na GT kama inavyosomeka ktk title hapo juu. Usikasirike, ni vijimambo tu

Kinvaba,

Unaonekana kuwa mtu mstaarabu- I have liked your reaction to M. Kike!
 
Taratibu Mwafrika wa Kike, ninakuomba tusirukie hoja ambazo hazijaletwa hapa kujadiliwa. Unachotaka kuleta sasa ni biashara ya "kutunga ushanga" ambayo sina ujuzi nayo. Tujadili hoja ya msingi iliyoletwa na GT kama inavyosomeka ktk title hapo juu. Usikasirike, ni vijimambo tu

mhh sasa tumeanza kutunga ushanga!
 
Nina wasi wasi mkubwa kwamba Kinvaba utakuwa umeshikwa kubaya maana wewe nguvu zako zote ni hapa tu. Pole sana kuwa mpole na GT atazuka ondoa pressure this is JF utakuja kimbia hapa.

Tuulize sisi ambao tunakupoza tuna uzoefu hapa wacha wewe kukomaa na hili tu ushahidi utamwagwa baadaye utataka kuhoji usahihi wa ushahidi.

Usicheze wewe .Hata JK na Serikali walibisha juu ya mambo ya Ballali kujiondoa leo wako kimya mana ni kweli alijiondoa na JF within no time wakawa na nyeti . Kwa nini basi mtoa hoja asimtaje Jasusi, Mkandara, mwanakijiji, Es etc ?Lakini kaja na majina haya tu why ? Kwa nini ?
 
Mzalendohalisi,

Unajua kama hatukuwa makini tutapoteza hadhi ya Jambo Forums na kuwa "Jungu Forums".
Ni vizuri mtu anapoleta hoja basi tuijadili kwa kina kwa manufaa ya Taifa letu. Tukianza kukumbatia "Majungu" tutapoteza mwelekeo halisi wa JF.
Tusikubali JF iwe ni kijiwe cha kupiga porojo za "Pwagu na Pwaguzi".

Simsemi wala kumuandama vibaya GT, ila namshauri awe makini anapotoa hoja zake. Mimi nadhani hapa tunajadili HOJA ya NGUVU, na sio Nguvu ya Hoja.
Nina imani wapo wanaonielewa vizuri, na wapo wasionielewa.

Hii ni hulka ya mwanadamu kwani huwa tunatofautiana sana ktk kuelewa. Hulka hii huchangiwa na mambo mengi ktk makuzi yetu.
 
Mzalendohalisi,

Unajua kama hatukuwa makini tutapoteza hadhi ya Jambo Forums na kuwa "Jungu Forums".
Ni vizuri mtu anapoleta hoja basi tuijadili kwa kina kwa manufaa ya Taifa letu. Tukianza kukumbatia "Majungu" tutapoteza mwelekeo halisi wa JF.
Tusikubali JF iwe ni kijiwe cha kupiga porojo za "Pwagu na Pwaguzi".
Simsemi wala kumuandama vibaya GT, ila namshauri awe makini anapotoa hoja zake. Mimi nadhani hapa tunajadili HOJA ya NGUVU, na sio Nguvu ya Hoja.
Nina imani wapo wanaonielewa vizuri, na wapo wasionielewa. Hii ni hulka ya mwanadamu kwani huwa tunatofautiana sana ktk kuelewa. Hulka hii huchangiwa na mambo mengi ktk makuzi yetu.

Your last post sound like you have concluded kwamba GT kaongopa which is very wrong .Naona umeguswa pabaya na uko hapa na kazi moja kutaka kugeuza JF kwamba inaelekea kwenye majungu.

Mimi nasema na nakuomba ukae kimya sasa umesha andika vya kutosha your point is being heard now rest and wait GT atafanya nini .
 
