Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

Wewe ni mlamba makalio [emoji527], ulianza mafuta, umekuja bando sasa umeme, marehemu magu katuachia ugonjwa wa kipuuzi saana, kusifia sifia.

[emoji23] [emoji23]
 
Opportunity Cost utaua watu kwa presha hahaha,

Mama Samia sio level yao
Wakifa itapendeza watatupunguzia kero mtaani na kwenye mitandao..

Mama atajenga vyumba vya madarasa 15,000 by January 2022 na vituo vya afya 250 by June 2022..

Wazee wa legacy watakuja na excuse ooh sisi hatukuwa na tozo ooh blah blah kibao kwani nani kawakataza kuweka tozo?

Yaani Wana wasiwasi legacy kufunikwa πŸ˜†πŸ˜†
 


Fungua hiyo attachment,

Hapa ni

1kwh per US$,

So chukua $0.099 change to Tshs,

1$ = 2,200

Hence 0.099x 2200 = TZS
 


CCM YA AWAMU YA 6 NI MOTO MKALI,

WANACHOWEZA KWA SASA NI KUTUKANA TU,
 
Watanzania tuweni na shukrani
Sawa mkuu tutakuwa na shukurani. Ila kumbuka umeme tu kuwa na bei ndogo haimaanishi ahueni ya moja kwa moja katika maisha ya kila siku. Unauziwa umeme bei ndogo halafu unakumbana na tozo ya miamara ya kukomoa
 
VIVA VIVA VIVA TANZANIA 😍πŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
Hivi vyote si kavikuta hivyo? Tena vilikuwa chini ya hapo, kwa maana kwenye umeme kulikuwa hakuna tozo ya nyumba
 
Daaah

hizo project Mzee Tangu Uhuru hazijawahi kushuhudiwa ,

Amkeni WatanzanIa tufanye kazi kila kitu kiko wazi,
Uchumi ukifanya vizuri especially Utalii ukirejea japo kwa nusu tuu Mama atafunika wote waliopita,hapo nimeweka baadhi tuu maana limit ya Jf ni attachment 30 ninazo nyingine..

Sio tuu hazijawahi shuhudiwa bali zinafanyika ndani ya mda mfupi kabisa wa miezi 6 ,ndio kwanza ni bajeti ya kwanza ya mama hadi ifike 2022 June mengi atakuwa amefanya hasa kwenye sekta ya biashara na utalii..
 
Mnatuona wajinga sana

Watu wataenda kununua kiwese Zambia huko. Na naanzaje kujilinganisha na Rwanda
 
Angaliaga na GDP za watu Rwanda ni Landlocked Umeme wao kwa asilimia kubwa unatumia Diesel ambayo lazima isafirishwe kupitia Dar au Msa.

Iko siku utasema tumsifie Mama kwa sababu anapigia Colgate Raisi wa Somalia apigia mswaki wa mti.
 
Chama cha mapinduzi kimechoka, kimechokwa, hakifai tena. Kwa rasilimali watu na vitu tulizojaliwa, hatutakiwi kujilinganisha kiboya hivi.


Kwani tuna nini zaidi ya wenzetu?

Bila chama cha mapinduzi leo ungeweza kukomment hapa?

Tuendelee kumuunga mkono Mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…