Tanzania opposition Chief Whip Tundu Lissu shot

Jenga hoja usirushe shutuma hewani bila mpangilio, tatizo wewe unarusha shutuma hujengi hoja, unatajataja majina tu bila vina wa hoja. Hakuna nchi yoyote duniani isiyo na sheria na taratibu, tunataka nchi iongozwe kwa sheria na taratibu zilizopo, nchi itakayowweza kufuata sheria na taratibu kwa mujibu wa katiba waliyojiwekea ndiyo tunasema ni nchi bora.

Sasa sijui nianza na yupi kwa sababu unataja watu ovyo ovyo bila mpangilio. Ngoja nianze na Manji, manji ameshutumiwa na makosa mengi tu, kuanzia matumizi ya dawa za kulevya ambapo vipime vya mkojo vya mkemia mkuu vimethibitisha sio maneno ya mtaani, Pili kukutwa na mihuri na nguo za jeshi, bado hizi zote ni tuhuma, utaratibu tuliojiwekea katika katiba yetu ni kwamba mtuhumiwa ni laxima apelekwe mahakamani ndiyo mahakama itaamua kama anakesi ya kujibu ama hapana, sasa katika suala la Manji wewe tatizo lako lipo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo yangu nimekupakulia tuu humuhumu jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2017-09-08-09-26-20.png
    Screenshot_2017-09-08-09-26-20.png
    36.1 KB · Views: 28
Hahaha wanaochapa hatua 10 nyuma ni nyie na uchaguzi wenu wa kipumbavu
Haya tutulie ivo tu, utanipa mrejesho baada ya mwaka mmoja! Mi mkenya ntakuwa hapa hapa najitazamia movie ya Dikteta kutoka Chato! Hii movie sijui kwanini inanikumbusha sana enzi zile za Moi?
 
Ibara ya 13( 6)(b) ya katiba yetu inasemaje kuhusu mtuhumiwa? Kufungiwa akaunti za benk ni kwa mujibu wa sheria ipi? Tukiachana hilo vipi kuna sheria gani inayozungumzia mtu kutumia madawa bila ushahidi mpaka upime mkojo? Hata huo mkojo wenyewe mkemia anasema hajui kama mkojo alioupima ni wa Manji au polisi.Kama kufuata katiba,Tanzania ndipo katiba haifuatwi,unajua kubomoa nyumba ya mtu au kutaifisha mali yake bila fidia inakiuka ibara ya 24 ya katiba? Utaendelea tu kusema narusha tuhuma hewani lakini ukweli ndo huo.Yawezekana hay wewe hujayasikia wala kuyaona ,au wewe ni beneficiary wa mfumo hivyo lazima utatetea tuuu.Kama kuna katiba inanajisiwa basi ni ya Tanzania.Eti mtu tena kiongozi wa nchi anajitapa eti katika mihimili ya dola kuna mmoja umejichimbia chini zaidi ya mingine,hii ndo constitutionalism tunayoijua? Mambo ya Kagame ndo dira yetu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo naona unaanza kujifunza kujenga hoja, twende taratibu, bado unatoa shutuma bila kujenga hoja. Sidhani kama ni busara kuingia kwenye details zilizojiri kwa mkemia mkuu kama mkojo uliopimwa ni wake au sio wake, hatuwwezi kuwa na uhakika kwa sababu hakina aliyekuwepo kati yetu, umeuliza kwamba kuna sheria gani mtu kutumia madawa hadi apimwe mkojo?, Bado ninakusihi kwamba details kama hizi ni jukumu lq mahakama kuamua sio mimi wala wewe, na mengine yote uliyouliza bado ni mwendelezo wa kutupa lawama bila kujenga hoja.

