Wamechelewa.. limepata mwenyeweWanasema hiviView attachment 1103763
hawachelewi kusema '*100*00#' imehusika
Wanasema hiviView attachment 1103763
*150*00# imetumwa kwa kipaHahahahh hii *100*00# ni nini?
MK14 anatakiwa afikishe 25Okwi 15
Bocco 16
Kagere 23
Dj tunaendelea..
*150*00# imetumwa kwa kipa
Kwa ile sura ya MK14 hawataweza!
Toka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakijaWanasema hiviView attachment 1103763
Nina wasiwasi kama atacheza tena.. game zilizobaki Zinawezakuwa za Salamba+R.Juma+DilungaMK14 anatakiwa afikishe 25
Au Mnalitumia kukusanyia hela mnazo ombaombaToka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija
90+8' Kuelekea kumalizika mchezo huu wa TPL
Naaaaaaaaaaaaaaam..Mpira umekwisha Uwanja wa Namfua ambapo Simba SC wanaibuka kuwa Mabingwa Wapya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu
Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Maddie Kagere 09' na John Bocco 61
Singida United 0- 2 Simba SC
Kwaniaba ya Simba SC na JF team niiiiiiiiiiiii Ghazwat