Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu



#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Haya mambo hayawezi kuwasaidia chadema lazima ife tu

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa Dola bilioni 1.0...

Hii kasi ya mh.Samia hii....πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜
Kama anatisha ndg yangu,

Namuona YEHODAYA anauliza mambo ya kijinga huyu mwanaccm sijui nini kimempata,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Acha ujinga wewe!!! Yule dhalimu magufuli pamoja na udikteta nΓ‘ udhalimu wake wa kuua Viongozi na wanachama, wapenz na mashabiki wa Chadema, kuwabambikia kesi fake na kuwafunga lakini Chadema haikufa nΓ‘ ndiyo ilizidi kuwa very powerful all over the country. Hakuna wa kuiua Chadema mtasubiri sana. Dhalimu kafa yeye na Chadema bado INADUNDA na kuwa tishio kubwa kwa maccm.


Haya mambo hayawezi kuwasaidia chadema lazima ife tu

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Kama anatisha ndg yangu,

Namuona YEHODAYA anauliza mambo ya kijinga huyu mwanaccm sijui nini kimempata,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Yehodaya ana kisununu....

Yehodaya ni mwanaCCM wa "upepo" wa mtu.....

SIEMPRE CHIEF MKUU HANGAYA πŸ™
SIEMPRE CCM

#Kazi Iendelee kwa Kasi &Weledi Zaidi
 
Yehodaya ana kisununu....

Yehodaya ni mwanaCCM wa "upepo" wa mtu.....

SIEMPRE CHIEF MKUU HANGAYA πŸ™
SIEMPRE CCM

#Kazi Iendelee kwa Kasi &Weledi Zaidi
Apuuzwe tu hatufai,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Ndio hapa CUF haijafa mbona,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Apuuzwe tu hatufai,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Aaaagh komredi....

Ndugu zetu hao wako wengi tu.....itikadi zao za ajabuajabu....

Lini mwanaCCM aliyeiva itikadi ya chama anakuwa hasimu wa kazi za mwenyekiti wake?!!!
Lini?
Lini?!!

Inasikitisha.....
 
hahahahahaha CUF nacho ni chama cha upinzaniÉ Tangu lini? Hebu tia akili kichwani uache kuonyesha ujuha wako hadharani. Umesahau kwamba Lipumba alisaidiwa na Serikali hii haramu kupitia msajili wa vyama vya siasa na polisiccm kumpora Sheif Shariff Hamad chama chake cha CUF? Lini dhalimu magufuli alifanya juhudi ya KUIUA CUF?

Ndio hapa CUF haijafa mbona,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
CUF mbona haijafa mkuu?


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Aaaagh komredi....

Ndugu zetu hao wako wengi tu.....itikadi zao za ajabuajabu....

Lini mwanaCCM aliyeiva itikadi ya chama anakuwa hasimu wa kazi za mwenyekiti wake?!!!
Lini?
Lini?!!

Inasikitisha.....

Hawatafanikiwa kwani umma umemwelewa sana mama,


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Naona mnapiga promo ili mueleweke, mwambieni alipe madeni ya watumishi, tangu 2014 watu hawajalipwa stahiki zao, riba za mabenki kwa watumishi wa umma zipo juu, riba ni double digit punguzeni hadi single digit mbona kodi imepunguzwa na kuwa single digit, punguzeni pia makato ya NHIF punguzeni iwe 0.5% kwa mwezi kwa mshahara!! Hali ngumu hatuna hata posho..
 
Mbona alishatoa 449BL kwa swala hilo,

Kwani wewe hujalipwa,

Zimetengwa tena 200BL nadhani zitakufikia tu
 
W
Makubwa haya yako wapi na hafanyi yeye sema mfumo unaanza kutengenezwa kurekebisha makosa aliyofanya na Mwendazake. Pia inawezekana vipi akatoa mafanikio hayo ambayo yalipaswa kutolewa na Waziri wa Fedha ama CAG. Tuache kudanganyana.
Wakati wa Magufuri tulikuwa na akiba ya kula miezi 6,kwa Samia tuna ya miezi 3πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…