Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Hku hvyo hvyo vyombo unaendelea kuvitumia kupata habari kutoka kenya na kuleta km ushahidi jf[emoji1787][emoji1787]
What a fool

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa kwani zoezi hili limeanza jana?

Kama wapo watu kwa maelfu huko mitaani wana Corona na hatutambui, siungeona wagonjwa wanajazana Mahospitali? Ugonjwa haufichiki.

Anayepinga, kudoubt kuhumu umahiri na weledi wa hali ya juu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni MCHAWI.

So far, Tanzania government have done an incredible job which had proven to be a mundane task to so many countries across the world.

When it comes to national security, Tanzania occupies a special place along with China, Russia, North Korea. On matters of security, Tanzania is an indubitably 5-stars General.
 
Kwahiyo hao 84 kuna shida gani kuwekwa karantini sasa, wewe ulitakaje maana hao ndio wasafiri waliokuja, sasa tulazimishe wageni waje ili tuongeze idadi ya watu waliokarantini ili wafike 2000 kama nyinyi? Ulitakaje?
Wivuu na hasira baada ya kuona tumewadhalilisha tena kwa kuwaonyesha kwamba Tanzania ni baba lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya habari ambavyo Kila siku unanukuu hapa especially Citizen TV na Nation leo sio za kuaminika?
Kama vile Mkubwa wako Geza Ulole amekwambia...tulia Kwanza, punguza maneno usije ukajiuma ulimi.
Hahaha!!mjinga huyo,
Yani bado ana mark-time tu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili, utanyunyiza dawa Dodoma, Tanga au Morogoro ambako hakuna mgonjwa hata mmoja?, hujaona Arusha wakinyunyiza dawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utumie akili mkuu. Watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine huoni Kuna haja ya kufanya hivyo mikoa yote? Ni mpaka yatokee madhara ndo mchukue hatua. Akili ipo wapi hapo?
 
Thursday tulipima 600+
Wazungu na tecnologia yote inawalemea sembuse poor stinking AFRICA!
NCHI zimejaa careless people all over,
Waaafrica na sifa za kindergarten huwa hawashindwi
 
Wewe ndo utumie akili mkuu. Watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine huoni Kuna haja ya kufanya hivyo mikoa yote? Ni mpaka yatokee madhara ndo mchukue hatua. Akili ipo wapi hapo?
Ulishaona wapi nchi inapeleka dawa za kipindupindu nchi nzima kwasababu tu mkoa wa Dar es Salaam na Pwani kuna kipindupindu?, au unanyunyiza dawa za kuua mbu wa Dengue nchi nzima kwasababu Dar imekumbwa na Dengue, eti kwasababu watu wanasafiri?. Jaribu tena kutumia akili kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wageni wote wanaokuja Tz wanapelekwa kwenye mandatory 14 days quarantine, uwe na dalili au usiwe na dalili. And by all we mean ALL!
 

Hujakosea, uko sahihi sana hapo kwa North Korea, mlishakua kama wao kwenye kila namna, tofauti ni ile wao wamewazidi kiuchumi mara 1,000 pamoja na vikwazo vyao.
 
Wageni wote wanaokuja Tz wanapelekwa kwenye mandatory 14 days quarantine, uwe na dalili au usiwe na dalili. And by all we mean ALL!

Mumesema mna watu 200 kwenye karantini, ilhali mipaka yote ipo wazi mnaendelea kupokea kila ngendere, ikiwemo hata waganga njaa wenu wanaokuja Kenya kinyemela na kugeuza, kwa mahesabu ya hharaka mlipaswa kuingiza karantini zaidi ya watu 1,000 kwa siku.
 
It depends on what you mean by Target testing for example not everybody in Kenya is being tested.The first group of people being tested are all those who came to the country after 22nd March.Most of whom are under quarantine,they are are about 2050.
So far only 187 are remaining.
After we are done with the group we are expanding to other areas.
Usione Kama GOK inakurupuka tu.Its a well thought-out process.
 
Talking of Japanese model and American model
Please visit statita.com and see the graph of Japanese infections.They are headed in the wrong direction more infections are happening at an increasing rate .That means the rate of infections is not slowing .
For America they did a mistake of not doing rigorous testing at first they only started testing when the virus started hitting them hard.
 
Wewe ndo utumie akili mkuu. Watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine huoni Kuna haja ya kufanya hivyo mikoa yote? Ni mpaka yatokee madhara ndo mchukue hatua. Akili ipo wapi hapo?
We have limited resources, tumia akili, lazima tufanye targeted disinfection kwanza kwa kutumia limited resources tulizonazo, hivi mtu aking’atwa na nyoka mguuni unafunga kamba juu ya mguu aliong’atwa au unafunga kamba shingoni? Tumia akili!
 
Hizo ni takwimu zako wewe, ila elewa, kila anaekuja kwa njia rasmi anawekwa karantini siku 14, na ulinzi unaimarishwa mipakani kudhibiti vichochoro vya panya toka Kenya, and by all we mean all! And its working.
 
So, is it working for you?
 
And what do the statistics say about Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…