Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

Ni kweli nenda muhimbili au Amana kwa ugonjwa mwingine upati huduma.Tunawapoteza wagonjwa wetu ambao wangeweza okolewa Kama wangepata huduma za haraka.
 
Naskia alivyofika tu town toka burigi,sinema ya kwanza kuona ni commando john,akajua nae ni komando.
Kumbe yeye ni komando kipensi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe kilaza hana uwezo wa kusimama na yeyote ndani ya chadema..uwezo wake mdogo sana hata mdude anamtoa jasho.
waliungana maalim seif,lowasa,mbatia,lisu wakaunda ukawa lakina wakashindwa sembusa sasa hivi watu makini woote wametoka chadema ?

eti chadema ya sasa imeshikiliwa na mbowe,heche na sauti ya zege mdee,akili kubwa wote wametoka wamebaki wakurupukaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawana haya!! Kwao Jana tu kulikuwacna vifo zaidi ya 1,700 na maambukizi mapya takriban 20,000 halafu badala ya kuzungumzia hilo janga nyumbani kwako unaamua kuzungumzia vifo vichache sana vya kutazama kwa tochi (ukilinganisha na vyao). Marekani ana jumla ya vifo zaidi ya 80,000!!! Hata kama tukisema basi vifo kwetu ni 1,000 (ili wafurahi) mpaka sasa, bado vifo hivyo ni vidogo sana ukilinganisha na vya kwao!!
Wanashindwa kuamini kuwa Tanzania vifo ni vichache!! Walitegemea tutapukutika lakini bado tunadunda!! Siri yetu kubwa ni moja: Pamoja na kufuata maelekezo ya wizara ya afya, lakini kikubwa tumemtsnguliza Mungu kwenye vita hii. Nimshauri Trump atoe executive order ya kupiga maarufuku ushoga na kusambaratisha jumuia ya LGBT kisha aitishe toba ya kitaifa na kumwomba Mungu awaepushe na corona!! Vinginevyo watapukutika kama sisimizi!!
 
Ni kweli nenda muhimbili au Amana kwa ugonjwa mwingine upati huduma.Tunawapoteza wagonjwa wetu ambao wangeweza okolewa Kama wangepata huduma za haraka.
Unaongelea amana na muhimbili tunazozijuwa wote au una zingine unazozijua wewe peke yako?? Maana hayo unayoyasema hayapo!! Unapoamua kudanganya uwe mwangalifu maana kuna wengi humu jamvini wapo hapo hapo amana na wanakushangaa!!
 
Nani kashidwa pale na lile goli lenu la mkono..jiwe mwenyewe anaijua balaaa la chadema kamuulize kama atabisha.
 
Unaongelea amana na muhimbili tunazozijuwa wote au una zingine unazozijua wewe peke yako?? Maana hayo unayoyasema hayapo!! Unapoamua kudanganya uwe mwangalifu maana kuna wengi humu jamvini wapo hapo hapo amana na wanakushangaa!!
Kama ulipata bahati ni wewe
 
Mkuu mimi nilikuwa naomba tupate raisi dikteta angalau mara moja, mwaka 2015 tukapata mtu mkali sana huyu wa sasa.
Nikamuunga mkono kwa mengi sana, na bado namuunga mkono kwa mengi lakini hili la COVID-19 na baadhi ya kauli zake kama kuhusu ile misaada au jinsi anavyo shughulika na uhusiano wetu na nchi jirani ameniangusha sana tena sanaa.

Kwa haya mambo ameangusha sana ushawishi wake kwa baadhi ya watu waliotaka tupate raisi mkali kupunguza tabia yetu ya ubadhirifu na uzembe.

Kwenye diplomasia tume-fail big time. Na ile ya kushupalia kwamba "sipangiwi mimi" sidhani kama akiona alipokosea anaweza kubadili baadhi ya misimamo yake au kufuata shauri mbali mbali nzuri toka nje ya watu walio mzunguka.

Tatizo nahisi wote waliomzunguka wanaogopa kumuambia ukweli wasije kumwaga chakula yao.
 
Nawewe ukawaamini? Wacheck hewani ndg zako huku bongo hususan walio Dar waulize kuhusu hali ya Dar.
Huo ugonjwa upo kwenye media tu,
huku uswazi bata km kawa na hakuna kuumwa wala kufa. Hata barakoa tushapunguza mbwembwe za kuvaa.
Mkuu mambo kama haya unatukwaza baadhi ya watu.
Tunahisi unataka kutuingiza matatizoni tu tukiweka baadhi ya yanayo endelea huku mitaani kwetu.

Walichosema USA kama alivyo eleza Kiranga kwa mujibu wa BBC world kinawezekana sana kina ukweli flani.

Hapa nilipo kwenye jiji kuu la kibiashara la nchi flani ndani ya bara la giza kuna hospital jirani ya taasisi binafsi. Mtu mmoja ndani kwetu alikuwa anataka kwenda kupata matibabu hiyo sehemu, jirani yetu akamwambia ndugu usiende hapo. Wale wauguzi wa hiyo hospital rafiki zangu walikuja jana hapa kwangu wakaniambia chonde chonde rafiki yetu kama hauumwi sana usiende hospitalini kwetu, kuna wagonjwa wawili wa COVID-19. Wao (hospital) walipiga simu namba maalum waje wachukuliwe lakini jamaa hawakuja.
Wakachukua hatua kuwapeleka wenyewe hospital flani ya serikali yenye kupokea kesi hizo wakakataliwa na kuambiwa wagonjwa wamejaa hawapokei wapya. Wagonjwa wakarudi nao kwenye hospital yao binafsi ndogo tu hapa mtaani.

Disclaimer: Samahani kwa kuweka habari ya nchi toka bara la giza wakati wewe na Kiranga mnazungumzia hali ya DAR, siku nyingine nitakuwa makini kutochanganya habari. Nilijikuta tu nafananisha hali ya hii sehemu niliyosema na huko mnakozungumzia ndiyo maana nikaweka hapa huu mfano.
 
Umebadilika sana mkuu, in the best way.
 
 
Eh! Walisema humu watu itafika siku wote tutaongea LUGHA moja. Hata wewe Mkuu? Duh! ila nikupe hongera kwa KUJITAMBUA na nategemea hutageuka nyuma.

TumainiEl
Mkuu Upo? Nikajua na wewe wamekufodongo maana si kupotea huko!
 
Reactions: BAK
Nawewe ukawaamini? Wacheck hewani ndg zako huku bongo hususan walio Dar waulize kuhusu hali ya Dar.
Huo ugonjwa upo kwenye media tu,
huku uswazi bata km kawa na hakuna kuumwa wala kufa. Hata barakoa tushapunguza mbwembwe za kuvaa.
Habari niianza kuzisikia kwa rafiki zangu madaktari Dar, sihitaji BBC kunieleza habari za Dar, naeleza tu kwamba habari zinavuma kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…