Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ajabu sana...Naipenda serikali lakini kwenye hili hapana hizi njia za kurefusha mambo kwa kutegemea mambo yatapoa halafu wayamalize maana ndio njia wanazotumia. Ukisikia tu tuko kwenye upelelezi basi inamaanisha but time tu. Upelelezi mavi wakati watu wanajulikana.
Bongo hadi dhambi inahitaji uwe na connection😂🙌
Hao wanatakiwa wahasiwe halafu wafungwe maisha jelaHaifaii kbs mkuuu watu 5 demu 1 khaaaaa
Div IV ya point 32 haijawhi kumuacha mtu salamaPolisi ya hovyo kabisa kuwahi kutokea
Kwenye hili hawezi ingia kichwa kichwa, V8 anaitaka badoo.Mama yetu mchapakazi na asiye na makuu Dkt. Gwajima D ameshatoa maoni kuhusu hili jambo? Wizara yake inaguswa moja kwa moja na huwa yuko makini sana. Nitashangaa kama naye yuko kimya [emoji15]
Kwenye taarifa ya Tanpol hakuna neno MIHEMKO huku pia nikuleta taaluki
97% yao hawana hata hii F4 wamenunua vyetiDiv IV ya point 32 haijawhi kumuacha mtu salama
Kuna Mmoja alimaliza UDSM pale nakumbuka mwenye Mali alimuuliza tena Kiustaarabu tu Mwanangu kwanini Unaniibia Mali yangu na cha Kusikitisha Mwizi badala ya Kwanza kumheshimu mwenye Mali akaanza Kumtukana na Kumdhalilisha wenye Mali hadi mwenye Mali akaondoka. Acheni tu Wakomeshwe Mimi niko 50 / 50 katika lililtokea kama kuna atakayeninua au kunioa wa Ajabu poa tu.I second you
Wewe siku zote ni waajabu na matusi yako na lugha chafu,na kiburi na majigamboKuna Mmoja alimaliza UDSM pale nakumbuka mwenye Mali alimuuliza tena Kiustaarabu tu Mwanangu kwanini Unaniibia Mali yangu na cha Kusikitisha Mwizi badala ya Kwanza kumheshimu mwenye Mali akaanza Kumtukana na Kumdhalilisha wenye Mali hadi mwenye Mali akaondoka. Acheni tu Wakomeshwe Mimi niko 50 / 50 katika lililtokea kama kuna atakayeninua au kunioa wa Ajabu poa tu.
Alivyokuwa akiiba cha Mwenzake alikuwa pia akiomba Maji? Hawa Viumbe hawakomi na hawashauriki acheni yawakute.Maskini...aliomba maji wakamyimaa 😭
Ulichokiandika hapa kina logial connection gani na Content ya Uzi wangu? Hamnipendi ila 24/7 mnasoma tu Mada zangu.Wewe siku zote ni waajabu na matusi yako na lugha chafu,na kiburi na majigambo
Natarajia mitusi toka kwako
Karibu chief
Kamejua kututia nyege haka katoto😏Alivyokuwa akiiba cha Mwenzake alikuwa pia akiomba Maji? Hawa Viumbe hawakomi na hawashauriki acheni yawakute.