Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

1. Premier line
2. Kandahar invest
3. Msigwa Express
4. Njombe express

Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa.

Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa.

Waongea ukweli wanatekwa na kupigwa Risasi za Kichwa.
 
Hii Ajali ya NBS imetokea Gairo na kuondoka na roho ya Mwanajeshi wetu Mzanzibari. Alikuwa anatokea kwao

Alipata seat ya nyuma akang'ang'ania Seat ya Staff.

Amevunjika miguu akapelekwa Hospitali ya wilaya ya Gairo, wakashindwa Mtibia, ikawashwa ambulance kumkimbiza Dodoma Hospitali ya Benjamin ila hakufika mbali. Alitokwa damu nyingi.
Your browser is not able to display this video.
 
Imetokea Bahi, Yehova imeingia nyuma ya roli lilopark likiwa limeharibika 🀨

𝖴𝗉𝖺𝗇𝖽𝖾 𝗐𝖺 π—„π—ˆπ—‡π–½π–Ί 𝗄𝖺𝗓𝗂 π—‚π—‰π—ˆ π–Ίπ—‚π—Œπ–Ύπ–Ύ πŸ’”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…