Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

Well said

Kama umekaa maeneo ya uswahilini unaweza kuwa shahidi wa hili

Watoto wanarubuniwa na kwakuwa wapo financially broke wanakubali kutembea na hao manipulators

So being logically is all we need to deal with these kids

Sifikirii hata 20 yrs Kama kazidi
Of course, kuna watu wanaodhani mambo mabaya yakitokea kwa wenzao they deserve them. Lakini Mungu si Athmani, hata hao wanaodhani hivyo mikasa huwakumba kwa namna mbalimbali, just kuonyesha kwamba jambo baya kutokea kwako siyo lazima uwe umejitakia mwenyewe. Kuna watu wenye roho mbaya ajabu!
 
Hakustahili kubakwa,Mwanaume sio Mwaminifu,mke wake alipaswa kudeal na mumewe.
 
Of course, kuna watu wanaodhani mambo mabaya yakitokea kwa wenzao they deserve them. Lakini Mungu si Athmani, hata hao wanaodhani hivyo mikasa huwakumba kwa namna mbalimbali, just kuonyesha kwamba jambo baya kutokea kwako siyo lazima uwe umejitakia mwenyewe. Kuna watu wenye roho mbaya ajabu!

Absolute

Hili swala la (Level of consciousness) watu huwa hawalijui hasa huku bongo.

Wanashindwa kupima umri wa binti na kujua yupo katika hatua gani za ufahamu and unfortunately watu wakisikia kukua wanajua kukua ni umri na sio level of consciousness.

Ikiwa utampa adhabu binti Kama huyo pasipo kukaa naye na kujua anapitia nini katika AKILI yake ni kumuonea na kuongeza tatizo.

Because she used to be in DARKNESS
 
Sure and it's because we so selfish.
 
The nonsense is beyond me (maana video yenyewe ipo viral). Pale unapoona jeshi la polisi linajaribu ustaarabu kwenye serious criminal offence.

Ingekuwa uingereza hii ndio ingekuwa lugha ya polisi.

Jeshi la polisi imeona video iliyosambaa mtandaoni. Wahusika watatafutwa na kukamatwa popote walipo na kuhakikilsha wanahukumiwa kwa adhabu kali.

Jeshi la polisi aliwezi vumilia kesi ya. Ubakaji na kwasasa inamtafutq victim kumpa emotional na psychological.

Jeshi la polisi pia linahimiza wanawake waliobakwa kujitokeza bila ya uoga na kuripoti polisi kwa ahadi ya kufanyia uchunguzi malalamiko yao na kuwachukulia hatua kali kali za kisheria wahusika.

Jeshi la polisi linatoa namba ya simu ya siri ya victims ya ubwakwaji kama wanahitaji psychological support au kuongea na mtu private.

Halafu sasa zinafuata coordinated attacked za media kulaani ubakaji. How the victim was vulnerable, jinsi wanaume watatu wanavyoweza man handle defenceless young lady.

Bado kelele mikwara ya mawaziri wa mambo ya ndani, social services, sheria.

Baada ya hapo pressure groups.

Yaani utakoma.

Kila siku tunawaambia vita vingine sehemu kubwa ya ushindi ni propaganda.

Jeshi gani la polisi linatoa statement ya hovyo na ya kipuuzi kama hiyo.

You do know presence ya polisi inatakiwa ku-deter 80% of crime acts kutokana na uelewa on what they can do.

Get serious people to run that country, ni ujinga kila sehemu. Hata sijui huko ulaya uwa wanapelekwa kujifunza nini.

Communication ni proffesion sio kila poyoyo anaweza andika ujinga.

Stupid police statement
 
Sehemu kubwa ya kazi ya polisi sio kukamata na wahalifu.

Sehemu kubwa ya kazi ya polisi ni ku-deter people from committing crime in the first place (ndio maana media propaganda ni muhimu), pili consistency of response kwenye ku-deal na offences.

Jeshi la kupuuzi tu linaloangaika na watu walio kwenye starehe mtu karusha hela kutunza kwenye harusi kosa lipo wapi.

Ni jeshi lililojikita kupoteza muda ku-deal na ujinga tu.
 
Na wengi huwa na Majibu ya Jeuri, Kibri na Nyodo kwa wenye Mali hivyo kwa upande mwingine liwe ni Fundisho Okay?
Duh
kweli uchawi upo
Inakuwaje umeprakata katumba puu!
Ukatokezea huku ?
Au hii ni abracadabrahocuspocus?
Uchawi wa mzungu
 
Nakuunga mkono mkuu. Kama umekula mali ya mtu na ukajulikana na ukaambiwa kuwa mpole na usirudie tena ila kitendo cha kujifanye we ni jeuri na kujifanya unajua kuliko mwenye mali ujue ipo siku yatakukuta ya zaidi ya mtoto wa .......

wivu wa mapenzi hi hatar sana. Wengi wameuwawa na kufa kutokana na haka ka wivu so. Chonde chode tujiweke mbali na walio wa watu na tukubali kuonywa.

View attachment 3063356
Ina maana humu ndani ya shule ya msingi kuna pub ?

1722990841635.png
 
Drama to conceal some bs?
Waziri Ambae ni boss wenu kasema tayar wamekamatwa au hamjui?

Anyways but,

Dah, kuendelea kumuumiza ni nyie kuwakumbatia watuhumiwa bila kuchukua hatua ...

Jambo hili Lina mslah mapana ya umma na lazima tuone haki ikitendeka...

Taarifa za ziada ni kwa Maafande tu?

Wananchi wa kawaida huwa mnaomba taarifa za ziada?

Watuhumiwa wametoroka nchi?
Picha hazikuonekana?

Majina na wanapofanyia kazi hamjaona?

#Justice4YomboLady
"Anyways"! Manjia yoyote! Ukitumia neno kwa kumsikia mwingine akilisema matokeo yake ni haya, ninakushauri kuanzia leo tumia neno "anyway" achana na "s".
 
Drama to conceal some bs?
Waziri Ambae ni boss wenu kasema tayar wamekamatwa au hamjui?

Anyways but,

Dah, kuendelea kumuumiza ni nyie kuwakumbatia watuhumiwa bila kuchukua hatua ...

Jambo hili Lina mslah mapana ya umma na lazima tuone haki ikitendeka...

Taarifa za ziada ni kwa Maafande tu?

Wananchi wa kawaida huwa mnaomba taarifa za ziada?

Watuhumiwa wametoroka nchi?
Picha hazikuonekana?

Majina na wanapofanyia kazi hamjaona?

#Justice4YomboLady
Inashangaza sana Bossi wao Masauni kasema wamekamatwa ila kwenye taarifa ya jeshi la polisi hakuna sehemu wameonyesha watuhumiwa wamekamatwa Bali wanaendelea na uchunguzi huyo Masauni Yuko hapo kwa ajili ya uzanzibar ila uwezo wa kuongoza hiyo wizara nyeti hana.
 
Back
Top Bottom