Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hakuna kuchoka yaani miezi 6 tuna rundo la mafanikio ya kuonyesha 😅😝Sawa sawa,mafanikio mema kwenye project yenu,lakini mtaimaliza mmechoka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kuchoka yaani miezi 6 tuna rundo la mafanikio ya kuonyesha 😅😝Sawa sawa,mafanikio mema kwenye project yenu,lakini mtaimaliza mmechoka sana
Ahahahahaah kama yapi?Hivi unajua/mnajua kati ya matamanio na utekelezaji,niambie ni kipi mlichotekeleza zaidi ya tozoHakuna kuchoka yaani miezi 6 tuna rundo la mafanikio ya kuonyesha 😅😝
Sukuma gang mnahangaika sana,sukuma gang iliyokuwa kwenye system ndio tunanyoka nayo sio hao wasaka mlo ..
Go mama go 😀😀
View attachment 1954999
View attachment 1955000
View attachment 1955001
View attachment 1955002
View attachment 1955003
View attachment 1955005
View attachment 1955012
Wakifa itapendeza watatupunguzia kero mtaani na kwenye mitandao..
Ni bora afanye yeye mwenyewe kwani inawezekana sijamuelewa vyema katika hizo data alizotoa,
Kwahesabu za (unit Kwhr), kwa kila nchi hesabu inakuwa hivi:-
1---Rwanda 0.258 kwhr --- Tsh 567.6
(kwa 1kwhr=Tsh 2,200.)
2----Kenya 0.212 kwhr----Tsh466.4.
(Kwa 1kwhr =Tsh, 2200)
3---Uganda 0.191 kwhr ----Tsh 420.
(Kwa 1kwhr=Tsh2,198)
4----Tz 0.099 kwhr---Tsh217.8
Kwa 1 kwhr= Tsh 2,200
Ndio maana nikataka yeye mwenyewe atoe ufafanuzi wa hicho alichoandika kwani simuelewi, kwani nijuavyo hapa Tz unit 1 (1kwhr) ni karibu Tsh 355.
Fungua hiyo attachment,
Hapa ni
1kwh per US$,
So chukua $0.099 change to Tshs,
1$ = 2,200
Hence 0.099x 2200 = TZS
1. Rwanda 0.258kWh au TZS 567,6
2.Kenya 0.212kWh au TZS 466.4
3. Uganda 0.191kWh au TZS 420.2
4. Tanzania 0.099kWh au TZS 217.8
Wakifa itapendeza watatupunguzia kero mtaani na kwenye mitandao..
Mama atajenga vyumba vya madarasa 15,000 by January 2022 na vituo vya afya 250 by June 2022..
Wazee wa legacy watakuja na excuse ooh sisi hatukuwa na tozo ooh blah blah kibao kwani nani kawakataza kuweka tozo?
Yaani Wana wasiwasi legacy kufunikwa 😆😆
Yaani mambo ni mengi huwezi maliza.Tunaongea kwa facts,namba na Takwimu.Ahahahahaah kama yapi?Hivi unajua/mnajua kati ya matamanio na utekelezaji,niambie ni kipi mlichotekeleza zaidi ya tozo
DaaahYaani mambo ni mengi huwezi maliza.Tunaongea kwa facts,namba na Takwimu.
Baadhi yake ni kama ifuatavyo 👇
View attachment 1955057
View attachment 1955058
View attachment 1955059
View attachment 1955060
View attachment 1955061
View attachment 1955062
View attachment 1955063
View attachment 1955064
View attachment 1955065
View attachment 1955067
View attachment 1955068
View attachment 1955069
View attachment 1955070
View attachment 1955071
View attachment 1955072
View attachment 1955073
View attachment 1955074
View attachment 1955075
View attachment 1955076
View attachment 1955077
View attachment 1955078
View attachment 1955079
View attachment 1955080
View attachment 1955081
View attachment 1955082
View attachment 1955083
View attachment 1955084
View attachment 1955085
View attachment 1955086
View attachment 1955087
Sawa mkuu tutakuwa na shukurani. Ila kumbuka umeme tu kuwa na bei ndogo haimaanishi ahueni ya moja kwa moja katika maisha ya kila siku. Unauziwa umeme bei ndogo halafu unakumbana na tozo ya miamara ya kukomoaWatanzania tuweni na shukrani
Nakusogezea usome kwa kutulia acha papara this is CCM,Ulipoandika hizi data ulikuwa na maana gani??
