Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Wachezaj wa Tanzania wanacheza mpira lakini sharia za mpira hawajui hahahahahahahahah
 
90+8' Kuelekea kumalizika mchezo huu wa TPL

Naaaaaaaaaaaaaaam..Mpira umekwisha Uwanja wa Namfua ambapo Simba SC wanaibuka kuwa Mabingwa Wapya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu

Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Maddie Kagere 09' na John Bocco 61

Singida United 0- 2 Simba SC

Kwaniaba ya Simba SC na JF team niiiiiiiiiiiii Ghazwat
 
Mwana kulitaka, mwana kulipewa.
 
SIMBA BINGWA 2018/19

IMG_20190521_180156.jpg
 
Back
Top Bottom