Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Ajali usiombe ikukute,kichwa kinahama, Network hazikamati!
Ajali usiombe ikukute,kichwa kinahama, Network hazikamati!
We ndio umewasaidia? Kafanye kazi acha upumbavu wa kutuletea upuuzi wa kuokotezaTanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi
1. Premier line
2. Kandahar invest
3. Msigwa Express
4. Njombe express
Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa.
Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa.
Waongea ukweli wanatekwa na kupigwa Risasi za Kichwa.
View attachment 3344083
Huyu ni wa Arusha?Hii ajali ya Kitonga imeondoka na kijana mdogo mpambanaji 😭😭
View attachment 3344084
Mchana, asubuhi na jioniHizi ajali ni usiku au mchana?
Dah! Hatari sana.Madereva kwasababu wanajua Wameshasafishiwa njia na Maboss wao, angalia wanachokifanya. Huku kashaleta maafa tayari.
View attachment 3344133
So sad 😔Hii ajali ya Kitonga imeondoka na kijana mdogo mpambanaji 😭😭
View attachment 3344084
Pole yao sana wahanga na wafiwa...
Uchaguzi ni mwaka huu October, mkae vizuri kwenye mabasi.Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi
1. Premier line
2. Kandahar invest
3. Msigwa Express
4. Njombe express
Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa.
Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa.
Waongea ukweli wanatekwa na kupigwa Risasi za Kichwa.
View attachment 3344083
Kilichomuua sio kukimbizwa na sio kuvuja damu nyingi na sio kushindwa kumtibia, kwenye hospital zetu hizi kuna usengee mwingi sana ndio maana Wakubwa Viongozi wakiumwa na kuugua ghafla wanakimbilia Nje kwenda kutibiwa wapo tayari wakafie huko maiti irudi ikiwa kwenye Jeneza na sio kwenda kufia kwenye hospital zetu hizi ila ngoja tu niishie hapaAmevunjika miguu akapelekwa Hospitali ya wilaya ya Gairo, wakashindwa Mtibia, ikawashwa ambulance kumkimbiza Dodoma Hospitali ya Benjamin ila hakufika mbali. Alitokwa damu nyingi.
Most of them ni mabovu Sana.. Wako busy na hotuba ya GwajimaTanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi
1. Premier line
2. Kandahar invest
3. Msigwa Express
4. Njombe express
Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa.
Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa.
Waongea ukweli wanatekwa na kupigwa Risasi za Kichwa.
View attachment 3344083
Duh , ni hatari sana! Yasijekuwa yameanza kututoa sadaka!Mchana, asubuhi na jioni
Madereva kwasababu wanajua Wameshasafishiwa njia na Maboss wao, angalia wanachokifanya. Huku kashaleta maafa tayari.
View attachment 3344133