Ukisikia kupanic ndio huku,hapa ni wivu na chuki vinakusumbua,thibitisha huo uongo,huwezi..
Nakusaidia sasa hiyo initiative ya Covid ndio imeleta tija,pamoja na kupambana na covid shilling ya Tzn imeimarika dhidi ya dola kutokana na kuongeza kwa exports ya bidhaa za viwandani,gold na Mazao ghafi.
Kwani wewe hukumsikia kwamba Tzn imeipiku Kenya ku export bidhaa nyingi Uganda?..
Hujasikia uwekezaji ulivyoongezeka kutoka dola mil.600 hadi dola bil.3?
Hujaona sekta ya utalii ukianza kuimarika? Miezi 6 watalii zaidi ya 400k inamaana by Mwisho wa mwaka itazidi idadi ya last year ya 600k..
Biashara mpya nyingi zimefunguliwa,Brella walisajili zaidi ya biashara 3,000 tofauti na 1700 mwaka uliopita kipindi kama hicho? Tena katika hizo leseni migodi 3 mikubwa ya matilioni ya pesa na Rais aliitaja Jana kwenye hotuba yake.
Ndugu unateseka kutokea sehemu gani hapa Tzn? 🤣🤣🤣🤣.
Mikopo kila nchi inakopa mbona awamu zilizopita zilikopa na hawakuwahi sema walifanyia nini pesa au walidanganywa kwamba hawajakopa huku deni la Taifa likikua mara 2 zaidi?
Kwa Taarifa yako hayo mafanikio ni ukuaji wa uchumi,ingia BoT utaona yote hayo na GDP kwa kipindi hicho ilikua kwa 4.9% juu ya projection ya 4.5%
Kwa Taarifa yako hakuna nchi haikopi ,Nigeria hapo wanafukuzwa mkopo wa Dola bil.10 za Us, Marekani mwezi uliopita wamepitisha pesa ya mkopo wa mabilioni ya dola tena wakasema Bunge likigoma Serikali itashindwa kujiendesha 😝😝..Huo mkopo ambao Serikali inatafuta ni dola bil.1.1 na ni kwa ajili ya kuongeze hiyo reserves ya pesa za kigeni pia.
Niongeze volume? Pole Sana namba hazidangayi hakuna kama Samia na hakuna atamfikia kwa rekodi hizi 👇
View attachment 1970774
View attachment 1970775
View attachment 1970776
View attachment 1970777
View attachment 1970778
View attachment 1970779