Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

We ndio umewasaidia? Kafanye kazi acha upumbavu wa kutuletea upuuzi wa kuokoteza
 
Uchaguzi ni mwaka huu October, mkae vizuri kwenye mabasi.
 
Amevunjika miguu akapelekwa Hospitali ya wilaya ya Gairo, wakashindwa Mtibia, ikawashwa ambulance kumkimbiza Dodoma Hospitali ya Benjamin ila hakufika mbali. Alitokwa damu nyingi.
Kilichomuua sio kukimbizwa na sio kuvuja damu nyingi na sio kushindwa kumtibia, kwenye hospital zetu hizi kuna usengee mwingi sana ndio maana Wakubwa Viongozi wakiumwa na kuugua ghafla wanakimbilia Nje kwenda kutibiwa wapo tayari wakafie huko maiti irudi ikiwa kwenye Jeneza na sio kwenda kufia kwenye hospital zetu hizi ila ngoja tu niishie hapa
 
Most of them ni mabovu Sana.. Wako busy na hotuba ya Gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…