Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

Ripoti za CAG wamezizoea hivyo haziwakoseshi usingizi, Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni CCM, pigeni kelele mkichoka mtalala.
 
MAGAZETI NA VYOMBO VYA HABARI KILA SIKU VINATANGAZA UCHUMI UMEIMARIKA NA UNAKUWA KWA KASI
 
Napendaga sana waTanzania aise 🐒

kwamba unafananisha kwanza na nyaan, kisha baadae unamuita mjinga au hajielewi.

kisha eti akuchague wewe thubutu 🐒

🤣 hawezi kukuacha hiihivi, Lazima akutafutie angle ili useme yote🐒

kwenye sanduku la kura huwa hakosei 🐒
 
My suggestion, mama aachie ngazi.
Nchi hii imeshamshinda.
Tena asisubirie uchaguzi Mkuu.
Aachie sasa hivi akitoka huko alikoenda.
Vinginevyo, ataacha makovu mabaya sana ambayo itachukua muda kuyaondoa
 
Walio weza ku-deal vema na mafisadi ya taifa ni China,hakuna mfumo wa kulinda wezi ukikutwa na hatia pasi na shaka jua wazi ni kifo.Watu huwa ona wachina kama wakatili lakini sasa mtaelewa.

Ni muda sasa wa ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali yaani CAG kufugwa maana haina umuhimu wowote.
 
Tuwaunge mkono wapinzani la sivyo tutavuna mabua!
Tatizo wapinzani wenyewe hatuna Mkuu. Au tunao lakini hawajielewi ni kama pimbi tu. Wapinzani wanaojielewa ni wachache sana kama wakili msomi Mwabukusi, Mbatia, Mdude n.k. Wengine wanaongozwa zaidi na akili za tumboni.
 
Sisi huku kwetu, wanaofuatiliwa na kupotezwa ni wazalendo au wanaoisema serikali kwa ubadhilifu wake!!
Halafu tunakaa tunajivuna tuko na Intelijensia Bora kabisa Afrika na duniani.
Kwa kweli inakatisha sana tamaa kuwa na vyombo vya aina hii.
 
Well said Mkuu..
🙏
 
wengi wanachanganya kiswahili na uislamu, Kiswahili siyo uislamu, hapo wakenya wanamaanisha uislamu wa tanzagiza ni tatizo, kila awamu ikiwa ya kwao ukiondoa ya Mzee Mwinyi mwenyezi Mungu ambariki ni shida tupu …
 
Baada ya JPM tulipaswa kuongozwa na watu wa kufanana naye au hata zaidi yake Kwa miaka kama 100 hivi.
Wacha ujinga huo. Kwa sifa gani na uwezo gani ambao yule FISADI alikuwa nao?

Angekuwa na uwezo asingekufa akiwa madarakani
 
Kwasasa tatizo sio SERIKALI tena, kwani SERIKALI imeonyesha uwezo wake katika kuongoza nchi upoje, (inaweza au haiwezi) ..bali Tatizo ni JESHI na WANANCHI wake, wamelizia kuwa na watu wasio kuwa na akili timamu wala uzalendo......
 
Tuwaunge mkono wapinzani la sivyo tutavuna mabua!


Wapinzani gani? Maana mpaka ndani ya CCM wamo pia.



Ila Kama unawasema wale Jamaa wa kugeuzia Gia angani, walichowafanya wanachama wao 2015 ni onyo tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…