We unaonaje?Je, ni kweli kuwa shule hizi huchangia mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa sana kwa watoto wetu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaonaje?Je, ni kweli kuwa shule hizi huchangia mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa sana kwa watoto wetu..?
Sheria ni msumeno,ngoja tuone mwisho wa muhula huu sio mbali.Childcare ni changamoto Dunia nzima. Kuna mtu mwingine analeta boarding kwa sababu mazingira aliyopo hakuna shule. Wengine ni wafanyakazi was TANAPa au mashirika mengine ambayo vituo vyao by kazi ni porini n hakuna huduma ya shule. Pia wapo ambayo wanawaachia mahouse girl wakija jioni watoto wameigwa ,hawajalishwa n ni wachafu. Sera inabidi inanglie hayo yote. Wengi tunapigs makelele ila hata hao watoto walimu was shule wanawajua kuliko mzazi maana muda mwingi hatupo. Hata jumamosi na jumapilli pia hatupo. Wanaosaini hayo makratasi wengi watoto wao wao Feza au international school. Tukae tuangalie suala la malezi vizuri. Suala sio boarding ni malezi. Pia serikali Ina shule za boarding wilaya nzima ya Monduli. Je itazifunga? Arusha school itafungwa? Tusishabikie tu bila kutafakari.
Swali je watazifungia? Maana Monduli bila boarding huendeshi aiseeSheria ni msumeno,ngoja tuone mwisho wa muhula huu sio mbali.
Au labda watatumia upenyo wa kibali maalum. Watu wanatengeneza mbadala mapema
Msichana wa kazi??[emoji848]Utampelekaje mtoto wa miaka miwili boarding? Kama upo busy ajiri msichana wa kazi akusaidie kulea hapo hapo nyumbani na awe anamuandaa kwenda shule.
Kisigino kinawekwa ndomoni mwa mtoto, ili asipige kelele huku yy akiongea na simuShida iko pale pale, dada wakazi hachelewi kumrambisha mtoto cunt[emoji2296],ukiwa job
Kuna jamaa ameposti eti vitoto vinapigwa miti mnoJe, ni kweli kuwa shule hizi huchangia mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa sana kwa watoto wetu..?
Msichana wa kazi ambaye kidg unaweza kumwamini ni yule mwenye undugu na mzazi mmojawapo aidha Baba au Mama kwasababu atakuwa na uchungu na mtoto au UogaMsichana wa kazi??[emoji848]
Hawa watu siku hizi mmh
Ngoja tutaona ila nadhani watatembelea kwenye loophole ya kibali maalumSwali je watazifungia? Maana Monduli bila boarding huendeshi aisee
Msichana wa kazi??[emoji848]
Hawa watu siku hizi mmh
Kuna wazazi kazi zao zinawafanya kua busy na kazi kuliko kukaa nyumbani na familia. Vipi waache hizo kazi?Wazazi wanatakiwa wapeleke wanafunzi shule za karibu na nyumbani.
Wizara ya Elimu itaendelea kuboronga mpaka siku tukipata watu sahihi wa kusimamia Elimu ya Taifa letu. Maamuzi yasiyo na tija kabisaSerikali ya CCM imeamua kufanyia tangazo la jirani zetu wakenya kupiga marufuku watoto kuishi shuleni kuanzia darasa la nne. Sababu kuu wanayodai ni mmomonyoko wa maadili shule za bweni kuwa ni mkubwa mno.
Mimi ni mdau wa elimu, hii sababu sio kweli hata siku moja.. SEMA kwa sababu Serikali yetu haifanyi tafiti za kujua tatizo wao huja maamuzi yao bila kufanya utafiti wa kina.
===
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekumbusha kuwa hairuhusiwi huduma ya bweni kutolewa kwa wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza hadi la nne, isipokuwa kwa kibali maalum kitakachotolewa na Kamishna wa Elimu baada ya kupokea maombi rasmi kutoka kwa mdau husika.
Taarifa iliyotolewa na Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa imeeleza kuwa shule zote ambazo zinatoa huduma ya bweni kwa madarasa yasiyoruhusiwa zinatakiwa kusitisha huduma hiyo ifikapo mwisho wa muhula wa kwanza mwaka 2023.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, hatua hiyo ni utekelezaji wa mwongozo wa uanzishaji na usajili wa shule uliotolewa na wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mwezi Novemba mwaka 2020.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kubainika baadhi ya shule zimekuwa zikipokea watoto wenye umri mdogo kuanzia darasa la awali hadi la nne, huku huduma zinazotolewa kwa wanafunzi hao zikiwanyima fursa ya kushikamana na familia na jamii zao, kujenga maadili na kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya familia zao.
Kulingana na tafiti zilizopo, madhara ya muda mrefu yatokanayo na tabia ya kulaza watoto bweni katika umri mdogo ni watoto kukosa mapenzi kwa wazazi ama walezi na jamii zao na hivyo kushindwa kuwa sehemu ya familia na jamii husika.
Taarifa hiyo ya Kamishna wa Elimu pia imesema kuwa hairuhusiwi kwa shule yeyote kuwa na makambi ya kitaaluma na kuzielekeza shule kuweka mikakati thabiti ya ufundishaji na ujifunzaji kwa kuzingatia kalenda za mihula zinazotolewa mara kwa mara na Kamishna wa Elimu ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.
Taarifa hiyo imesisitiza kuwa malezi na makuzi ya mtoto yanategemea sana mchango mkubwa unaotolewa na familia kupitia wazazi ama walezi wa watoto.
![]()
![]()
![]()
Tatizo letu tunafanya maamuzi bila kutumia watu sahihi....Swala hapa sio shule za boarding ndizo zinazopelekea mmomonyoko wa maadili. Hili swala ni Pana sana... Swala la maadili ni Pana sana.
Je, tabia ya uchokoraa watoto wanajifunzia bording school?
Je, tabia ulevi na kutumia madawa ya kulevya wanajifunzia boarding?
Je tabia ya kutukana matusi yote ya nguon wanajifunzia boarding?
Je, tabia ya udokozi na wizi wanajifunzia boarding?
Je tabia ya ulawiti na ushoga wanajifunzia boarding?
Hizo tabia zote hapo juu 98% watoto wanajifunzia mitaan na majumban huo ndo ukweli
Sasa baba ana kazi..mama ana kazi unataka wafanyaje?? kwani zamani walikuwa hawaajiri wadada wa kazi... Mimi naona mtoto anakuwa salama zaidi akiishi shule za bweni kuliko huku mtaani aiseee mtaaa umechafukaa mnoooo. So serikali iliangalie hili upya na kwa umakiniMsichana wa kazi??[emoji848]
Hawa watu siku hizi mmh
Kuna wazazi kazi zao zinawafanya kua busy na kazi kuliko kukaa nyumbani na familia. Vipi waache hizo kazi?