Naombw nikukumbushe tena, katika dunia hii makosa yanatendeka na yataendelea kutendwa na watu mmojq mmoja au hata serikali yenyewe itafanya makosa, ama kwa bahati mbaya, au kwa makusudi, ndiyo sababu pakawepo kwa mahakama, kwamba ikitokea hivyo, basi yule anayehisi hakutendewa haki aende mahakamani au apelekwe mahakamani, huo ndio ustaarabu sio kujichukulia hatua mikononi au kutafsiri shetia vile unavyofikiria wewe binafsi, hili ndilo ninaliona bado ni tatizo kwako, kutafsiri sheria wewe mwenyewe na kuona hivyo ndivyo sawa.

Serikali yetu, hasa jeshi la polisi mara kwa mara ninahisi wanafanya makosa, hasa kwa vyama vya upinzani, nilitegemea vyama hivi viende mahakamani kulishitaki jeshi la polisi kama alivyofanya wakili Fatma Karume wiki chache zilizopita, la ajabu hawaendi mahakamani wanabaki kutoa lawama kwenye vyombo vya habari ili kupata sympathy ya public, kumbuka haki na sheria ni vitu viwili tofauti.

jifunze sana kusoma na kusikiliza habari, then uzichambue kwa kina, suala la Mwangozi unwkumbuka Kesi yake ilivyoisha, yule kijana FFU mahakama kuu ilimpata na hatia na kumfunga miaka 15, sheria ilifuatwa kwa mujibu wa katiba ya nchi hadi kufikia hapo, tatizo kubwa ulilonalo hauko organized person, upo kishabiki zaidi unatafuta taarifa bila kuzifanyia utafiti hata kidogo, ili muradi zinakidhi haja yako ya kishabiki unazileta hadharani, watu wenye uwelewa mkubwa wa mambo watakushangaa, bora ukae kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo naona unaanza kujifunza kujenga hoja, twende taratibu, bado unatoa shutuma bila kujenga hoja. Sidhani kama ni busara kuingia kwenye details zilizojiri kwa mkemia mkuu kama mkojo uliopimwa ni wake au sio wake, hatuwwezi kuwa na uhakika kwa sababu hakina aliyekuwepo kati yetu, umeuliza kwamba kuna sheria gani mtu kutumia madawa hadi apimwe mkojo?, Bado ninakusihi kwamba details kama hizi ni jukumu lq mahakama kuamua sio mimi wala wewe, na mengine yote uliyouliza bado ni mwendelezo wa kutupa lawama bila kujenga hoja.

Naombw nikukumbushe tena, katika dunia hii makosa yanatendeka na yataendelea kutendwa na watu mmojq mmoja au hata serikali yenyewe itafanya makosa, ama kwa bahati mbaya, au kwa makusudi, ndiyo sababu pakawepo kwa mahakama, kwamba ikitokea hivyo, basi yule anayehisi hakutendewa haki aende mahakamani au apelekwe mahakamani, huo ndio ustaarabu sio kujichukulia hatua mikononi au kutafsiri shetia vile unavyofikiria wewe binafsi, hili ndilo ninaliona bado ni tatizo kwako, kutafsiri sheria wewe mwenyewe na kuona hivyo ndivyo sawa.

Serikali yetu, hasa jeshi la polisi mara kwa mara ninahisi wanafanya makosa, hasa kwa vyama vya upinzani, nilitegemea vyama hivi viende mahakamani kulishitaki jeshi la polisi kama alivyofanya wakili Fatma Karume wiki chache zilizopita, la ajabu hawaendi mahakamani wanabaki kutoa lawama kwenye vyombo vya habari ili kupata sympathy ya public, kumbuka haki na sheria ni vitu viwili tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mjenga hoja mbona hakuna swali hata moja unalojibu badala yake unaleta porojo unazoziita hoja wakati ni viroja? Nimekupa vifungu vya katiba ulete tafsiri na urali kati ya unachoita kufuata sheria na katiba na yanayotendeka sasa Tanzania hakuna hata moja uliyoijadili. Hivi unampima mkojo Manji tycoon mwenye mchango mkubwa katika uchumi na siasa za nchi ili kujua kama anatumia unga wakati mateja wamejazana kila mahali na hujawachukulia hatua yoyote.Angekutwa na mzigo kwamba anauza au kusambaza ningeelewa, kutumia! Chid Benz alikutwa nao na akakiri ni kwa ajili ya kutumia,alipewa adhabu gani?

