Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Umezuiwa kuhama nchi?Waliosema tutaongea lg 1 waliona mbali
Taifa la ajabu badala ya
State Vs bad economy
Sisi tunafanya....
State vs mdude nyagali chadema
Poor we
Unataka data ukawatibu? au walofariki ukawazike?Mbaya ni pale wanapoficha data za wagonjwa wa Covid - 19,hii sijui ni kwa faida ya nani wakati mtaani hali ni mbaya.
A true genius thinks alone, he never follows the masses.
Magufuli ni mtu muoga sana.lakini amefanikiwa kuwatisha watanzania tulio wengi .
Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza.
Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kiliman gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia kwenye makorongo makali na hakuna wakutunasuwa.
Hapa jamaa zangu wa kuona mbali kama walishauri au hawakushauri huu mlima unaenda kuwa the big test of all time in history of this nation. U know why?
Tumefanya siasa zakurusha mawe ndani mwisho yukaanza kurusha mawe mpaka kwa majirani kwa bahati mbaya Samahan kusema hivyo hata sisi nyumba yeni ni ya vioo tena vioo vyepesi sana. Jiwe moja unaporomosha upande mzima wa vioo mbaya kuliko yote sasa jamaa wanaijuwa nyumba in and out. How walijuwa kuna siku tutabadilika na leo wanafanya sherehe walicho kitabiri kinatokea na sasa ni zam yakuangusha nyuma step by step.
Covid 19 kwao nikama mlima wa mauti kwa africa na anguko kwa mataifa yanao wasumbuwa. Jambo tumelikosea na uwenda tumechemka dereva hakupasw hata fungua mdomo kusema chochote badala yake angekuwa anasikiliza kilio cha abiria nakuweka ujuwaji wa kuendesha ili kuwapumbaza watesi wake. Sasa mlima unakona kali na hauna lami tuliiona pale mwanzo je nn kitatokea?
Kama nikudanganya huwez wadanganya maana wapo ndani ya mfumo na ningumu kuwa baini sera na mikataba tuliingia nao inatubana leo yani kweli tukashindwa kuwa wanafiki na sisi tukawa ktk sehem yakupumua kidogo... Mfano JK hakuwapenda sana chadema ila aliposoma nyakati na akiangalia sera zake akawaita pale magogoni wakapata tea aljazeera wakarusha vyombo vya habari wakarusha mambo mswano, leo mnafanya picha hata mtoto anajuwa picha? Jaman mnatuangusha kiukweli.
This is a test of time Mungu alitete hili taifa maana macho yote kwa John. Kama John ndio amesimamia msimamo well let trust the process ila haiwez kuwa kama tunavyo dhani. this is silence killing today Usd is how much? Prof BOt what ye say yesterday? We have strong reserve Hii ni aibu na aina hii yaunafiki mnampoteza dereva yani kitu kinachokuwa determine by demand and supply unatudanganya kiasi hiko if ye have strong reserve why thamani ya tz inashuka kwa kasi? Why usd inapanda kwa kasi? Hii ni zaidi ya aibu kwaheri.
Kwema rafiki?!Eh! Walisema humu watu itafika siku wote tutaongea LUGHA moja. Hata wewe Mkuu? Duh! ila nikupe hongera kwa KUJITAMBUA na nategemea hutageuka nyuma.
Kwema rafiki?!
Tulikumiss sana ujue!
So you are back(BAK)?! Karibu sana kwa mara nyingine mkuu
What if, those others are blind?A true Genius work on what others see for which he needs to digest so as to have a good outcomes.
No one knows everything though he/she may know many things.
Nawewe ukawaamini? Wacheck hewani ndg zako huku bongo hususan walio Dar waulize kuhusu hali ya Dar.Leo nimesikia taarifa ya habari ya BBC World Service, wanasema Ubalozi wa Marekani unetoa tamko kwa raia wa Marekani kwamba hali ni mbaya sana hususan Dar es salaam, halafu hospitali hazina nafasi ya kuchukua wagonjwa wapya wa Covid-19.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamuona Jingalao bado[emoji41]Friend ake Magonjwa Mtambuka kasharudi kwenye nafasi yake
Naamini sasa nchi itapata maendeleo kwa kasi ya Kimbunga likiwemo jimbo langu la Kongwa na Mpwapwa! Ccm tuna mambo.....
Hiyo katiba itaboreshwa na nani? Hao hao waliyoukataa? Wana ubavu huo!!!JPM ni kiongozi bora wa zama hizi, muhimu ccm wamuwekee control kupitia katiba ya Warioba itakayoboreshwa.
Sent using Jamii Forums mobile app