Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo maaaambo?Zibaki huko huko tushazoea kuchekia kideoni
Poooa kwemaaMrembo maaaambo?
Shosti upo? Umepota hataaaarePoooa kwemaa
Mbona anaonekana mbaya tu. Huo urembo kwioMrembo maaaambo?
Kideo gani tena bibie?Zibaki huko huko tushazoea kuchekia kideoni
Nipo bestie napatikana chitchat kule haahha na jukwaa la mahusianoShosti upo? Umepota hataaaare
Hahahahaaaa
Unacheka tena? JF kuna watu wabaya ambao wanaweza kumdhuru huyo jamaa kwa maana wanafaidika na Simba/Yanga.Hahahahaaaa
Akina nani tena hao wee jamaa? Yanga utopolo?
Mo na MwiguluSimba itabidi ihamie Singinda nyumbani kwa akina Mo
Uongo huu kijanaNaunga mkono hoja.....hizi timu miyeyusho sana + Media........mchezaji akiwa nje ya hizi timu hata awe na kiwango vipi.....Neshno timu ataisikia tu gazetini
Anamaanisha luninga a.k.a TVKideo gani tena bibie?
Utopolo ndio nani mkuu? Simba?Utopolo si walisema wanahamia ligi nyingine. huku wanahujumiwa
Duuuh hii ni essayUnajuwa sio dhambi kupenda Simba na Yanga tatizo kubwa nchi hii ni washabiki wa miji mingine kidogo kuna miaka ya nyuma kulikuwa kama mfano Mwanza ukisikia Pamba, Coastal, Reli ya Moro au Tukuyu hata CDA hizi team zilikuwa zinapata support kubwa katika mikoa yao na hii ilileta upinzani. Ukisikia mechi Pamba na Yanga au Simba hii ni big game Tanzania au hata team za Zanzibar ulikuwa ukisikia Small Simba, Miembeni, Malindi au Kikwajuni ni hatari. Tatizo limeanzia hapa hizi team hazipati support kutoka kwa wenyeji chukulia mfano kwa wenzetu mfano Spain, Real na Barca na uhakika hata Spain watu wote wana unazi na team hizi ila mapenzi yao kwa team zao wanaonesha kwa wazi haiwezi kwenda Real Sevilla halafu ukute wakazi wa pale wanashangilia Real hakuna au EPL huwezi kukuta mtu Stoke city anacheza na Man halafu mji wa Stoke wavae jezi za Man hakuna hata kama moyoni wana support Man lakini ikicheza na team ya mji wake full support mji wao.
Washabiki wamiji mingine sio dhambi pendeni Simba na Yanga sana tu lakini inapokuja kucheza na vijana wenu simameni na vijana wenu team zenu mbaya zaidi hata viongozi wa kiserikali utasikia mimi Simba au Yanga sawa sio mbaya wote tumezaliwa tunapenda hizi team kwa ukubwa wao hakuna wa kukataa ila simama sema kama mbunge wa Kagera sema mimi Kagera Sugar kama Tanga support Coastal au African union tulete ushindani. Kuna mtu kawahi kuona Dortmund wanavaa jezi ya Bayern.
Jamaa amefungua sana ila amejitahidi kuandika points kadhaa za maana.Duuuh hii ni essay