Tanzania ready for phase two of SGR from Morogoro to Dodoma

Total wamepitisha kwakuwa mna usalama au you are cheap? mikataba ya ajabu ajabu au Tax heaven utapata wapi kwingine lazima tukubali
Wapi mwananchi wa Kenya atakubali ardhi yake lipite bomba alipwe kifuta machozi badala ya fidia

sheria ya ARDHI ya 1999 inasema compensation must be full fair and prompt.

weeeee endelea na machungu yako ya kukomeshwa kuuza madawa ya kulevya, kuuza pembe za ndovu, kuiba makontena bandarini, kukwepa kodi na maluwe luwe kibao.
lazima muisome namba.
 
Kuna sheria ya ardhi ya kise kama ya Tanzania .
Unahamishwa kwenye madini unalipwa tu vilivyoko juu ya ardhi
 
Kuna sheria ya ardhi ya kise kama ya Tanzania .
Unahamishwa kwenye madini unalipwa tu vilivyoko juu ya ardhi

weweee kuna sheria ya ARDHI bora kama ya Tanzania. hii ni full hd.
duniani kote madini ni mali ya umma. uwe unajisomea sheria za nchi nyingine.
 
weweee kuna sheria ya ARDHI bora kama ya Tanzania. hii ni full hd.
duniani kote madini ni mali ya umma. uwe unajisomea sheria za nchi nyingine.

Bora ukilinganisha na wapi sheria ambayo ardhi ni mali ya Umma
Yaani unahamishwa Nyamongo pana dhahabu unalipwa miti na nyumba ajabu
Hebu tuangalie hii shida ya migogoro ya ardhi kama kila mtu angekuwa na yake ingetokea wapi kuvamia ardhi
 
kuna kitu kinaitwa land tenure, system of holding land. inatofautiana kuna wengine wanatumia freehold system na wengine leasehold. lkn wote madini ni ya umma.
pia Tanzania fidia inahusisha ARDHI mazao na maendelezo kama nyumba. siyo kweli kama analipwa miti tu.
 
Mkuu umewatumbua wa Kenya,,,
Hatutawaona tena humu[emoji3]
 
205 + 336 = 541km Ni mbali zaidi ya Nai mombasa. ..phase mbili tu izo HaHaha watu walisema Haiwezekani sasa sijui hali zao sasa hivi

Ujenzi wetu pia unaenda pamoja awamu zote wakati Kenya awamu zinasubiriana. Naona tukimaliza mradi wote mbele ya Kenya.
 
Endeleeni tu m kuamini mpk nione watu wanakata tiket bna
 
Endeleeni tu m kuamini mpk nione watu wanakata tiket bna
usiwe na wasiwasi mkuu, mambo mazuri yanakuja, sasa hivi utaenda kushangaa Lake Tanganyika ukitokea Dar ndani ya masaa tisa utakuwa Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…