Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Haya ndio mambo sasa,

Tulimsubiri sana Rais wa aina hii muda mrefu,
Mungu ametuona tunafurahi sana kuona haya,
Samia anafanya mambo mpaka dunia inashangaa,
Tuendelee kumwombea sana huyu mama
 
Ungejua Tanzania inadaiwa kiasi gani basi ndio ungeelewa kama tuna akiba ya madeni na sio vinginevyo
 
Mama Samia amakweli kiboko duuuh,

Mama sio kwa speed hii kuna watu watatoka roho aise,

Tuendelee kumwombea sana Rais wet,

Mimi na Samia dam dam hadi 2030.
 
Mama Samia amakweli kiboko duuuh,

Mama sio kwa speed hii kuna watu watatoka roho aise,

Tuendelee kumwombea sana Rais wet,

Mimi na Samia dam dam hadi 2030.
Amen,


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
Article ya BoT imefanya nini? Huna akili kichwani aisee ,loan Sio income ila income ni ile umepata kutoka investment tuu?

Pole Sana
 
Mkuu ni Watanzania kabisa..ila uelewe ndio kazi ya opponent hiyo hawezi furahia mafanikio ya mshundani wake, kwa maana failure ya mshindani ndio opportunity yao....waache wala usiwashangae sana ndio kazi yao na ndio wakati wao huu...muhimu ni serikali kuendelea kutekeleza yale iliyokusudia kisha wananchi watapima
 
Ndio maana Mungu hayupo Chadema mkuu,

KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
Ungekuwa na robo tu ya akili zangu usingeandika huu upuuzi wako! Eti loan ni income hahahahahaha

Article ya BoT imefanya nini? Huna akili kichwani aisee ,loan Sio income ila income ni ile umepata kutoka investment tuu?

Pole Sana
 
Why can’t come ccm? Acha kuharibu lugha ya BEBERUS. 😂😂😂😂

Naona Bavicha anateseka sana Why can't come CCM?

KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
Ni kweli, lakini kwa hawa jamaa zetu ni too much!! Inafikia point hadi wanaombea na kufurahia vifo vya viongozi!! Kwa ufuatiliaji wangu wa opposition sehemu nyingine sijawahi ona wapinzani wenye tabia kama za hawa jamaa, Mifano michache ni Maalim alipokuwa hapo ZNB na Raila hapo Kenya!! Ni siasa za ajabu mno na zilizopitwa na wakati
 
Miaka 60 ya uhuru ni uongo mwanzo mwisho. Hadi BoT imekuwa ni tawi la maccm kwa kutoa FEKI numbers ili kutudanganya Watanzania. Tanzania is a FAILED STATE. No doubt about that.
 
Mkuu sisi waswahili tunasema "Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kuchapa usingizi" na pia husema " Debe tupu haliachi kutika/kuvuma" Once Mother Theresa of Calculta said...People will never stop criticizing in whatever you are doing! don't mind them, keep on doing! at the end of the day it will be between you and your God!"
 
Ajira hakuna, mishahara kiduchu. Elimu ya hovyo, matibabu ya hovyo, huduma muhimu kama upatikanaji wa maji safi na umeme wa uhakika nchi nzima ni wa KUSUA SUA lakini kuna mapimbi hawayaoni yote hayo bado wanaipongeza Serikali haramu inayohofia Katiba mpya na
Tume huru ya uchaguzi ili tuwe na uchaguzi HURU na wa HAKI. Taifa lenye Wapumbavu wengi labda kuliko Taifa lolote lile duniani.
 
Miaka 60 ya uhuru ni uongo mwanzo mwisho. Hadi BoT imekuwa ni tawi la maccm kwa kutoa FEKI numbers ili kutudanganya Watanzania. Tanzania is a FAILED STATE. No doubt about that.
Mkuu huenda una hoja nzuri lakini inapata upungufu kwa kukosa ushahidi...sawa BoT wana pika takwimu...lete basi zilizo sahihi watu wafanye mlinganisho....vinginevyo utaonekana kuwa unachuki tu!
 
Acha kukariri definition nimekwambia ni income pia Liability soma vizuri acha kurukaruka

|| utajua hujui,

Because a loan means you're borrowing money from a lender or bank, they aren't considered income. Income is defined as money you earn from a job or an investment. ... The only time a loan would be considered income is if the loan was canceled by the lender or
 

Uko sahihi 100%
 
Maisha mtaani huyaoni? Una hela zote hizo kwanini usicreate ajira za wasomi ambao bado tunawahitaji sana katika kila field. Kwanini ushindwe kuongeza mishahara kwa miaka sita?


Mkuu huenda una hoja nzuri lakini inapata upungufu kwa kukosa ushahidi...sawa BoT wana pika takwimu...lete basi zilizo sahihi watu wafanye mlinganisho....vinginevyo utaonekana kuwa unachuki tu!
 
Siyo income pimbi wewe hiyo accounting ya Loan ni income uliisomea wapi? Income inakatwa kodi nani alikudanganya kwamba mkopo unakatwa kodi ZWAZWA wewe!!!! Wacha kurukia yale usiyoyajua jikite pale uwezo wako unapoishia.
Rudi tena kasome ulichoandika ,

Ulisema loan haiwezi ikawa income nikakwambia Loan kunakipindi inakuwa income kipindi liability,

Hujaelewa nini pia acha matusi I dislike,


#KAZIIENDELEE KWA KASI NA WELEDIZAIDI



Because a loan means you're borrowing money from a lender or bank, they aren't considered income. Income is defined as money you earn from a job or an investment. ... The only time a loan would be considered income is if the loan was canceled by the lender or bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…