Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Irrelevant example..Ndicho nilicho kisema ttafute suluhu ili tendelee kuheshimiana na kutegemeana, au wewe ukigombana kidogo tu na mume wako unafungasha unaondoka!??
Akuanzae mmalize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Irrelevant example..Ndicho nilicho kisema ttafute suluhu ili tendelee kuheshimiana na kutegemeana, au wewe ukigombana kidogo tu na mume wako unafungasha unaondoka!??
Wana hasira na vingi, Tanzania imezinduka na kuacha diplomasia ya kinafiki.Safi kabisa,tuanze kujitegemea sasa ili majirani wasijione wao bora zaidi yetu
Kipindi hiki cha Corona WFP wamedai kutakuwa na uhaba wa chakula ktk nchi nyingi,manake nchi zitakazohitaji chakula ni nyingi,kwa hiyo Kenya akizingua zipo nchi kibao zinahitaji chakula.Sio Tanzania, hapa chakula kipo kibao tukiuziana sisi kwa sisi kinabaki kingi na bei itakua chin mkulima haita mlipa.
Soko letu kuu la mazao ni Kenya kama hujajua.
Pua zimekutanuka kwa jazba hadi unakosa point.
Kenyans have yesterday's news about Tanzania and think they know US very well! Let me tell you boy, This ship has sailed.Tanzania sounds like a jilted lover, Aw Niko na mimba, Aw Niko periods, Aw sina pads, Aw sina Suruali ya ndani
Daudi hauoni kuna tatizo sehemu.Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Hapa ndipo mnapoanzia kukosea Wakenya, wewe ni nani hadi unaanza kutuamulia nani atusemee?Hio nchi Basi haina muelekeo, mkuu wa mkoa hafai kuzungumzia mambo ya foreign affairs maana hata mkoa wenyewe haupo chini ya wizara ya Mambo ya nje upo chini ya office ya rais Tamisemi ,mambo ya foreign policy wapi na wapi na mikoa? Au ndio kila mtu anataka kujimwambafai mwambafai ilimradi aonekane na jiwe? Nchi yenu itabaki kua kituko mbele ya ulimwengu.
Hayo ni mawazo yako na back ground ya mafundisho uliyonayo.Irrelevant example..
Akuanzae mmalize
Nakumbuka Mh Rais kipindi anajenga ukuta pale kule kwenye mawe ya Tanzanite alisema ikibidi ata mlima Kilimanjaro urajengewa ukuta.Ngoja tuweke pazia mlima kilimanjaro [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa dharau tulianza na demu wenu sio mtamu tumewarudishia dada yenu wa kujiita Dona.Tanzania sounds like a jilted lover, Aw Niko na mimba, Aw Niko periods, Aw sina pads, Aw sina Suruali ya ndani
Kama hao mnaotaka waje ni wagonjwa wafanyaje zaidi ya kutuma wawakilishi? Uzuri mmoja hata Magufuli huwa anatuma wawakilishi.Daudi hauoni kuna tatizo sehemu.
Moi kafariki tumewapeleka Mkapa na Kikwete. Tena Marais wetu wa awamu ya tatu na nne.
Mkapa aliyewasaidia kutatua migogoro yao ya kuuana amefariki wametuletea wajumbe.
Watasema corona , je hao waliokuwa wanakuja wao hawashiki korona???
Daudi haujaelewa swali langu.Kama hao mnaotaka waje ni wagonjwa wafanyaje zaidi ya kutuma wawakilishi? Uzuri mmoja hata Magufuli huwa anatuma wawakilishi.
Unipinga kwa point badala ya misutoAcha umburula...
Mumetajwa wapi km hamuingii[emoji23][emoji23]Mnatafuta nini Tanzania Kama mnajitosheleza?
Pumbavu ninyi yaani muingie Tanzania kisha mnajifaragua Tanzania isiingie kwenu eti Corona, kwahiyo mkija huku hampati hiyo corona mpaka mletewe na watanzania?
Pateni mnachostahili nyie
Nenda Kilimanjaro ukaone vile watu(jamii) wanagombaniana ardhiMwambie Kenyata agawe ardhi anayomiliki ili wananchi wake wapate japo maeneo ya kulima sukuma wiki..
Kuliko kuuana namna hii! Alafu huu upumbavu wa ukabila mtaacha lini? View attachment 1524217View attachment 1524218View attachment 1524219
Wewe mimi ni mtanzania! Hapa tz kila mtu akitaka kumiliki ardhi ni rahisi sana hata maekari na maekari!Nenda kilimanjaro ukaone vile watu(jamii) wanagombaniana ardhi
Ndipo uwezo wa akili zako ulipofikia?