Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
- #21
Fikirishi,Fanya hivi wabunge wasipewe mishahara, ifutwe. Wakienda bungeni wawe wanalipwa posho ya kujikimu (night allowance) kwa rate ya serikali. Usafiri wapande bus/ndege kulingana na anapotoka na wakifika wanarudishiwa nauli zao. Vikao muhimu tuu ndiyo watakuwa wanakuja Dodoma kama kupitisha bajeti, vikao vingine watafanya kwa zoom meeting wakiwa majimboni mwao. Hii ikifanya miaka 2 tuu watajichuja wenyewe, wale wabunge maslahi wote watakimbia na watabaki wale wenye wito tuu.
Itakuwajekwa
(a). Bunge la EA ambalo Tanzania ni mwanachama,
(b). Bunge la Afrika, na
(c). Mabunge ya Commonwealth ambayo Tanzania ni mshirika?