Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

Mtamkumbuka mzee Asaad aliposema bunge dhaifu. Na Magufuli akamuondoa kwa kufichua trilioni na nusu
Ni kazi ya bunge kuishupalia na kuifanyia kazi kikamilifu mpaka mawaziri husika wanyooke

Bunge lenyewe ni kama lina assist maaamuzi ya muhimili fulani, simply physicaly linaonekana but halipo
 
Hakuna Uwajibikaji kama Zamani halafu kuna bwege mmoja anamsema lowasa kwa Report moja tu aliyotoa mwakyembe na yeye akaamua kuwajibika..
Mbona hawa wa sasa hivi report za miaka 3 lakini hawawajibiki
 
Hivi nyie mlitakaje? hata mtoa mada ukipewa madaraka utaacha kuwa nyani na wewe ukatafuna?
 
Raia feki Samia na genge lake la wahuni kina Rostam azizi ....kama sheria za uraia azija badilishwa na kuwa na daraja 3 za Raia ...ili kuzuia wahuni kukamata dola ...leo msomali akipewa uraia kesho anaweza kugombea urais
 
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Mno Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Hii Nchi
Vyovyote Mtakavyosema Najua Mmenielewa Sana Sana Ndugu Zangu
Kwenye Utawala Wangu Hakuna Kubembelezana, Nataka Tuchape Kazi Sana
Subiri Rais Atakayekuja Baada Ya Mimi Ndiyo Atawabembeleza



Hata Kama Una Mtoto Wako Unampa Uji Anywe Yeye Analia Tu, Unammenyea Mayai Ale Lakini Analia, Unampa Uji Tena Kwenye Kikombe Anakitupa
Hapo Unajua Huyu Mtoto Ana Kiburi, Unamzaba Kofi Moja Uone Atakavyobugia Huo Uji Haraka Haraka


By Mzilankende, Jiwe, Chuma, Baba Jesca
 
Baada ya JPM tulipaswa kuongozwa na watu wa kufanana naye au hata zaidi yake Kwa miaka kama 100 hivi.
Ndivyo itakavyokuja kuwa huko mbele ya safari. !!
Sijui ni baada ya miaka mingapi ijayo lakini itakuja kutokea !!
 
Jeshi ndo tatizo sugu...


Unalionea Jeshi.

Jeshi ni watendaji tupu na wako tayari kwa ajili ya maamuzi magumu tu.


Ila mwenendo wa siasa za nchi na kupanda au kushuka kwa uchumi ni wajibu wa Mwananchi wa kawaida kabisa kuhakikisha vinaenda vile vinavyopaswa kwenda na sio tofauti.

Sasa hapo kwetu Mwananchi yeye kachukua maamuzi ya kuwa shabiki wa kisiasa na Chawa wa wanasiasa bila kuhoji utimizwaji wa Sera na mipango iliyowekwa.
 
Raia feki Samia na genge lake la wahuni kina Rostam azizi ....kama sheria za uraia azija badilishwa na kuwa na daraja 3 za Raia ...ili kuzuia wahuni kukamata dola ...leo msomali akipewa uraia kesho anaweza kugombea urais
Tabu sana kuongozwa na wakimbizi.
Wengi hawana uzalendo wowote kabisa!
Halafu sijui Mkuu wa Majeshi yetu anajisikiaje kuona wale Raia wa kigeni walioko kwenye nafasi za maamuzi, bado wako na wako very comfortable!
 
Tafuta channeli fukara wewe
 
Tangu nipate ushahidi yakua SHETANI WA TANZANIA ni very powerful kuliko MUNGU WA TANZANIA, Sasa sina budi kua mpole hadi pale itakapokua otherwise
 
Ni serikali gani unaizungumzia ya kufanya hayo mkuu?
 
Tangu nipate ushahidi yakua SHETANI WA TANZANIA ni very powerful kuliko MUNGU WA TANZANIA, Sasa sina budi kua mpole hadi pale itakapokua otherwise
Kwa kweli hata mimi kifo cha JPM kiliniacha na maswali mengi sana Mkuu....
Kama kuna sehemu shetani alijitwalia utukufu, ni katika kipindi hicho.
Lakini mwisho wa siku, Haki na wema lazima vitashinda ndugu yangu.
Tusikate tamaa kupigana upande wa wema na haki.
 
Ona Pi..mb.i hii!
Kwa hiyo tusiseme kisa tuchaguliwe kwenye nafasi ili na sisi tuwe nyani waharibifu?
Anyway, nyie endeleeni na unyani wenu, iko siku isiyo na jina ataibuka wa kuibuka kusikojulikana. Tena natabiri huyo ajaye, atakuwa zaidi ya Hayati JPM. Atawanyoosha sana manyani wote kuliko walivyonyooshwa na Magufuli. Hiyo siku naiona na haiko mbali toka sasa.
 
Sisi huku kwetu, wanaofuatiliwa na kupotezwa ni wazalendo au wanaoisema serikali kwa ubadhilifu wake!!
Halafu tunakaa tunajivuna tuko na Intelijensia Bora kabisa Afrika na duniani.
Kwa kweli inakatisha sana tamaa kuwa na vyombo vya aina hii.
Hamna intelligence bali chawa wa Rais,ambao kazi yao kubwa kupeleka taarifa za u-snitch ili kupewa hisani baada ya kustaafu.

Taifa liko katika hali mbaya lakini Kuna kenge mmoja anakuja na story za kwenye kijiwe Cha kahawa "The state" wameamua kwamba apewe muda [emoji3]

Wakati viongozi kama Emporer Meiji alifanya maamuzi magumu ya kujenga taifa,baada ya kuona wahafidhina hawataki reforms,alicho wafanya ndio matokeo ya Japan ya leo.
 
Let me told you something brother,,this is government,there is no playing of government brother, government is have long hand,looong anywere can come,why when u hear corruption know we ea seriously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