Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Kigamboni pako poa sana na zile beachs zake...Ukienda huwezi kufikiria kwenda coco beach
Sasa hivi wanajitahidi katika kupafanyia usaficoco beach ni kuchafu kunanuka sijui kwanini mamlaka husika hazichukui hatua
Jaribu siku moja mkuu hutojutia maamuzi yakoSiyo mwenyeji sana wa huko lkn nimeshawahi kufika, ...
Mhhh...ili wananchi tuendelee kula nema ya nchi inabidi ma guruwe fc a.k.a mikia au simba ndiyo itimuliwe kutoka mjini na kupelekwa maporini
Sijaenda kitambo nitajaribu kupita tenaSasa hivi wanajitahidi katika kupafanyia usafi
Simba wakikusikia mkuuili wananchi tuendelee kula nema ya nchi inabidi ma guruwe fc a.k.a mikia au simba ndiyo itimuliwe kutoka mjini na kupelekwa maporini na hasa kule burigi au nanjirinji kwani huko ndipo panapo wafaa,
Kwanini mkuu?Kwa soka la Bongo hilo litazidi kuzipoteza hizo timu kabisa...
Red-pinned? Daaah kweli wewe kiboko mkuu[emoji419]
Really?Duuu umenena kama Leo nilivyowaambia jamaa zangu fulani
Ukiambia umeanza kufatilia soka baada ya uwanja wa Taifa kujengwa utabisha?!Uwanja gani wenye uwezo wa kuhimili mechi ya simba na yanga nje ya Dar ipelekwe huko?
Yanga nyumbani ni darr,hiyo mikoa ambayo haina timu ipambane na hali yake sio lazima simba au yanga ziende huko, sio kila kitu lazima ubalance.Kwani lazima mechi ya Yanga (ikiwa nyumbani) na Mwadui FC ichezwe Dar? Kwani haiwezi kuchezwa katika mkoa ambao haujafanikiwa kupeleka timu ligi kuu?
Heri yako wewe uliyeanza kufuatilia kabla hata sisi wengine hatukuzaliwa mkuuUkiambia umeanza kufatilia soka baada ya uwanja wa Taifa kujengwa utabisha?!
Mimi nipo mkoa Ila Kila nikija dar huwa napenda kwenda pale sunrise!Kigamboni pako poa sana na zile beachs zake...