Mzalendohalisi,

Unajua kama hatukuwa makini tutapoteza hadhi ya Jambo Forums na kuwa "Jungu Forums".
Ni vizuri mtu anapoleta hoja basi tuijadili kwa kina kwa manufaa ya Taifa letu. Tukianza kukumbatia "Majungu" tutapoteza mwelekeo halisi wa JF.
Tusikubali JF iwe ni kijiwe cha kupiga porojo za "Pwagu na Pwaguzi".
Simsemi wala kumuandama vibaya GT, ila namshauri awe makini anapotoa hoja zake. Mimi nadhani hapa tunajadili HOJA ya NGUVU, na sio Nguvu ya Hoja.
Nina imani wapo wanaonielewa vizuri, na wapo wasionielewa. Hii ni hulka ya mwanadamu kwani huwa tunatofautiana sana ktk kuelewa. Hulka hii huchangiwa na mambo mengi ktk makuzi yetu.

Hizi hulka zako naona zinakupeleka kubaya ndugu yangu nahayo makuzi yako! Unasubiria kujibu swala la baiologia yako na kutunga shanga hapa !
 
Nakupata vizuri sana Lunyungu, sidhani kama tupo hapa kukimbizana. GT alipotoa hoja alitamka kuwa Membe ana kampuni iliyosajiliwa US na akamtaja Mwiakalo kuwa ndio anayeiongoza huko, na kampuni hiyo inashindania mradi wa ID.

GT hakutaja kampuni ya pili ya Lowassa, sijui ni kwa sababu zipi. Kwa akili za kawaida mtu anaposema fulani ana kampuni huwa naamini kuwa jina la hiyo kampuni LAZIMA atakuwa analijua, dio maana ninamuomba atutajie majina ya kampuni hizo ili tuanze kuzichambua hadaharani.

Unajua sio vizuri mtu kukurupuka na kuzusha kuwa "Lunyungu ana gari" halafu hasemi ana gari gani, huu ni mfano tu.
 
Nakupata vizuri sana Lunyungu, sidhani kama tupo hapa kukimbizana. GT alipotoa hoja alitamka kuwa Membe ana kampuni iliyosajiliwa US na akamtaja Mwiakalo kuwa ndio anayeiongoza huko, na kampuni hiyo inashindania mradi wa ID. GT hakutaja kampuni ya pili ya Lowassa, sijui ni kwa sababu zipi. Kwa akili za kawaida mtu anaposema fulani ana kampuni huwa naamini kuwa jina la hiyo kampuni LAZIMA atakuwa analijua, dio maana ninamuomba atutajie majina ya kampuni hizo ili tuanze kuzichambua hadaharani.
Unajua sio vizuri mtu kukurupuka na kuzusha kuwa "Lunyungu ana gari" halafu hasemi ana gari gani, huu ni mfano tu.

The same thing ambacho umesema hapa kuhusu baiologia, shanga, hulka na makuzi na ukiulizwa unaingia mtini! Kazi ya kutetea mafisadi ni ngumu sana enhee!
 
Lunyungu, nadhani kama nakubaliana na wewe kuwa nikae kimya nisubiri mpaka GT atoke msituni. Sitapoteza kitu kwa kuzingatia ushauri wako nasaha. NASUBIRI...
 
Lunyungu, nadhani kama nakubaliana na wewe kuwa nikae kimya nisubiri mpaka GT atoke msituni. Sitapoteza kitu kwa kuzingatia ushauri wako nasaha. NASUBIRI...

Ulilijua hili ila ukaleta baiolojia, shanga, makuzi na hulka hapa sasa yako wapi!
 
Naona Mwafrika wa Kike anataka tujadili maneno yafuatayo: Hulka, Kutunga Ushanga na biologia.

Mtu aliyezoea umbea na majungu utamjua tu, unaacha kujadili hoja muhimu kwa manufaa ya Taifa unakazania tujadili maneno yaliyotumika ktk kuleta ujumbe. Sitakushangaa baadae ukitaka tujadili namna ya kukaa wakati tunatoa hoja. Hebu kuwa makini kidogo.... na usitoke nje ya hoja husika.
 
Back
Top Bottom