Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
🤣 mkuu hata mimi niliwaza kitu kama ikoWakenya ni wajinga sana yaani wanaongeza idadi ya waathirika wa corona kwa kasi ili wawafikie south Africa,egypt,na Nigeria ili nao waonekane super power😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣....aisee kweli ushamba ni mzigo!
We can't really tell since you aren't testing people everyday .so far you have only tested 300 as per your health minister.And what do the statistics say about Tanzania?
Umeanza kuwa mtabiri sio?, Japan ndio nchi iliyoanza kupata maambukizi kabla ya USA, lakini hadi Leo bado vifo ni 50, wakati USA waliochelewa kupata maambukizi wanakaribia kufikisha 5000 deaths, bado unazungumza kuhusu graph ya Japan kupanda.Talking of Japanese model and American model
Please visit statita.com and see the graph of Japanese infections.They are headed in the wrong direction more infections are happening at an increasing rate .That means the rate of infections is not slowing .
For America they did a mistake of not doing rigorous testing at first they only started testing when the virus started hitting them hard.
Italy jeshi lina beba masanduku kwa sasaKaka hiyo ninaelewa, lakini ukifuatilia jinsi Magufuli alivyoipanga timu yake, na jinsi watu wanavyowajibika " Intelligently', pumzika usiwe na wasiwasi. Sisemi kwamba tupo 100% perfect, lakini ninadiriki kusema kwamba tupo vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Who can’t tell?, check the official global statistics, how are they able to tell?We can't really tell since you aren't testing people everyday .so far you have only tested 300 as per your health minister.
Hizo ni takwimu zako wewe, ila elewa, kila anaekuja kwa njia rasmi anawekwa karantini siku 14, na ulinzi unaimarishwa mipakani kudhibiti vichochoro vya panya toka Kenya, and by all we mean all! And its working.
Who can’t tell?, check the official global statistics, how are they able to tell?
Pamoja na hiyo maabara moja ila maambukizi tumezibiti kidogo kilicho letea maambukizi kupunguaKwa siku mbili sasa waziri wenu hajatoa idadi ya wale tested, aliibuka tu na kusema kunao wamepona, aidha mtakua mumesitisha testing vifaa vya kufanya tests vimeishiwa maana mnategemea maabara moja tu.
Muhimu ni kwamba, WHO wanazikubali na kuzitumia, hiyo ni dalili kwamba tumekidhi viwango vya kidunia. Wenye wivu kwasababu huku nako pia tinawashinda kwa mbali sana.Kwa siku mbili sasa waziri wenu hajatoa idadi ya wale tested, aliibuka tu na kusema kunao wamepona, aidha mtakua mumesitisha testing vifaa vya kufanya tests vimeishiwa maana mnategemea maabara moja tu.
Pamoja na hiyo maabara moja ila maambukizi tumezibiti kidogo kilicho letea maambukizi kupungua
Idadi mliopima ni ngapi?Sisi tumeshakwambia, kwa tuliowapima idadi ya walioathirika ni 20, wewe unasema tunadanganya, sasa tuambiwe wewe, TZ ina wagonjwa wangapi?
Takwimu zetu ni wagonjwa 20, period. Kama unawajua wagonjwa wengine wa Corona tuambie wewe.Sio takwimu zangu, ni takwimu za wakuu wenu wanapotoa taarifa kwa wana habari, jifundishe kuskliza waziri wako kwa kila anachokisema, sio unakomea tu pale akitaja idadi ya waathirika unaacha kumskliza.
Msklize anaposema mengine kama
Idadi ya waliopimwa
Wangapi wapo karantini
Wangapi wanasubiri kupimwa
Wangapi waliopona
Na takwmiu zingine zote. Tatizo uwezo wenu wa kufikiri huwa mdogo sana.
Utajuaje maambukizi unayo machache wakati uwezo wa kupima huna, mbona hii haihitaji elimu ia mnajitoa ufahamu, kwa wiki tatu sasa mumepima 300 wakati sisi tunapima 300 kwa siku.
Acheni kubweteka, acheni kuchekelea juhudi za Wakenya, nyie ni nchi maskini sana yenye uwzo mdogo kwenye haya mambo.
Sasa kama hatuna wagonjwa wapya tutangaze nini?Kwa siku mbili sasa waziri wenu hajatoa idadi ya wale tested, aliibuka tu na kusema kunao wamepona, aidha mtakua mumesitisha testing vifaa vya kufanya tests vimeishiwa maana mnategemea maabara moja tu.