Tatizo ni wazazi kutowapenda watoto wao.Analalamika utadhani huwa wanashikiwa bunduki kuwapeleka watoto boarding.
Boarding mtoto wa miaka mitatu hii hapana.Nliwahi kwenda visitation day ya mtoto wa mtu darasa la 5 ye alikua boarding..nkakutana na wengne kama miaka mitatu kiumri yani tufanye yupo baby class au middle class..halafu kawekwa boarding..nkashangaa!!
Ila naelewa ni changamoto za maisha na malezi tu.usiombee ukose mda wa kuwa free halafu una mtoto hana msaidizi
Aliekwambia wazungu awapeleki watoto boarding nani asilimia kubwa ya viongozi wakuu ni zao la boarding schools. Na wenyewe watoto zao wanapeleka huko huko, bado kuna watoto wa wafalme kuanzia primary.Tatizo ni wazazi kutowapenda watoto wao.
Watz tunaiga wazungu ila wazungu hawapeleki watoto boarding
Wazungu wamafanya kazi muda mrefu kuliko sisi ila familia ni muhimu sana kwao
Mtoto Ana haki ya kuishi na kulelewa na wazazi ,huyu mtoto ktk umri huu hawezi kufanya maamuzi yoyote mtoto anarudi kutoka likizo kanyooka shingo na we mzazi umekazana unajisifu kwamba shule Fulani watoto wanafundishwa hatari eti kisa kakonda,huko shule hata hujui mwanao Kala Nini matokeo yake mtoto akirudia likizo mapenzi yote yamehamia kwa matroni na patroniKwani mzazi kalazimishwa kupeleka boarding au ni kiherehere chake?
Kila mtu aishi anavyotaka majibu kila mtu anayokichwani mwakeNi maamuzi yako binafsi na upo sahihi kabisa,lakini pia atakaepeleka mtoto wake boardimg pia yupo sahihi.
Hii ni taarifa njema sana kwa wazazi haiwezekani mtoto aende bweni akiwa na miaka miwili tu huu ni uonevu kwa watoto.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekumbusha kuwa hairuhusiwi huduma ya bweni kutolewa kwa wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza hadi la nne....
kama ni kweli, WAKO SAHIHI, na ikiwezekana iwe marufuku shule bweni shule ya msingi mpaka sekondari.. bweni ianzie form six na hivi vyuo vya kati.. Vyuo vyote ambavyo wanasoma vijana baada tu ya kumaliza shule ya msingi navyo bweni iwe marufuku.
Mimi sikubali mwanangu below standard 6.kuwa boarding. Wengi miongoni mwetu hawajui kuwa values za Mlezi znatakiwa kuaimparted kwa mtoto toka akiwa mdogo. Mzazi ni key factor ya Akili na utu wa mtoto mpaka uzeeni. Boarding at low ages ni ujuha tu.Hata hizo za karibu shule zinalazimisha mtoto akiwa std 4 na 7 akae kwa ulazima boarding. Mimi niliwagomea wakanambia uwe una uwezo wa kumpeleka mtoto saa 12 asubuhi au nimuhamishe nikawaambia fresh tu kwakuwa siko mbali na shule akawa anawahi. Wanafosi kutaka ada za boarding kiulazima.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Maamuzi ni yako. Basi.Swala hapa sio shule za boarding ndizo zinazopelekea mmomonyoko wa maadili. Hili swala ni Pana sana... Swala la maadili ni Pana sana.
Je tabia ya uchokoraa watoto wanajifunzia bording school.?
Je tabia ulevi na kutumia madawa ya kulevya wanajifunzia boarding. ?
Je tabia ya kutukana matusi yote ya nguon wanajifunzia boarding?
Je tabia ya udokozi na wizi wanajifunzia boarding?
Je tabia ya ulawiti na ushoga wanajifunzia boarding?
Hizo tabia zote hapo juu 98% watoto wanajifunzia mitaan na majumban huo ndo ukweli
Hii ni taarifa njema sana kwa wazazi haiwezekani mtoto aende bweni akiwa na miaka miwili tu huu ni uonevu kwa watoto.
Hata kama ni matakwa yao huo ni uonevu kwa watoto.Hao Wazazi wanaopeleka watoto wa 2 yrs Boarding huwa wanalazimishwa au ni matakwa yao?
Ni ukweliJe ni kweli kuwa shule hizi huchangia mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa sana kwa watoto wetu..?