VIVA VIVA VIVA TANZANIA 😍💪👊👍Wasalaam JMT,
.........Kazi iendelee .........
Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )
Vilevile,baada Tanzania kutajwa kuwa nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake,
Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-
1. Rwanda 0.258kWh au TZS 567,6
2.Kenya 0.212kWh au TZS 466.4
3. Uganda 0.191kWh au TZS 420.2
4. Tanzania 0.099kWh au TZS 217.8
Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme anaotumia Mtanzania kwa siku mbili akienda Rwanda, Kenya au Uganda atatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani nchi yetu iko vizuri Sana,
Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,
" Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana tusijidharau wala kujilalamikia God loves us "
VIVA TANZANIA VIVA | VIVA SAMIA VIVA![]()
Electricity prices around the world | GlobalPetrolPrices.com
.table-container { width: 100%; max-width: 800px; margin: 0 auto; font-family: Arial, sans-serif; } table { width: 100%; border-collapse: collapse; margin: 0; } th { background-color: #f9f9f9; border-top: 1px solid lightgray; border-bottom: 1px solid...www.globalpetrolprices.com
View attachment 1954959
Hivi vyote si kavikuta hivyo? Tena vilikuwa chini ya hapo, kwa maana kwenye umeme kulikuwa hakuna tozo ya nyumbaTanzania ya Samia ni noma,
Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
Uchumi ukifanya vizuri especially Utalii ukirejea japo kwa nusu tuu Mama atafunika wote waliopita,hapo nimeweka baadhi tuu maana limit ya Jf ni attachment 30 ninazo nyingine..Daaah
hizo project Mzee Tangu Uhuru hazijawahi kushuhudiwa ,
Amkeni WatanzanIa tufanye kazi kila kitu kiko wazi,
Mnatuona wajinga sanaWasalaam JMT,
.........Kazi iendelee .........
Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine zinazounda jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC )
Vilevile,baada Tanzania kutajwa kuwa nchi yenye gharama ndogo ya kununua bando yaani ( GB 1 ) Africa || Pongezi ziende kwa kiongozi mkuu wa Serikali Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa na nzuri anazozifanya katika kuwaletea maendeleo endelevu watu wake,
Ukisoma taarifa za jarida maarufu duniani la GPP ( Global Petrol Price) linaonesha hadi mwanzoni mwaka huu wa 2021 na mwishoni mwamwaka 2020 bei ya Umeme kwa ( kWh) kwenye mataifa makubwa ya Africa mashariki ( electricity tariff ) ilikuwa kama ifuatavyo :-
1. Rwanda 0.258kWh au TZS 567,6
2.Kenya 0.212kWh au TZS 466.4
3. Uganda 0.191kWh au TZS 420.2
4. Tanzania 0.099kWh au TZS 217.8
Hapa Watanzania mnielewe vizuri,Bei hii inamaana kuwa "Umeme anaotumia Mtanzania kwa siku mbili akienda Rwanda, Kenya au Uganda atatumia Umeme huohuo kwa masaa tu " Watanzania tuweni na shukrani nchi yetu iko vizuri Sana,
Watanzania lazima tuelewe vizuri, Juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi kupitia Serikali yake katika kuwaletea unafuu wa maisha wananchi wake huwezi kuzipata popote pale Africa na ushahidi ni hizi taarifa ambazo chanzo chake si Watanzania,
" Amini nawaambieni,Tanzania tuko vizuri Sana tusijidharau wala kujilalamikia God loves us "
VIVA TANZANIA VIVA | VIVA SAMIA VIVA![]()
Electricity prices around the world | GlobalPetrolPrices.com
.table-container { width: 100%; max-width: 800px; margin: 0 auto; font-family: Arial, sans-serif; } table { width: 100%; border-collapse: collapse; margin: 0; } th { background-color: #f9f9f9; border-top: 1px solid lightgray; border-bottom: 1px solid...www.globalpetrolprices.com
View attachment 1954959
Chama cha mapinduzi kimechoka, kimechokwa, hakifai tena. Kwa rasilimali watu na vitu tulizojaliwa, hatutakiwi kujilinganisha kiboya hivi.