Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Mungu angekuwa na maccm dhalimu magufuli angekuwa hai wewe ZWAZWA. Mungu angekuwa na maccm nchi isingejaa dhuluma na udhalimu wa kutisha hadi miili kuokotwa ufukweni na wengine kupotea.
Ndio maana Mungu hayupo Chadema mkuu,

KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
Maisha mtaani huyaoni? Una hela zote hizo kwanini usicreate ajira za wasomi ambao bado tunawahitaji sana katika kila field. Kwanini ushindwe kuongeza mishahara kwa miaka sita?

Acha mzee apumzika,

Hata wewe utakufa tu,
 
Ungekuwa na robo tu ya akili zangu usingeandika huu upuuzi wako! Eti loan ni income hahahahahaha
Kama hizo ndio akili zako sihitaji kwa hata na 0.00008 ya hiyo robo.

Hizo unazosema ni akili za zinakutosha kutongozea wapumbavu wenzio tuu, kwenye uchumi uko mweupe kama puto.
 
Wewe ni jinga kubwa Sana,Sisi sio wajinga kama wewe ..Utaishia kuwa na wishful thinking hivyo hivyo lakini ukipata kitaa utakuwa unaona Kazi zinaenda kwa kasi kubwa Sana
 
Borrowers can use personal loans for all kinds of purposes, but can the Internal Revenue Service (IRS) treat loans like income and tax them? The answer is no, with one significant exception: Personal loans are not considered income for the borrower unless the loan is forgiven.
In other words, you cannot be taxed on loan proceeds unless the lender grants the borrower a reprieve on paying back the debt owed. This is known as loan forgiveness. In the event a loan is forgiven, the proceeds associated with the original loan are considered a cancellation of debt (COD) income. And COD income can be taxed.1

 
Very nice ever,

My comment Of The day
 
Very nice ever,

This is my comment Of The day


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Akili ya loan kuwekwa kama income peleka lumumba pimbi wewe!!! Humu tutakuchapa za uso na upumbavu wako. Eti reserve zimeongezeka kutokana na loans hahahahahaha. Acheni KUKURUPUKA na kurukia field msizozijua.

Kama hizo ndio akili zako sihitaji kwa hata na 0.00008 ya hiyo robo.

Hizo unazosema ni akili za zinakutosha kutongozea wapumbavu wenzio tuu, kwenye uchumi uko mweupe kama puto.
 
Haya mambo sio yakunifundisha mimi,

Mimi nilikusaidia tu ufahamu kuwa kunakipindi Loan ni income na kunakipindi Loan ni liability,

Rejea comment yangu kama unataka kujifunza,


ACHA MATUSI NEXT NAKUBLOCK
 
Kwa hiyo nchi imekuwa inaenda kinyumenyume. Kikwete aliacha $5 bilioni. Marehemu akaishusha mpaka $4.8 bilioni. Leo awamu ya 6 imefikia $5.8 bilioni!!

Hii maana yake ni kuwa akiba ya Taifa miaka 6 baadaye imeshuka kuliko aliyoiacha Kikwete.

Dollar kwa wastani ina-depreciate kwa 1.4% kwa mwaka. Hii ina maana ukiilinganisha hii ya sasa ua $5.8 ni sawa na $5.3 ya wakati wa awamu ya Kikwete. Population imeongezeka kwa zaidi ya 10% akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa 6%! Lazima uwe mjinga hasa, kufurahia hali hii.
 
Wewe shule za kata nani AKUFUNDISHE? Ulishashindikana siku nyingi sasa unakuja humu na uongo wako eti loan ni income πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ PUMBAVU!!!!




Haya mambo sio yakunifundisha mimi,

Mimi nilikusaidia tu ufahamu kuwa kunakipindi Loan ni income na kunakipindi Loan ni liability,

Rejea comment yangu kama unataka kujifunza,


ACHA MATUSI NEXT NAKUBLOCK
 
Akili ya loan kuwekwa kama income peleka lumumba pimbi wewe!!! Humu tutakuchapa za uso na upumbavu wako. Eti reserve zimeongezeka kutokana na loans hahahahahaha. Acheni KUKURUPUKA na kurukia field msizozijua.
Ndio nakwambia hujui kitu,kumbe ulitaka serikali isikope ilhali reserves ambazo zilikuwa zinatokana na utalii haziji kulingana na imports inayotakiwa?

Haya kwa hiyo nyie machadema mungekaa kimya hadi uchumi uanguke au? 😝😝😝😝 .Ulivyo pumbavu hujui hata ku deal na mazingira ya emergency circumstances..

Kwanza kama hujasomea uchumi usijadili na mimi maana utakuwa unanipa Kazi ya kuelimisha mpumbavu ambae ana chuki Kisa mwenyekiti wenu gaidi yuko korokoloni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka kwa sauti,

Mkuu hii ni kama itatokea shida ndio zitafanya kazi kwa sasa ni akiba yetu
Shida si ndiyo hii Mkuu,kitaa pagumu,haiwezekani kugawa kwa kila Mtanzania japo akiba ya mwezi mmoja tu,tupate mitaji..?Zingine zendelee kuwa akiba?
 
Mkuu fursa zote ziko wazi chini ya mama,

Pesa iko Bank wanatafuta wateja kawaone mkuu


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Benki pa nini tena Mkuu?! Watupe Pesa hiyo ya mwezi mmoja tupate mitaji.Wazisambaze Halmashauri huku,tuzichukulie kwa wenyeviti wetu wa mitaa huku ,cash.
 
Uchumi upi uliosomea ZWAZWA wewe!? Uchumi wa kuchukua loans na kudai ni income na kuweka kama reserves!? Peleka hiyo elimu yako uchwara lumumba.
Kama huna fani ya uchumi kadili maswala ya mapenzi na mengine ya huko kwenye saccos yenu,haya yako beyond your understanding ndio maana unahangaika sana na neno loan.
 

Reserve inalimiti yake,

Ndio maana EAC ni 4.5months

Sio lengo la nchi kuwa na reserve kubwa sana kwani pesa hii inahitajika kwaajili ya mzunguko,

Miezi sita ni kiwango cha kimataifa,

Ndio maana hatushindanii kufika mwaka au miaka miwili ila The Standard ambayo ni miezi 6

Kuwa below 6months ndio shida that's Why Leo tunafurahia kuwa at standard level,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Benki pa nini tena Mkuu?! Watupe Pesa hiyo ya mwezi mmoja tupate mitaji.Wazisambaze Halmashauri huku,tuzichukulie kwa wenyeviti wetu wa mitaa huku ,cash.
Hahaha kuhusu utaratibu mkuu


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…