Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

na wewe ni kilaza pia leo umegeuka heee
 
CCM ni mzazi wa uovu na udhalimu wote
Si mkatae huyo mzazi, ulilazimishwa kubaki CCM?

Mbona wengi wameondoka CCM na wengine mpaka kuanzisha vyama vyao vya siasa? Kama hulielewi hilo itakuwa adui ujinga amekuvaa.
 
Sasa huo uliouandika kama si ujinga ni nini?

Nimefurahi kuwa hujaipinga hoja yangu, umeiona hoja lakini, au ndiyo ujinga umekujaa?
Boko Haram ilianzishwa ili
1. Kupinga elimu ya magharibi
2. Kufuata sharia (uislamu)
3. Watu wasome elimu ya dini tu.
Wameua watu, wamebaka, hakuna amani kwasababu ya udini (dini ya uislamu).
Al qaeda, Al Shabab, Boko Haram, Islamic State (Msumbiji). Vyote hivyo ni vikundi vya kiislam (dini) kinachoua watu ovyo.
Hapa hapa Tanzania wiki iliyopita walihukumiwa kwa kuwafundisha watu ugaidi katika msikiti wa Taqwa Mwanza. Wanataka kuanzisha dola ya kiislam. Ujinga sana.
Dini ni ujinga na unatakiwa upigwe vita haswaa kama vile ukabila
 
Dada Faiza salaam!

Mada yako ni nzuri lakini nitaunga mkono andiko lako 50% tu......kwa nini?
Kwa sababu, wewe si unajua ujinga ni sera ya chama chako CCM? Tusizunguke mbuyu, mhusika na mtuhumiwa mkuu wa wa ujinga na upumbavu uliopo nchini ni mmoja tu - CCM.

Wao hawataki kuwapa watoto/watu elimu yenye maarifa; sera yao ni "mtu/mtoto ajue kusoma na kuandika" - na ndio maana Bunge letu na Halmashauri zimejaa wajinga na wapambuvu wanaojiita "viongozi". hayo mengine huwa ni mbwembwe na kupoteza muda wa watoto/vijana tu.
Nina taarifa za kuwepo kwa watoto waliomaliza darasa la saba na hata kidato cha nne wasiojua kusoma wala kuandika, yaani CCM wameendelea "kufanikiwa" zaidi!
Wingi wa shule au madarasa sio elimu. Schooling should never be confused with EDUCATION.

Na unafahamu nchi hii haijawahi kuwa na utawala tofauti na CCM.

Nakuomba uweke mbali itikadi na tofauti zetu kwa mustakabali wa vizazi vyetu na nchi yetu.
Tuungane kudai Katiba Mpya! Ili tuweze kujipanga upya na kusaidia watoto na wajukuu zetu.
 
big up bro wapige spana hawa sijui wamerogwa
 
Aloooooooo.
NI kweli ujinga ni tatizo kubwa lakini pia udini ni tatizo baya sana.
rejea katika mafundisho ya mtume muhammad (S.A.W)
 
Halafu wavivu watanzania awapendi details.

Yaani mtu ana conclude mambo kirahisi bila ya kutaka kuelewa background ya jambo husika in finer details.

Hata wakipewa story yote, mtu anasikiliza vitu nusu na kuweka interpretation zake contrary to the wholesome facts presented angepoteza muda wa kusikiliza kila kitu si ajabu hitimisho lake lingekuwa tofauti.

Just lazy people kwenye kupanda kujifunza.
 
Hakuna uwerevu wowote ule kama kuwaita wajukuu zako ni wajinga.
Hakuna maana yeyote ile kuwa na uerevu halafu ukashindwa kuanzisha shule za Uerevu kuondoa watoto wako na wajukuu wako kutoka kwenye Ujinga
Hakuna ujinga uliopitiliza kama ule wa binadamu kujidanganya kuwa yeye ndie mwerevu(huo ni ugonjwa) huo ndio unaoitwa Uwendawazimu.



Kuna ujinga unaotamalaki juu ya mada iliyopo.

Hainiingii akilini kufikiri kuwaita Jamii yangu;Wananchi- Wanangu, Wajukuu wangu ndugu zangu kuwa ni wajinga kila kukicha nikitegemea kuwa ndio nita wabadilisha akili kutoka kwenye Ujinga na kwenda kuwa na akili.

Wananchi wanahitaji elimu na sio kutukanwa kila kukicha. Hii hapa sio Elimu bali ni matusi dhidi ya Jamii ya Mwafrika na Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…