Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

tuliwaambia zaman sana huyu hafai kushika dolla mkawa wakali haya sasa corona hii hapa haichagui wapinzani sote tunakufa na hasa wazazi wetu! nategemea lugha kali zaid ya hizi toka kwa wasifiaji maana kama sio kufiwa bas i uchumi mbovu wote utatugusa!

serikali haina bajeti wala sera yeyote ya kuokoa wananchi dhidi ya corona na ndio kwanza rais katuacha mitaa yeye anaikwepa corona! ila sisi anatwambia tuchape kazi. uchumi unayumba wenzetu wanapewa hela za kubust sisi tumeachwa kwa vile hatuna mipango! sooon soooote tutaimba lugha moja
 

Chadema hawakuitwana JK kwa sababu ya sera zo bali waliitwa kwa sababu walitishia utawala wa JK kulingana na mapungufu yaliokuwapo, hivyo aliwaita ili kuwapoza wasimsambalatishe,
KIPINDI hiki chadema pamoja na wasomi waliomo na watu wazima, wameshindwa kutumia akiri zao bali wanatumia akili za vijana ambao hata hawajawahi kununua hata mboga, na wanalala sebuleni kwa masheji zao usiku kucha wana chart mitandaoni, hao ndo wameshikia akiri viongozi na kuwafanya hata wasahau kuwa ajenda za chama ni nini, viongozi wanaamka asubuhi wanaona kijana gani kapost nini kisha kiongozi huyo anaingia bungeni na hiyo hoja ya mtandaoni. Muda wanao bado wajitafakari.
 
Vipi zile sala ulizowaambia raia hapa wasali, ukiwaaminisha kuna tukio kubwa linaenda kutokea kwenye historia ya nchi zilifika? Hivi unajua unaonekana umechanganyikiwa na watu wanaamini unahusika na kupotea kwa Saa 8? Think..
Mungu hawezi sikiliza sala za wauaji na wabambikia watu kesi. Waliambiwa kabla ya kusali kwanza watubu lakini wakashupaza shingo.
 
Eh! Walisema humu watu itafika siku wote tutaongea LUGHA moja. Hata wewe Mkuu? Duh! ila nikupe hongera kwa KUJITAMBUA na nategemea hutageuka nyuma.

TumainiEl
Mkuu ulipotea ghafla, Kwema?
 
Reactions: BAK
Nafurahi kusikia hivyo. Mwenyezi Mungu ailinde afya yako na akupe maisha marefu.
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Ni bukheri wa afyaπŸ™πŸ™πŸ™.
 
Nafurahi kusikia hivyo. Mwenyezi Mungu ailinde afya yako na akupe maisha marefu.
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
Asante sana rafiki, Ukawe na siku njema yenye baraka teleπŸ™πŸ™.
 
Reactions: BAK
Amen Amen rafiki, Baraka tele zitufikie wote.
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Asante sana rafiki, Ukawe na siku njema yenye baraka teleπŸ™πŸ™.
 
rais hana muda wa kusikiliza kelele za job seekers wa kwenye mitandao.
anafanya majukumu yake yani hata time hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hana muda huo nipo nae hapa kaina misha kichwa mawazo kibao.nilimkuta akiwaza kwa sauti eti anawaza maisha baada ya uchaguzi atakavyo pigwa chini maana yeye .wenyewe anajua kabisa hapati tena urais.
 
Kweli hana muda huo nipo nae hapa kaina misha kichwa mawazo kibao.nilimkuta akiwaza kwa sauti eti anawaza maisha baada ya uchaguzi atakavyo pigwa chini maana yeye .wenyewe anajua kabisa hapati tena urais.
kwanza mtamuweka nani asimame na magu ?
manake lisu kiwete.lowasa kaunga tela.

au mnasubiri ccm wawape tena mtu kama lowasa ndo asimame na magu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza mtamuweka nani asimame na magu ?
manake lisu kiwete.lowasa kaunga tela.

au mnasubiri ccm wawape tena mtu kama lowasa ndo asimame na magu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe kilaza hana uwezo wa kusimama na yeyote ndani ya chadema..uwezo wake mdogo sana hata mdude anamtoa jasho.
 
Huwezi ukampa tingo tena asiye na uzoezi kazi ya kuendesha semi long trip lzm atalibwaga tu
 
Ma imposter wahamiaji kibao Hadi wafika ngazi za juu na TISS wapo tu, wangekuwa ni smart hata wasiojulikana wasingekuwepo.Wala nchi isingechezewa hivi.Kazi yao ni kuchukua umbea na kuuwakilisha kwa bwana wao.Ilitakiwa wawe bize kiujasusi wa uchumi mfano kujua fursa zilizopo nje ya nchi na kuzileta Siri hizo kwa wafanyabiashara ili wakaziwahi fursa za nje ili uchumi wetu ukue,ndicho wafanyacho TISS wa china wanaiba Siri za fursa za kila nchi Kisha uwatuma wachina wakazitumie fursa zile wachume pesa kule Kisha wapeleke china kukuza uchumi wa china.Wetu wao ni kuwaza kuwashughulikia wapinzani tu kujua mbowe kaongea na Nani leo,amezungumza nn kwenye simu ili wadukue umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…