Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
1000029983.jpg
1000029984.jpg
 
Drama to conceal some bs?
Waziri Ambae ni boss wenu kasema tayar wamekamatwa au hamjui?

Anyways but,

Dah, kuendelea kumuumiza ni nyie kuwakumbatia watuhumiwa bila kuchukua hatua ...

Jambo hili Lina mslah mapana ya umma na lazima tuone haki ikitendeka...

Taarifa za ziada ni kwa Maafande tu?

Wananchi wa kawaida huwa mnaomba taarifa za ziada?

Watuhumiwa wametoroka nchi?
Picha hazikuonekana?

Majina na wanapofanyia kazi hamjaona?

#Justice4YomboLady
 
Katika hili bila kujali itikadi zetu, dini zetu au vyama vyetu tusilikalie kimyaa tupige kelele kila siku kwa nguvu mpaka haki ipatikane. Disappointed tu hakuna kiongozi wa juu kutoka tu na kulikemea hili wako kimyaa kama hawajaona kitu ila mengine wanayajuwa na kutoa miongozo. Serikali kwenye hili hamtaachiwa na tushukuru video kutoka hadharani maana tusingejuwa mtu kateswa na hatujui mangapi yamepita hatuyajui. Ni wakati wa kupiga stop washikwe tuone kesi yao na hakuna kuziba sura zao mbwa hawa.
 
Nchi imekuwa ya k&i#shnz
Wanapenda kulea ujing

Ova
 
Nchi imekuwa ya k&i#shnz
Wanapenda kulea ujing

Ova
Naipenda serikali lakini kwenye hili hapana hizi njia za kurefusha mambo kwa kutegemea mambo yatapoa halafu wayamalize maana ndio njia wanazotumia. Ukisikia tu tuko kwenye upelelezi basi inamaanisha but time tu. Upelelezi mavi wakati watu wanajulikana.
 
Upelelezi wa nini wakati kila kitu kipo wazi
 
Back
Top Bottom