Sasa wewe unaniuliza kuhusu vifungu vya sheria kwenye katiba unataka mimi nikujibu nini zaidi ya kukuambia acha mahakama ikafsiri hivyo vifungu vya sheria kwa sababu hao ndiyo wenye utaalamu huo, mimi ninakwepa mtego wako wa kutanga kuniingiza kwenye malumbano ya kitaalamu ambayo hayatakuwa ma mwisho kwa sababu hakuna kati yetu ambaye ni jaji au hakimu mwenye utaalamu wa jukumu la kutafsiri vifungu vya katiba, wewe umezoea mabishano ya vijiweni, huwezi kuniingiza huko, Manji amepelekwa kwenye wataalamu wa sheria wenye jukumu la kuitafsiri katiba, na kisheria hairuhusiwi kulijadili jambo lilipo mahakamani wewe tayari umeshatoa uamuzi kuhusu suala la Manji, wewe ni mtu wa ajabu sana, kama hufuati taratibu za nchi tulizojiwekea na bado unahisi wewe upo sawasawa kweli?,

Haina haja ya kubishana na mtu anayerukaruka,hivi ujuzi wa kutafsiri katiba na sheria unauoata kwa kuwa wewe ni jaji au hakimu? Prof Shivji ni jaji,ni hakimu? Ni nani anyeweza kusimama naye kwenye sheria? Tundu Lissu ni jaji au ni hakimu? Vijiwe gani unavyovijua wewe wanakobishana kwa vifungu vya katiba na sheria? Hivyo vitakuwa siyo vijiwe ni vikao vya wataalam wa sheria.Kwa hiyo wewe huwezi sima hata kifungu kimoja ukaelewa! Ni ajabu kwamba bado tunaendelea kubishana.Unaleta mambo ya king can do no wrong siyo? Dunia ya leo inahitaji weledi na wanaojua sheria sasa hivi wapo kila sehemu siyo majaji na mahakimu.Kwa taarifa yako Zanzibar iliwahi kuwa na mahakimu wasiojua kusoma wala kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mjenga hoja mbona hakuna swali hata moja unalojibu badala yake unaleta porojo unazoziita hoja wakati ni viroja? Nimekupa vifungu vya katiba ulete tafsiri na urali kati ya unachoita kufuata sheria na katiba na yanayotendeka sasa Tanzania hakuna hata moja uliyoijadili. Hivi unampima mkojo Manji tycoon mwenye mchango mkubwa katika uchumi na siasa za nchi ili kujua kama anatumia unga wakati mateja wamejazana kila mahali na hujawachukulia hatua yoyote.Angekutwa na mzigo kwamba anauza au kusambaza ningeelewa, kutumia! Chid Benz alikutwa nao na akakiri ni kwa ajili ya kutumia,alipewa adhabu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninarudia tena, hayo yote yakupimwa mkojo na hao wote uliowataja yamefanywa na polisi kama hatua ya kuweza kujenga hoja ya kumfungulia mashitaka mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi, huko mahakamani ndiyo mahakama itaamua kama walichokifanya polisi kumpima mkojo ni sawa au sio sawa, sasa kwani wewe ni mahakama mpaka uone sio sawa?, Si usubiri kwanza mahakam itasikiliza hoja za pande zote mbili, yaani za polisi waliopima mkojo na mawakili wa upande wa Manji kabla ya kutoa uamuzi?, mbona kesi ya Wema Sepetu mahakama ilikataa kupokea vishungi vya bangi vilivyowakilishwa na polisi kama vielelezo baada ya Tundu Lisu ambaye ni wakili wa wema kuomba mahakama ivikatae baada ya kujenga hoja ya kisheria, mbona unakuwa na hoja na mazungumzo ya vijiweni kiasi hicho?, Badilika tuwe na discussion ya maana sio mambo ya vijiweni bwana.

