Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

Inasikitisha sana kwa kweli.
Mungu awaponye majeruhi wote na awajalie ustahimilivu wakati huu wakijiuguza.
Ajali ni jambo la kuhuzunisha sana
 
Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

1. Premier line
2. Kandahar invest
3. Msigwa Express
4. Njombe express

Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa.

Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa.

Waongea ukweli wanatekwa na kupigwa Risasi za Kichwa.
View attachment 3344083
Kikubwa kama abiria wapo salama asante Mungu
 
Back
Top Bottom