Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Toa ujinga wako hapa loan ni specific kwa ajili ya COVID-19 wewe utasemaje ni akiba. Lian inakuwaje income wakati una obligation ya kulipa principle na interest?
Sio Specific kwa COVID-19 kama ugonjwa hapana,

Huu mkopo ni wakusisimua uchumi ( Economic stimulation Loan) hii ni baada ya uchumi kuvunjwa vunjwa na CORONA,


Wacha leo niwape shule kidogo Chadema naamini mtanielewa tu

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
**** wewe hauna akili baba yako hii mbole angeenda kustawisha mipera tu.
 
Yeye kazitoa wapi hizo za kuongezea?? Je, hazijatokana na kodi/tozo?
Hivi hizi pambio za kusifu na kuabudu bado zinaimbwa tu?
 
Ni misallication of funds TOZO ambayo huyo Chifu hang ya alidai zitatumika kufanya mambo mbali mbali sasa anadai mikopo maalum ya COVID-19 kununulia barakoa na mahitaji mengine muhimu ili kupambana na Covid hamfanyi hivyo kwa kujiaminisha kwamba ugonjwa umepungua kitu ambacho si kweli. Hao watalii kwa maelfu toka nchi mbali mbali duniani wanahofia kuingia kwenye nchi ambayo haitoi data za kila siku za idadi ya wagonjwa na vifo. Ná hata huo mkopo wa IMF wa $567 millions una masharti ya kutoa hizi data kila siku au mkopo hautoki.

 
Hapana unachanganya

Rais Samia kaongeza $1BL ambazo ni sawa na TZS 2.3T,

$4.8B sio shilingi ni dollar



#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Tumia akili kusifia basi, 4.8 +2.3 inakua 5.8? Au umelogeka?
Difa zunahitajika lakini sio kwa kiwango cha kijinga namna hii,
Mnafanya tuonekane tunasifia bila akiri
 
Wewe ni qumer
 
Hapa ni kabla ya Rais Samia ila tumelipa zaidi ya tshs 8T toka Rais Samia awe madarakani,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Yaani mnaonekana hamnazo kabisa

Hizo pesa mmeokota?

Si hela za wananchi za kodi?

Au samia yeye ana pesa nyingi sana kaamua kutoa zake na kuipa serikali?

Waafrika bwana...na cha ajabu wananchi believe this nonsense
Urais ni taasis,

Don't take Samia at an entity,



#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
**** wewe hauna akili baba yako hii mbole angeenda kustawisha mipera tu.
Acha kutafuta laana za bure,

Jenga hoja chadema nyie takataka tu

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Hongera kwa mh.Rais Mungu amjalie Hekima na ampe vingi kwa ajili ya Taifa letu.
 
Wacha uongo wako wewe!!! Hii article ni ya September 19 that’s 3 weeks ago. Kwanini hao BoT hawakuweka hayo malipo ya 8 trillions?


Hapa ni kabla ya Rais Samia ila tumelipa zaidi ya tshs 8T toka Rais Samia awe madarakani,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kwalisha chakula gani maana isije kuwa wali maharagwe?
 
Yeye kazitoa wapi hizo za kuongezea?? Je, hazijatokana na kodi/tozo?
Hivi hizi pambio za kusifu na kuabudu bado zinaimbwa tu?
Tunakusanya kodi mzee,

Majuzi tumefikia Tshs 2T kwa mwezi,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Mbona Mama anasema hawezi kuvaa vile viatu nilijua vinampwaya kumbe vinambana,
Huyu Mama atatupeleka tulipo stahili muda mrefu sana,
Mungu amlinde kama kazi anaipiga kwelikweli atawapiku marais wote huyu
Kauli za kisiasa hizo na hazina maana
 
Ametoa za kwake mfukoni akajazia au mi ndio sijaelewa......
 
Hata wakisema tuna Dola billion 50 Nani anaweza Ku verify kile wanachosema? Huyu mama na Serikali yake kitu pekee ninachoweza kuwaamini ni salamu tu zaidi ya hapo ni uongo Tu .
Haiwezekani kila mtu akathibitisha,kuna watu wenye dhamana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…