Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Lazima utukane maana kuchunguzwa na ICC sio jambo la kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha 2016 Seif alipoiambia dunia kwamba atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar baada ya miezi 3. Mpka leo seif anagojea miezi 3
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha 2016 Seif alipoiambia dunia kwamba atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar baada ya miezi 3. Mpka leo seif anagojea miezi 3
Kwani 2016 Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa iliwai kutoa tamko dhidi ya Tanzania???
 
Kelele zote hizi za ICC Magufuli hata habari hana,yani atweet wala azungumzii kabisaa kuhusu huu utopolo wa ICC au kumjibu bwana mdogo Lissu.
 
Lete tamko mojawapo lililotolewa na kamisheni ya umoja w mataifa dhidi ya museveni tulione hapa
Ndio maana tulimwambia hata Lisu kwamba nyie watu mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji.

Ona sasa kumbe hata siasa za hapo uganda tu huzijui halafu unarukia mambo ya ICC
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani 2016 Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa iliwai kutoa tamko dhidi ya Tanzania???
Sasa kama umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji utaelewa chochote kuhusu 2016?
 
Mtabaki kuimba nyimbo za mabeberu mara uchaguzi huo tena..mnaanza kuimba upya.
 
Usihusishe Gwajima na genge lake.
 
Nao wajiangalie PK
Your browser is not able to display this video.
 
Amsterdam alichangia sana kufifisha ushindi wa Lisu nyie wajinga hamuwezi kulijua hili
Wajinga nyie mnaoiba kura hadharani mnashindwa hadi kushangilia ushindi...The Hague inawaita..Haishitakiwi nchi bali individual
 
Wajinga nyie mnaoiba kura hadharani mnashindwa hadi kushangilia ushindi...The Hague inawaita..Haishitakiwi nchi bali individual
Na itabatilisha matokeo na kumpa ushindi Lissu ama sivyo?
 
Stupidddy..Yani wewe na akili yako yoote unaandika utumbo Kama huu...ulishaona wapi nchi ya demokrasia Kama hiii,. Baba wa demokrasia Afrika na dunia,. Ikanyooshewa mikono Kama unavyoandika..ni upumbaf mtupu..Kama hamna kazi za kufanya si basi hata mkalime mchicha pale bonde la jangwani..tafuteni ripoti za waangalizi wa kimataifa msome, Hui utakuwa ushahidi tosha...tafuteni lingine
 
Mtabaki hivyohivyo nyambaffff mpaka 2025..mwenzeni Lissu ameshakubali yaishe anataka maridhiano..sijui ya Nini .anadhani madaraka yanapatikana kirahisirahisi hivyo..muulizeni Dr Magu...na wananchi..
 
Hahaha tendo la kushangilia limewekwa kwenye Sheria gani ya uchaguzi...kipengele kipi jomba..unaumwa
Hata class monitor akichaguliwa wanafunzi wanashangilia itakuwa raisi...matusi ya nini jiheshimu na sio lazima ureply
 
HAKUNA kula na kipofu Wala Nini Kama ulitaka ale na huyo mbwatukaji wenu ili mjaze matumbo yenu mnyamaze safari hii endeleeni kubweka HAKUNA wa kuwatupia mawe Tanzania inasonga mbele na HAKUNA Cha ICC wala Nini Tanzania nchi huru mkitaka kutawalia mfateni huyo shoga huko ughaibuni.
 
Kwa ubabe alionao unaweza kusikia wiki hii Tanzania tunajitoa kwenye hiyo mikataba inayotufunga kuwa ndani ya hiyo mahakama ya ICC!!

Wana CCM walamba miguu wanaiona hii ndiyo the only escape road il1iyo mbele yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…