Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

Aliita maji "MMAAA"[emoji28]
Halafu mbona kama alivua mwenyewe...🤣🤣
20240806_135258.jpg
 
Alivyokuwa akiiba cha Mwenzake alikuwa pia akiomba Maji? Hawa Viumbe hawakomi na hawashauriki acheni yawakute.
MKuu sidhani kama huyo binti ndio alimtongoza huyo mwanaume na kama unavyofahamu sisi wanaume baadhi yetu huwa tukihitaji penzi ni ngumu sana kuweka wazi mahusiano yetu hasa kama tuna wake. So uwenda huyo binti alikua akidanganywa na huyo jamaa kuwa hana mke....Ila kama ni kweli mke alimgundua binti na akamuonya (japo sote hatuna uhakika) na binti akakaidi basi binti nae hapo alikosea japo hilo halijustify yeye kufanyiwa hicho alichofanyiwa na hao wahuni.

Hujafa hujaumbika mkuu. Sisi ni binadamu na sio wanyama hivyo tuishi kama binadamu tukikumbuka kuwa haya yote tuliyonayo na tunayoyaishi ipo siku tutayaacha nyuma hivyo pia tujifunze kuacha mambo yapite na kusamehe pia kama wanadamu.

Ambacho unaona ukimfanyia mwenzio kwako pia kikifanyika basi acha kukifanya.
 
Back
Top Bottom