Haina haja ya kubishana na kiumbe ambaye anaact kama tabura lasa katika mambo fulani fulani.Unadai mkojo umepimwa na polis na mimi najua mkojo ulipimwa na mkemia sasa hapo tujadili nini.

Jamani akina Kadoda11 na Geza Ulole na wengine njooni tumsaidie huyu ndugu yetu, hivi wewe ukiiba kuku wa mtu na ukampelekea mtu akuchinjie huyo kuku tena kwa malipo akakulipa, na wewe unafanya kazi hiyo ya kuchinja kisheria, baadae huyu mwizi akamatwa akashitakiwa na makosa mawili, la kwanza ni la wizi wa kuku, na kosa la pili ni kumchinja kuku huyo, unateka kusema yeye hakumchinja ilaaliyechinja kuku ni wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They said Tanzania is a peaceful country, but in the moment of truth this is more of an exaggeration.

The country has been experiencing a spate of murders and tortures believed to be linked with the state for about a decade now.

Now that an attempt on the life of an outspoken and a critic of the government, the opposition Chief Whip Mr. Tundu Lisu has been carried out, some people are pointing an accusing finger at the government.

Since coming into power, this government has been intolerant to criticism and even the slightest one has often been met with the arrest and the subsequent prosecution in which Mr. Lisu himself has been a frequent victim.

As the President has ordered a thorough and speedy investigation into the matter, let us hope that there would be no cover ups to conceal the potential culprits and that the police will not arraign before the court the scapegoats but rather the true perpetrators of this heinous act.

Lastly, we urge this government to respect the rule of the law and hence uphold the fundamental principles of democracy based on human rights as enshrined in the constitution.

We oppose in the most uncertain terms the government's continued use of the state's security apparatus to intimidate and silence the dissidents and those whose views are at variance with the authorities.

We urge this government to accept any criticism levelled by the people and take the same as a challenge to work on.

It's our conviction that the country as large as Tanzania with a population of more than 50 million inhabitants, it's not possible for its people to harbour identical views on different issues and this is a reality that the government must stomach.
 
Haina haja ya kubishana na kiumbe ambaye anaact kama tabura lasa katika mambo fulani fulani.Unadai mkojo umepimwa na polis na mimi najua mkojo ulipimwa na mkemia sasa hapo tujadili nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkemia mkuu amepelekewa na polisi ampime ili polisi wakusanye vielelezo, yeye ataitwa mahakamani kama shahidi wa upande wa mashitaka, kama ambavyo Prof. Janab wa Jakaya Kikwete Heart Institutes alivyoitwa juzi kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi wa Manji kwamba amewekewa valves za chuma kwenye moyo wake, by the way, moja ya kazi za kisheria walizonazo madaktari na mkemia mkuu ni kushirikiana na mahakama ili kutoa ushahidi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwendeni huko mumeskia mtu wa chama yoyote kenya amepigwa risasi???

Msando ni wa tume ya uchaguzi Tanzania nawaonea huruma mnakuwanga na majifanyo sana eti "peace" .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya MP shot dead in 'well planned' attack in Nairobi - BBC News
A Kenyan MP and three of his aides have been shot dead in the capital Nairobi, in what police described as a "well planned" attack.

George Muchai was driving home through Nairobi, when his vehicle was rammed by another car at a roundabout.

The assailants shot the four at close range. Mr Muchai, two bodyguards and his driver died at the scene.

The motive for the attack, condemned by the president and the leader of the opposition, remains unclear.

"It seems to us like something that was well planned," an unnamed police officer said
 
Wacha kunipea mp wa vijiweni ambao hata hawajulikani

Mm nakuambia LEADER WA OPPOSITION !!!....AMA RULING PARTY!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom