Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Unasema deni la Taifa limefika Trillion 77 lakini hujasema ni asilimia ngapi ukilinganisha na Pato la Taifa Yani Debt to GDP ratio, Na hujatoa Angalizo kama Deni ni Stahimilivu au Lah
Chadema kazi yake nikukurupuka mkuu,

Hawana hoja yeyote najua unawajua


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Ondoeni ujinga wenu humu.
Mkuu...ondoa mawazo hasi (negativity) kwa kila jambo. Furahia taarifa mzuri kama hizi zitakuondolea stress. Zina impacts kwako,ndugu,jamaa,rafiki na familia yako. Usiombee mabaya tu ili upate mtaji wa kukosoa/kisiasa
 
Mkuu...ondoa mawazo hasi (negativity) kwa kila jambo. Furahia taarifa mzuri kama hizi zitakuondolea stress. Zina impacts kwako,ndugu,jamaa,rafiki na familia yako. Usiombee mabaya tu ili upate mtaji wa kukosoa/kisiasa
Wewe ni mzalendo,

Hawa chadema wanataka mabaya tu kwa nchi yao
 
Mkuu...ondoa mawazo hasi (negativity) kwa kila jambo. Furahia taarifa mzuri kama hizi zitakuondolea stress. Zina impacts kwako,ndugu,jamaa,rafiki na familia yako. Usiombee mabaya tu ili upate mtaji wa kukosoa/kisiasa
Nakusalimu kwa jina la JMT,
 
Mama Samia we love you mama,

Endelea hivyo hivyo na kasa hii,

Mungu atakutangulia katika kila hatua

HAKUNA KAMA SAMIA,
 
Sasa $4.8BL unawezakula miezi sita kama tutapewa bukubuku per day,

Ila kama ni GDP Per Capita isingewezekana,

Kima cha chini cha maisha Tanzania ni Tshs 2,700 kwa kichwa kwa Siku,

Sasa fanya hesabu utaona
Mkuu,hukusikia kipindi cha JPM tuliambiwa tuna akiba ya kula miezi 6?
 
Safi Sana Rais wetu, Ngosha alituchelewesha Sana,mama kanyaga twende, tuponawe daima Hadi 2035 inshaa'llah
 
Rais Samia unafanya kazi kubwa sana, na nzuri na hakuna anayeweza kufikia rekodi yako hadi sasa. Yaani upo systematic kwenye kila jambo unalofanya, kwa hekima, busara na kwa professionalism iliyotukuka. Hakika wewe ndiye rais tuliyekungoja. Badilisha miji yetu ipendeze, kuwe na utaratibu mzuri, hao wachafuzi wa miji yetu wapangwe kwenye masoko(Hakuna biashara za barabarani, mbele ya maduka ya walipa kodi ya serikali na pango) na kama hawawezi basi waache biashara, Taifa letu haliwezi kuwa taifa la wachuuzi....Tukiendekeza tutajenga taifa la watu wasiofikiri au wavivu wa kufikiri na kukimbilia kazi rahisi rahisi za uchuuzi wa bidhaa badala ya wagunduzi na organized enterpreneurs. Uchuuzi wa barabarani hausaidii sana, magari yapite kwenye masoko ya bidhaa, wasioweza na wasiotaka kwenda huko basi wasifanye biashara. Mama unafanya kazi kubwa na ya kupendeza....Tunakupenda mno.
 
Mkuu fursa zote ziko wazi chini ya mama,

Pesa iko Bank wanatafuta wateja kawaone mkuu


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Tuongee vingine siyo kututhibitishia eti zipo bank.
Sisi hiyo hatutaki kuzijua,lakini mleta uzi utuambie kakuta akiba kiasi gani,halafu utuambie kaongeza ngapi

Ndo useme ni ajabu sana,mqqna kama tungelikuwa na zero au hata kushindwa kuhudumia mwezi mumoja sawa.
Lakini hivi vitu ni kidogo sana maana yeyote anaweza fanya,na kwa hizi awamu,kunawamu zilipitia maisha magumu sana 1,2 na 3. Hakukuwa na mfumo wowote wa kueleweka.
Tunataka usawa kwa mambo yote.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna hoja nyinyi mataga sasa mmebaki kwenye VIROJA pimbi nyinyi.
Hahaha, nyie sasa mmehamishia chama na harakati zote mahakamani kwa kesi za kipuuzi puuzi ambzo watu makini wanaweza kuziepuka kabisa, leo hii shughuli zote za chama mmesimamisha eti sababu kesi ya Mbowe! Mungu atuepushilie mbali na hili zimwi linalojiita Chama cha demokrasia wakati wamejaza madudu matupu huko chamani kwao! Katika majanga aliyotuachia Jk mojawapo ni hawa watumwa wake wa kisiasa CDM
 
Hapana unachanganya

Rais Samia kaongeza $1BL ambazo ni sawa na TZS 2.3T,

$4.8B sio shilingi ni dollar



#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Sasa kwa mahesabu yako,kafanya kidogo sana maana tulikuwa na zaidi ya 4.8b USD, sasa haya mapambio yote ya nini.
Tatueni kero,watoto wanavuka kwa mitumnwi kwenda shuleni risk hiyo unaiona lakini au unaishi Dar,ndo maana unajikita kusifia tu?
 
Pamoja na misimamo ya Mwenda zake naamini hii kesi aliikwepa kabisa maana ushahidi ni aibu.
 
Pamoja na misimamo ya Mwenda zake naamini hii kesi aliikwepa kabisa maana ushahidi ni aibu.
Mwendazake alikuwa hana aibu mzee, hivi kuna aibu kubwa kama kuwazuia wabunge na wanachama wake kwenda kumuona Lissu hospitali Nairobi? Kuna aibu kubwa kama kulizuia bunge kumpa Lissu stahiki zake wakati muafaka? Mwendazake didnt give a shit about anything/anybody, ni muda tu ulikuwa bado as kesi ilianza august then tukaingia kwenye kampeni na uchaguzi, kabla hajajipanga vizuri Covid ikafanya yake!! BTW Mbowe asingerudi nchini kama Mwendazake angekuwa hai maana alishasepa zake to Dubai and Nairobi
 
Kila mpenda nchi anamfueahia Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…