Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Namuona masele na Jesus Moloko wakijiandaa kuingia maana anachokifanya makambo kule mbele yeye pekee ndo anajua.
 
Mpaka dk hii ingekua prisons bado anaongoza basi tungeshuhudia penalty na red card ambayo ingekosa majibu kama ilivyokua kwa namungo ila thanks to God mazuzu yapo mbele kwa tofauti ya bao moja ndo maana mpaka dk hii boli bado lina flow smoothly.
Hii sio mikia wewe ya kutengenezewa penat. Jana mmekimbia mechi. Hamzungumzii hiyo
 
Hii sio mikia wewe ya kutengenezewa penat. Jana mmekimbia mechi. Hamzungumzii hiyo
Michezo ya GSM inajulikana, mpira unachezwa vizuri mpaka dk hii sababu tu yanga anaongoza ila tungeona mengi hapa leo.
 
Kwamba mbali na uchambuzi, hujaona kama foul alivyocheza Dickson job ilistahili red card ??
Wewe umeona makosa ya Dickson tu au kwa maana nyingine unaangalia makosa ya Yanga tu...wewe nite mchambuzi...
 
Mbali na kuwa mshabiki wa Simba mimi pia ni mshabiki mzuri wa michezo hivyo siwezi kuwa na ushabiki wa hovyo na wa kipumbavu kama mlionao majority wa utopolo fc.
Kweli wewe ni miongoni mwa makolo wachache humu jukwaani Wenye kujitambua, salute kwako kolo
 
Deus Kaseke anathibitisha madhara ya punyeto hapa uwanjani.
 
Hivi Mayele ndio tuseme ana mafua ama? Mbona haonekani leo.
 
Katika vitu ambavyo vinampa shida Nabi ni namna ya kufanya sub.
 
Naaam mpira umekwisha yanga akiendelea kujikita kilekeni mwa msimamo wa ligi kuu NBC premier league. Mabao ya Feisal na Khalid aucho yanaifanya yanga kuondoka na alama tatu muhimu.
 
Mpaka dk hii ingekua prisons bado anaongoza basi tungeshuhudia penalty na red card ambayo ingekosa majibu kama ilivyokua kwa namungo ila thanks to God mazuzu yapo mbele kwa tofauti ya bao moja ndo maana mpaka dk hii boli bado lina flow smoothly.
Kama zile kadi nyekundu tano mfululizo walizo wabeba makolo.
 
Kuna watu misimu iliyopita walikuwa wanatupigia makelele "tuna kikosi kipana.......kimoja kinacheza mapinduzi.......kingine na Yanga kwa Mkapa......kingine Chamanzi na Azam.......",jana wameomba wahairishe mechi.
 
[emoji617][emoji617][emoji617]..Na Dozi Itaendelea Mpaka Mwisho Wa Ligi [emoji4]
 
Back
Top Bottom