Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Kadili ndiyo nini mpuuzi wewe? Huo uchumi wako mwitu uliosomea peleka lumumba siyo humu eti unataka kudanganya watu mkopo ni income!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama huna fani ya uchumi kadili maswala ya mapenzi na mengine ya huko kwenye saccos yenu,haya yako beyond your understanding ndio maana unahangaika sana na neno loan.
 
Hata wakisema tuna Dola billion 50 Nani anaweza Ku verify kile wanachosema? Huyu mama na Serikali yake kitu pekee ninachoweza kuwaamini ni salamu tu zaidi ya hapo ni uongo Tu .
Kwa hiyo,mwendazake na mauongo yake ya mchana kweupe na data za kupika ndiye ulikuwa unamwamini?

Nyinyi taga shida sana! Kila kitu chema cha serikali ya awamu ya sita ni kuponda tu. Chuki zenu zitawaua.
 
Reactions: BAK
Ila wewe unayezuka kila siku humu na FAKE NEWS ndiyo umestaarabika siyo!? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
UTATESEKA SANA,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Kadili ndiyo nini mpuuzi wewe? Huo uchumi wako mwitu uliosomea peleka lumumba siyo humu eti unataka kudanganya watu mkopo ni income!!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio income ,makamasi yako ndio income.
 
Maelezo mazuri sana,

Mama Samia ametufuta machozi kabisa,
Uchaguzi wa 2025 kaishaumaliza tayari,
Hakuna kabisa kama Samia
 
Mtu kama haamwamini Rais Samia je kipindi kile cha mapambio ndicho walichoamini? Hii ni Bongoland mwamba ngozi huvutia mguuni.
 
Mtu kama haamwamini Rais Samia je kipindi kile cha mapambio ndicho walichoamini? Hii ni Bongoland mwamba ngozi huvutia mguuni.
Hayati Magufuli na Rais Samia wote hawa ni wana CCM
 
Yaani kama U.S.A ana madeni,ni nani tuogope kukopa?.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mama atawale milele,
Mama hana kelele
Mama hana majivuno
Mama hana kejeli
Mama hana matusi
Mama mnyenyekevu
Mama mpole
...
 
Huyu Chadema imemmaliza kabisa akili
 
Unasema deni la Taifa limefika Trillion 77 lakini hujasema ni asilimia ngapi ukilinganisha na Pato la Taifa Yani Debt to GDP ratio, Na hujatoa Angalizo kama Deni ni Stahimilivu au Lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…