Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

ili wananchi tuendelee kula nema ya nchi inabidi ma guruwe fc a.k.a mikia au simba ndiyo itimuliwe kutoka mjini na kupelekwa maporini na hasa kule burigi au nanjirinji kwani huko ndipo panapo wafaa,
 
ili wananchi tuendelee kula nema ya nchi inabidi ma guruwe fc a.k.a mikia au simba ndiyo itimuliwe kutoka mjini na kupelekwa maporini na hasa kule burigi au nanjirinji kwani huko ndipo panapo wafaa,
Simba wakikusikia mkuu
 
Kwani lazima mechi ya Yanga (ikiwa nyumbani) na Mwadui FC ichezwe Dar? Kwani haiwezi kuchezwa katika mkoa ambao haujafanikiwa kupeleka timu ligi kuu?
Yanga nyumbani ni darr,hiyo mikoa ambayo haina timu ipambane na hali yake sio lazima simba au yanga ziende huko, sio kila kitu lazima ubalance.
 
Kigamboni pako poa sana na zile beachs zake...
Mimi nipo mkoa Ila Kila nikija dar huwa napenda kwenda pale sunrise!
Mchanga wake mlain huna shida ya kuvaa raba Kama coco.
Kigambon naona sakafu yake ya bahari iko poa ukilinganisha na coco bitch!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom