Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio mikia wewe ya kutengenezewa penat. Jana mmekimbia mechi. Hamzungumzii hiyoMpaka dk hii ingekua prisons bado anaongoza basi tungeshuhudia penalty na red card ambayo ingekosa majibu kama ilivyokua kwa namungo ila thanks to God mazuzu yapo mbele kwa tofauti ya bao moja ndo maana mpaka dk hii boli bado lina flow smoothly.
Simba mshapona mafua?Namuona masele na Jesus moloko wakijiandaa kuingia maana anacho kifanya makambo kule mbele yeye pekee ndo anajua.
Michezo ya GSM inajulikana, mpira unachezwa vizuri mpaka dk hii sababu tu yanga anaongoza ila tungeona mengi hapa leo.Hii sio mikia wewe ya kutengenezewa penat. Jana mmekimbia mechi. Hamzungumzii hiyo
Nyie sio wa kuwachezea mind games prisons, mmeonesha ni jinsi gani hamjiamini.Simba mshapona mafua?
Wewe umeona makosa ya Dickson tu au kwa maana nyingine unaangalia makosa ya Yanga tu...wewe nite mchambuzi...Kwamba mbali na uchambuzi, hujaona kama foul alivyocheza Dickson job ilistahili red card ??
Kweli wewe ni miongoni mwa makolo wachache humu jukwaani Wenye kujitambua, salute kwako koloMbali na kuwa mshabiki wa Simba mimi pia ni mshabiki mzuri wa michezo hivyo siwezi kuwa na ushabiki wa hovyo na wa kipumbavu kama mlionao majority wa utopolo fc.
D😀😀[emoji23][emoji23]Deus kaseke anathibitisha madhara ya punyeto hapa uwanjani.
Kama zile kadi nyekundu tano mfululizo walizo wabeba makolo.Mpaka dk hii ingekua prisons bado anaongoza basi tungeshuhudia penalty na red card ambayo ingekosa majibu kama ilivyokua kwa namungo ila thanks to God mazuzu yapo mbele kwa tofauti ya bao moja ndo maana mpaka dk hii boli bado lina flow smoothly.
Bila kusahau na ile waliopata red arrows.Kama zile kadi nyekundu tano mfululizo walizo wabeba makolo.
Plus na zile tuta mbili za mchongo,wazee wa kikosi kipana wanaomba mechi ihairishwe kuchezwa.Bila kusahau na ile waliopata red arrows.
Kikubwa point 3 mengine extra.Hivi Mayele ndio tuseme ana mafua ama? Mbona haonekani leo.